Nape tumia akili

Lavie

Member
Apr 3, 2012
60
15
Tangu kujiondoa baadhi ya viongozi CCM na kwenda CHADEMA, umekuwa unatoa kauli za kujifariji na zisizo na point hata kidogo, jamii haikuelewi kabisa, Chama Chako kimeoza, kinanuka, kinakufa taratibu, acha utoto, kuna tatizo hapo CCM, Sema kweli angalau usaidie Chama chako, hata Idd Amin wakati majeshi ya Tanzania yameiteka Kampala aliendelea kutangaza kuwa bado yuko imara, hatimae akatorokea Saudi Arabia.

Toa kauli za ukweli ingawa unauma. CCM si Chama Cha Ukombozi tena ndio maana watu wanahama kwa kasi. Historia itakuhukum usidhani tutakusahau kwa unayoyafanya leo, Utawajibishwa wewe na genge la wezi wenzako ndani ya CCM mda utapofika, mnaifanya nchi hii kama mali yenu binafsi, wako wapi kina Mobutu?

Gadaffi, Samuel doo, n.k? Mtakuja jibu yote haya tena kwa machungu. Wananchi tuna machungu sana na nyie pamoja na familia zenu. YANA MWISHO.
 
Nimesikia Kaka Nape akitoa matamko juu ya watu waliohama CCM kwenda CDM hivi karibuni. Je Nape unasema nini juu ya ripot ya Mkaguzi Mkuu pamoja na kamati ya bunge?

Kaka Nape kama upo na unaona tafdhali naomba utujuze. Labda kidogo tutaamini umesimama kwenye msimamo flani hivi.
 
Umenena ukweli, huyu Nape nilikuwa najua he know much to think but now dayz yupoyupo tu huyu jamaa na mbaya zaidi hajielewi na sijui kapewa bima ya kutembelea VX in all maisha yake ndo mana anaropokaropoka tu
 
Tangu kujiondoa baadhi ya viongozi CCM na kwenda CHADEMA, umekuwa unatoa kauli za kujifariji na zisizo na point hata kidogo, jamii haikuelewi kabisa, Chama Chako kimeoza, kinanuka, kinakufa taratibu, acha utoto, kuna tatizo hapo CCM, Sema kweli angalau usaidie Chama chako, hata Idd Amin wakati majeshi ya Tanzania yameiteka Kampala aliendelea kutangaza kuwa bado yuko imara, hatimae akatorokea Saudi Arabia. Toa kauli za ukweli ingawa unauma. CCM si Chama Cha Ukombozi tena ndio maana watu wanahama kwa kasi. Historia itakuhukum usidhani tutakusahau kwa unayoyafanya leo, Utawajibishwa wewe na genge la wezi wenzako ndani ya CCM mda utapofika, mnaifanya nchi hii kama mali yenu binafsi, wako wapi kina Mobutu? Gadaffi, Samuel doo, n.k? Mtakuja jibu yote haya tena kwa machungu. Wananchi tuna machungu sana na nyie pamoja na familia zenu. YANA MWISHO.

Wakuu huyu ni wa kupuuzwa sana tu,kutoka kwenye kupanga chumba kimoja changanyikeni mpaka kupewa nyumba ya kueleweka na vx juu ndio kumemfanya awe mwehu zaidi,yaani yeye anachojua ni porojo na mifano ya kitoto tu, Watanzania wa leo hawataki tena propaganda!
 
Una maana gani kumwambia zuzu atumie akili??
Tangu kujiondoa baadhi ya viongozi CCM na kwenda CHADEMA, umekuwa unatoa kauli za kujifariji na zisizo na point hata kidogo, jamii haikuelewi kabisa, Chama Chako kimeoza, kinanuka, kinakufa taratibu, acha utoto, kuna tatizo hapo CCM, Sema kweli angalau usaidie Chama chako, hata Idd Amin wakati majeshi ya Tanzania yameiteka Kampala aliendelea kutangaza kuwa bado yuko imara, hatimae akatorokea Saudi Arabia. Toa kauli za ukweli ingawa unauma. CCM si Chama Cha Ukombozi tena ndio maana watu wanahama kwa kasi. Historia itakuhukum usidhani tutakusahau kwa unayoyafanya leo, Utawajibishwa wewe na genge la wezi wenzako ndani ya CCM mda utapofika, mnaifanya nchi hii kama mali yenu binafsi, wako wapi kina Mobutu? Gadaffi, Samuel doo, n.k? Mtakuja jibu yote haya tena kwa machungu. Wananchi tuna machungu sana na nyie pamoja na familia zenu. YANA MWISHO.
 
lakini unakumbuka millya alichosema au una mlaumu tu bure nape kwa vile shemeji yako? millya alisema amekasilika na kauli ya kuwa rais hata toka kaskazini,sasa unataka nape atetee wanachama wanaotaka urais kwa ukanda? magamba yaende huko chadema! nape uko sahihi
 
Nape nnauye..kwel umasikin mbya..jamaa kaacha kujichubua bna..duuh,c anakula ac
 
lakini unakumbuka millya alichosema au una mlaumu tu bure nape kwa vile shemeji yako? millya alisema amekasilika na kauli ya kuwa rais hata toka kaskazini,sasa unataka nape atetee wanachama wanaotaka urais kwa ukanda? magamba yaende huko chadema! nape uko sahihi

Magamba mangapi wameweza kuyavua zaidi ya lile moja rost huku mengine yakikataa na kutoa kauli za zarau na hao waliokuwa wakihubiri ni magamba wakibaki wameumbuka na kuonekana wao ndo magamba yaliyokuwa yakihubiri unafiki na chuki!
 
Chama Kimemwelemea, amejikuta hajui yupi adui yake yupi Rafiki yake.
 
Napeeee...Huyu Nnauye ndiye ambaye mnamjadili hivi kwlei.....tufanye mambo mengine jamani....Nape anahangaika tu. Eti atumie akili....sasa atatumia kit asichokuanacho....HANA AKILI ATUMIE NINI??? Mnamuonea tu.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom