Search results

  1. L

    BBC Live! Mdahalo kuhusu usufiri majini. Fuatilia

    Tatizo la meli zetu kuzama nani wa kulaumiwa? Ni serikali, bunge, abiria, sumatra au wamiliki wa meli
  2. L

    Hii ya bajeti ya 2012/2013 imekaaje?

    Bajeti ya mwaka 2012/2013 imepitishwa kwa mbunge mmojammoja kusema ndiyo au hapana je hii imewatendea haki wabunge ambao hawakuwa tayari kupitisha lakini kwa kuwa anatamka live ataogopa kusema hapana. Naomba tujadili kidogo.
  3. L

    Sherehe za Mei Mosi Tanga, JK mgeni rasmi

    Leo ni siku ya wafanyakazi duniani. JK atazungumza na wafanyakazi kupitia sherehe za mei mosi. Atakuwa na jipya la kuwaambia wafanyakazi maana amekuwa hatekelezi ahadi zake? Amesahau alipowaambia wafanyakazi akili zao wachanganye na za mbayuwayu wakati wa mgomo wao na kuwaambi wagome hata...
  4. L

    Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

    Wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na magamba kuchanganya siasa na mila. Pia anadai magamba wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama...
  5. L

    Nassari kufikishwa mahakamani kwa kuchimba visima bila kibali.

    Kuna tetesi hapa A town kuwa Nassari anaandaliwa zengwe la kufikishwa mahakamani eti kwa kuchimba visima alivyoahidi wakati wa kampeni bila kibali cha serikali. Magamba wanadai ni kitendo cha rushwa ndiyo maana amechaguliwa. Mwenye habari zaidi atujuze. Magamba wanazidi kuweweseka. Chanzo...
Back
Top Bottom