Search results

  1. Lavie

    Naomba kueleweshwa.

    Je, kama serikali ya magamba ikitumia ubabe kutufukuza kazi walimu tuliogoma, je, hatua za kuchukua ni zipi? Na pia mshahara wa mwezi huu hadi sasa haujatoka huku kwetu, je, hawawezi hawa madhalimu kuuzuia kama kutukomoa, au sheria inasemaje? Naomba mwenye uelewa anieleweshe tafadhali.
  2. Lavie

    Naombeni ushauri.

    Nina mke wangu nampenda sana, tuna miaka 2 ktk ndoa. Mke wangu ana nyege za mbali sana yani huwa namchezea hadi nachoka ndio analoana, huwa nachezea matiti, mara sehem ya siri, mara namnyonya masikio, but, hadi atoe ute ni zaidi ya dk 45 na kuendelea, mi hadi nimechoka. Je nifanyeje? Nisaidieni...
  3. Lavie

    Nape tumia akili

    Tangu kujiondoa baadhi ya viongozi CCM na kwenda CHADEMA, umekuwa unatoa kauli za kujifariji na zisizo na point hata kidogo, jamii haikuelewi kabisa, Chama Chako kimeoza, kinanuka, kinakufa taratibu, acha utoto, kuna tatizo hapo CCM, Sema kweli angalau usaidie Chama chako, hata Idd Amin wakati...
  4. Lavie

    CHADEMA pigeni kambi Tabora

    Nawashauri Chadema waje wafanye operesheni okoa Tabora, mkoa huu unahitaji elimu sana ya uraia, Magamba yamejikita sana Tabora wakati maendeleo ni duni sana. Nawaomba viongozi wa operesheni za Chadema litazameni hili kwa umakini sana mje muwaokoe wanyamwezi. Yani Mkoa wote Magamba-CCM...
Back
Top Bottom