Naombeni ushauri.

Lavie

Member
Apr 3, 2012
60
15
Nina mke wangu nampenda sana, tuna miaka 2 ktk ndoa. Mke wangu ana nyege za mbali sana yani huwa namchezea hadi nachoka ndio analoana, huwa nachezea matiti, mara sehem ya siri, mara namnyonya masikio, but, hadi atoe ute ni zaidi ya dk 45 na kuendelea, mi hadi nimechoka. Je nifanyeje? Nisaidieni wana Jamii.
 
mapenzi ni sanaa .akili na fikira zako zote lazima zitawaliwe na hii sanaa wakati muwapo kwenye huu mchezo.
kama mmoja kati yenu atakuwa hajahama kutoka kwenye mahangaiko ya maisha ya kila siku ,haiwezekani kuwa tayari kwa muda muafaka muwapo mchezoni.na siyo kweli kwamba mkeo nyege zake zi mbali zipo karibu mno la sivyo usingeziona kabsa hata ndani ya dk 45.
issue hapa ni maandalizi na jinsi ya kuiset mind (akili) ikubaliane na mazingira halisi muwapo mchezoni.kwa maelezo zaidi soma kwenye blog ya SIRI ZANGU VIA GOOGLE.
 
1.Chunguza vizuri kwenye K yake....mulika na tochi labda atakuwa amekeketwa na kutolewa kisimi
2.Kaa naye muulize je ana tatizo gani coz yaonesha wakati wa kuduu kumbe yeye anawaza kukata nyanya za kuungia mboga jikoni au anawaza kwenda sokoni....funguka mkuu usimuoneee so mkeo huyooo!
 
mmh..au unam-stress? isije kuwa uandaaji wako pia upo shallow... Halafu unamuona yeye ndo tatizo..
 
Hajatahiriwa yuko mzima, nisaidieni maeneo nyeti ya kumshika ili asisimke. Nakosa raha.
 
Pole kwa yote,
Kwanza nikupongeze kwa kuleta hapa jamvini, naamini utapata ushauri mzuri. Kwanza kabisa kitu cha msingi cha kutambua ni kuwa "HISIA ZA NGONO AU KUHITAJI KUJAMIANA ZINAJENGWA NA MAMBO MENGI", ingawa imekuwa ngumu kwetu wachangiaji kujua kama mna-face circumstance gani hapo kwenu kwani inaweza kuwa mojawapo ya kigezo. Mfano: Inapotokea mmetoka katika ugomvi halafu punde ukataka mjamiane kwa mwanamke inaweza kuwa ngumu zaidi kuwa na hisia kwa tendo husika, ni tofauti sana na maumbile ya wanaume. Lakini hujatuambia kuhusu mwenzi wako kama hiyo hali iko tangu mmeanza mahusiano au imeanza baada ya kuingia ktk ndoa kwa hiyo miaka miwili.!

Kwahiyo ni muhimu sana kumsoma mwenzi wako kabla ya kushiriki kufanya ngono, kama unadhani mwenzi wako hayuko katika mood nzuri basi ni vizuri kuahirisha zoezi, lakini pia wapo watu (hasa wanawake) ambao hisia zao za ngono ziko mbali sana, lakini zikishapanda zinachukua muda mrefu kushuka (kufika kilele).

Kwahiyo ningekushauri yafuatayo:
Jaribu kufanya mambo ya kumfurahisha ikiwa pamoja na mawasiliano mazuri (maongezi, calls, sms), kumletea zawadi ambayo huwa anapenda; hata kama anapenda ice cream au hata pera nunua mpelekee. Toka naye nenda naye sehemu ambayo unadhani atafurahia (outing), kama anapenda mishkaki nanda naye sehemu ya mbali mkiwa wawili mkale mishkaki. Mwambie kuwa unapenda na mwonyeshe hivyo pia... wanaume kwetu inakuwa ngumu kumwambia mwenzi wako kuwa "unampenda" wanawake wanakerwa sana na hilo. Mletee zawadi ambayo ataipenda zaidi, zungumzieni kuhusu mapenzi mara nyingi, hayo yote yana uwezo wa wa kumjengea hisia zaidi za kushiriki ngono.

Mara nyingine, vitu vidogo sana vikamfanya mwenzi wako kukosa hamu ya kushiriki ngono. Kwa wanawake wako tofauti sana na sisi wanaume. Ngono ni sanaa ya hali ya juu sana, inahitaji sana uelewa. Nadhani kwa hayo machache yanaweza kusaidia.
 
Suala sio maeneo ya kushika bali ni namna ya kushika hayo maeneo...mambo tarrtibu bana.# Jipange ndugu yangu mwanaume hasifiwi sura,anasifiwa KAZI..na kazi yenyewe ndo hiyo!
 
Nina mke wangu nampenda sana, tuna miaka 2 ktk ndoa. Mke wangu ana nyege za mbali sana yani huwa namchezea hadi nachoka ndio analoana, huwa nachezea matiti, mara sehem ya siri, mara namnyonya masikio, but, hadi atoe ute ni zaidi ya dk 45 na kuendelea, mi hadi nimechoka. Je nifanyeje? Nisaidieni wana Jamii.
kwanini uchoke ili hali ni mkeo wa shida na raha jamani...wanaume nyie mna dhambi sana mjue ohooo! mungu anawaona
nikirudi ktk tatizo hilo sasa jaribu kumwambia arelux kupitiliza mnapokua faragha,jaribu kutomuuzi,kama hawezi jaribu kumfurahisha kuanzia asubui mpaka usiku ndio umuombe huo unyumba kama atakua bado pamoja na kua anafuraha zote ila ukitaka kumgusa anakauka kama mti basi nisamehe bali nataka kusema pengine hajakupenda sana kama unavofikiri mana mwanamke akiwa hampendi mtu au akiwa na hasira na wewe hata umshike hata kesho ndio anazidi kua mkavu mana unamtia hasira tu na karaha
 
Suala sio maeneo ya kushika bali ni namna ya kushika hayo maeneo...mambo tarrtibu bana.# Jipange ndugu yangu mwanaume hasifiwi sura,anasifiwa KAZI..na kazi yenyewe ndo hiyo!
bora umemuambia sio anashika kama jiwe,au anakua na fujo kama yuko vitani
 
Pole kwa yote,
Kwanza nikupongeze kwa kuleta hapa jamvini, naamini utapata ushauri mzuri. Kwanza kabisa kitu cha msingi cha kutambua ni kuwa "HISIA ZA NGONO AU KUHITAJI KUJAMIANA ZINAJENGWA NA MAMBO MENGI", ingawa imekuwa ngumu kwetu wachangiaji kujua kama mna-face circumstance gani hapo kwenu kwani inaweza kuwa mojawapo ya kigezo. Mfano: Inapotokea mmetoka katika ugomvi halafu punde ukataka mjamiane kwa mwanamke inaweza kuwa ngumu zaidi kuwa na hisia kwa tendo husika, ni tofauti sana na maumbile ya wanaume. Lakini hujatuambia kuhusu mwenzi wako kama hiyo hali iko tangu mmeanza mahusiano au imeanza baada ya kuingia ktk ndoa kwa hiyo miaka miwili.!

Kwahiyo ni muhimu sana kumsoma mwenzi wako kabla ya kushiriki kufanya ngono, kama unadhani mwenzi wako hayuko katika mood nzuri basi ni vizuri kuahirisha zoezi, lakini pia wapo watu (hasa wanawake) ambao hisia zao za ngono ziko mbali sana, lakini zikishapanda zinachukua muda mrefu kushuka (kufika kilele).

Kwahiyo ningekushauri yafuatayo:
Jaribu kufanya mambo ya kumfurahisha ikiwa pamoja na mawasiliano mazuri (maongezi, calls, sms), kumletea zawadi ambayo huwa anapenda; hata kama anapenda ice cream au hata pera nunua mpelekee. Toka naye nenda naye sehemu ambayo unadhani atafurahia (outing), kama anapenda mishkaki nanda naye sehemu ya mbali mkiwa wawili mkale mishkaki. Mwambie kuwa unapenda na mwonyeshe hivyo pia... wanaume kwetu inakuwa ngumu kumwambia mwenzi wako kuwa "unampenda" wanawake wanakerwa sana na hilo. Mletee zawadi ambayo ataipenda zaidi, zungumzieni kuhusu mapenzi mara nyingi, hayo yote yana uwezo wa wa kumjengea hisia zaidi za kushiriki ngono.

Mara nyingine, vitu vidogo sana vikamfanya mwenzi wako kukosa hamu ya kushiriki ngono. Kwa wanawake wako tofauti sana na sisi wanaume. Ngono ni sanaa ya hali ya juu sana, inahitaji sana uelewa. Nadhani kwa hayo machache yanaweza kusaidia.
kwenye black nakuunga mkono 100% tatizo wanaume wanaolewa hayo ni 1 kati ya 100...sasa uone wanawake tulivo na tabu sie mana kumpata huyo 1 muelewa kazi kwelikweli
 
Hajatahiriwa yuko mzima, nisaidieni maeneo nyeti ya kumshika ili asisimke. Nakosa raha.

hapo inabidi umuulize ww hapo huyo mkeo mana kila mwanamke ana sehemu zake ujue ohooo! nitakuambia hapa umshike sehemu hii kumbe ndio uende kulikoroga,,, ni vema ukamuuliza mbona kawaida tu kumuuliza mpz/mkeo wako kua nikushike wapi laaziz wangu jamani
 
1.Chunguza vizuri kwenye K yake....mulika na tochi labda atakuwa amekeketwa na kutolewa kisimi
2.Kaa naye muulize je ana tatizo gani coz yaonesha wakati wa kuduu kumbe yeye anawaza kukata nyanya za kuungia mboga jikoni au anawaza kwenda sokoni....funguka mkuu usimuoneee so mkeo huyooo!
khaa! jamani
 
Back
Top Bottom