Search results

  1. Kijana leo

    Msaada wa Ku-Unlock Screen ya Sony erickoson S10

    Habari wanandugu, ninaomba msaada wenu wa kuweza ku unlock sreen ya simu yangu, tajwa hapo juu. Au mi sehemu gani naweza pata huo msaada?
  2. Kijana leo

    Pombe ilitaka kuniharibia mahusiano yangu, sasa nimeamua kuacha

    Habari za asubuhi wanandugu. Nimeamua rasmi kuacha kutumia kileo/pombe, baada ya kuwa mtumwa kwa zaidi ya miaka 12, pombe ina athari nyingi sana wanandugu, si nzuri kiafya, kijamii, na kiuchumi pia, pombe imesababisha kutokuwa na mahusiano mazuri na mchumba wangu, japokuwa nina kipaji kizuri...
  3. Kijana leo

    Mwanaume yupi ananafuu kati ya hawa?

    kwa wanawake wale ambao hawajaolewa na wale walioolewa, toeni ufafanuzi wenu kati ya mwanaume mlevi na mzinzi (mpenda michepuko) ni yupi ananafuu? hata kuishi naye.cc miss neddy, miss chagaa, ICHANA, MankaM honeyfaith, miss strong, heven on earth na wote karibuni.
  4. Kijana leo

    Mwanaume yupi anafaa kati ya hawa?

    kwa wanawake wale ambao hawajaolewa na wale walioolewa, toeni ufafanuzi wenu kati ya mwanaume mlevi na mzinzi (mpenda michepuko) ni yupi ana afadhali? hata kuishi naye.cc@missneddy, miss chagaa, ICHANA, MankaM honeyfaith, miss strong, heven on earth na wote karibuni.
  5. Kijana leo

    Naomba Msaada simu yangu aina ya lenovo imejilock

    Habari za jioni wana jukwaa, nina simu aina ya lenovo, kuna kijana aliichezea, sasa ameweka lock, kila nikiwasha inanidai lock, nashindwa hata kuitumia jamani, ninaomba msaada nifanyeje jamani? CHIEF MKWAWA, na wengineo.
  6. Kijana leo

    Msaada: Simu yangu haishiki 3G

    Habari, nina simu aina ya samsung galaxy, cha kushangaza simu hii inasoma 2g, japo application zote napata ila internet yake ipo slow balaa, je naweza kufanyaje ili iweze kuwa 3g au net iwe fast? na iendane na matumizi ya TZ, maana ilitengenezwa kwa matumizi ya nje ya nchi. nilienda sumsung shop...
  7. Kijana leo

    Kwa yeyote anayehitaji kuandikiwa Proposal

    kwa yule anayehitaji kuandikiwa andiko la mradi ( project poposal), andiko la utafiti (research proposal), mchanganuo wa biashara (Bussiness plan), facilitator (muwezeshaji katika masuala ya ujasiriamali, afya ya uzazi, VVU/UKIMWI), elimu ya vijana katika kuunda vikundi vya kuweka na kukopa...
  8. Kijana leo

    Nashukuru Mungu kwa hatua hii katika mahusiano.

    Hatimaye leo tumetimiza mwaka mwingine mpya katika mahusiano mimi na mwenzangu, nashukuru Mungu kwa uzima na afya njema, tunapendana kwa nyakati zote, hata nilipopata ajali alikuwa bega kwa bega nami. Ee Mungu tusaidie kutimiza yale malengo yetu tuliyopanga. Nakupenda sana chanda chema wangu...
  9. Kijana leo

    Nimenusurika kifo kwenye ajali ya bodaboda

    Ndugu zangu humu ndani, namshukuru Mungu, siku ya juzi usiku nimenusurika kifo, baada ya kupata ajali ya bodaboda niliyokodisha kugongwa na gari. Nilikimbizwa hospitali kuu ya mkoa na kupatiwa huduma ya kwanza, na kesho yake kupiga X-ray na kuonesha kuwa mguu na mkono wangu haujavunjika, japo...
  10. Kijana leo

    msaada wa tiba naumwa.

    Habari humu ndani, kwa wataalamu naomba mnisaidie, ninapata maumivu ya kichwa makali sana na kupelekea macho kuuma sana, hata nikigeuka au kuinama ili nipate kujisikia nafuu mpaka nifumbe macho. Kwa anayefahamu tatizo ni nini? na tiba yake ni nini? asanteni na usiku mwema. cc: mzizi mkavu, Dr mo.
  11. Kijana leo

    Kuweni makini....

    Haya mambo ya kila mtu kuandika kitu chake bila source, hasa aya ya kuhama kwa wanachama tuwe makini, mara 2000 wamehama chama hiki, 1560 wamehama chama kile, tunafurahi kupata habari humu ss tuwe tunathibitisha.
  12. Kijana leo

    Maadui wameongezeka nchini

    Baba wa taifa alisema tupige vita maadui watatu katika taifa letu, ambao ni UJINGA, MARADHI, Na UMASKINi, lkn kwa sasa ameongezeka adui mwingne wa kupigwa vita kwa kushindwa kufanya kazi ambaye ni CCM, huyu ni adui wa 4 wa wananchi.
Back
Top Bottom