Search results

  1. eumb

    Jengo la LAPF Millenium Tower laezuka paaa lote

    Hayo ni matokeo ya 10%, hakuna aliyefuatilia ubora wa kazi iliyokuwa inafanywa na Mkandarasi wakati wa ujenzi
  2. eumb

    Jibu, kwanini Vyuo vya Elimu juu vilichelewa kufunguliwa?

    Nilijiuliza sana kwanini vyuo vya Elimu ya Juu vilichelewa sana kufunguliwa Mwakangale Juu sikupata jibu, sasa ni wazi ucheleweshaji huo ulitokana na idadi ndogo ya wanafunzi ambao watapewa mkopo. Serikali iliogopa reaction ya wanafunzi wakati wa kampeni huku mgombea wa Ukawa akitaja moja ya...
  3. eumb

    Halima Mdee waokoe Wanawake leo!

    Baada hoja ya Escrow akaunti kuwasilishwa bungeni na kamati ya PAC, wabunge wamepata nafasi ya kutoa maoni yao, Lkn kilichonisikitisha ni jinsi wachangia karibia wote kwa upande wa wanawake wameshindwa kabisa kujenga hoja na kuonyesha waliingia bungeni kwa kubwebwa. Namuomba Mhe Halima leo jioni...
  4. eumb

    Road licence Kufutwa

    Kero yangu kwenye kulipa road license ni ile cost ya fire, halafu hakuna chochote unachopata kutoka fire department
  5. eumb

    Wanasiasa & TCRA mko wapi, watanzania masikini tunaibiwa na Vodacom

    Ni kweli kabisa jamaa wanaiba mchana kweupe, nimeweka kifurushi cha wiki kwa 5,000 nikawasiliana mara moja then kikaisha, ukipiga customer care hakuna majibu ya kuelekea. Anyway nimeamua kuwaweka pembeni kwasababu wao sio monopoly, sokoni kuna wengi, wanaangalia quick profit lkn itawa cost.
  6. eumb

    Hongera CHADEMA, haba haba hujaza kibaba

    Swali muhimu, idadi ya waliojiandikisha ilikuwa 92,000, waliojitokeza na kupiga kura walikuwa about 23,000, je hao wengine walipotelea wapi?
  7. eumb

    Police Ferry Magogoni waendelea kudhalilishwa

    Imekuwa jambo la kawaida sasa kwa polisi wa ferry upande Magogoni kudharauliwa na kutukanwa na madereva wanaovunja sheria kwa kutokufuata foleni na kuchomekea wengine hasa nyakati za jioni. Askari wanapotaka kuwachomoa pale wanapochomeka, wanashia kupewa lugha za kejeli na kudhalilisha...
  8. eumb

    Mh. Pinda; Mbunge wa CCM atakayetetea kura ya siri atanyang'anywa kadi!

    Hii ina maana kama mbunge ataonekana kupiga kura ya wazi kupinga msimamo wa chama ktk kipengele Chochote cha katiba atashughulikiwa pia! Kweli tuna safari ndefu ya kufika kwenye demokrasia ya kweli.
  9. eumb

    KUFURU: Posho Bunge la Katiba ni sh 700,000 kwa siku!

    Wakati walimu wakidai serikali zaidi ya 80bl, madai yanayowafanya kukumbana na hali mbaya ya maisha. Pia hali ya ukata imeripotiwa katika taasisi mbalimbali za serikali, lakini chakushanga ni serikali hiyo hiyo imepanga kuwalipa wabunge wa bunge la katiba posho ya Tsh 700,000 kwa siku. Sasa...
  10. eumb

    Kivuko cha MV Magogoni chaelea baada ya injini kuzima

    Mungu ajalie watoke salama!
  11. eumb

    DKT Slaa yupo nje ya Bara la Afrika katika mkakati wa kuboresha Afya Nchini,

    Acha kuropoka, kama hujawahi kufika Dar au upo, basi usikilize porojo, nenda msasani ukaone Ward kubwa ya kisasa ya Wamama na Wtt pale CCBRT inayojengwa, hawa jamaa wanafanyakazi hawana mchezo na hizi hela wanazopewa
  12. eumb

    GODBLESS LEMA: Tembo wengi wanauawa nje ya hifadhi kihalali kwasababu......

    Sio sahihi, tembo anawindwa na kibali halali kutoka Idara ya Wanyama pori, lakini lazima awe dume mwenye jino lisilopungua uzito wa kilo 15 na urefu wa 1.5m
  13. eumb

    Uwekezaji Kwenye Mafuta na Gesi - Gharama Ziko Ndani ya Uwezo Wetu...

    Ina maana wewe hujui maana ya Insurance? Hiyo mitambo yote inakuwa insured.
  14. eumb

    Mh. Kigwangala amkana Mh. Lowassa kuwa mgombea urais 2015

    Duh, nimempata vizuri sana, kamchana vibaya sana, anasema hawezi kumpa kura mtu aliyejiuzulu kwa kashfa kubwa kama ya Richmond!
  15. eumb

    Picha: Hali ya Muhimbili kwa sasa inatisha

    Halafu utashangaa tulikuwa na mabilioni yakumpokea Obama mpaka barabara zikapigwa deki!!
  16. eumb

    JK apanda chati DRC!!!

    Unashangaa ya DRC na Rwanda, katafute ya Israel na majirani zake ndio balaa.....
  17. eumb

    Oprah Winfrey lands in Serengeti for private visit

    No, the first is Ruaha National Park, Selous is a Game Reserve.
  18. eumb

    CHADEMA yamuanika JK, CCM

    Wewe ndio mdaku, wao wameandika na kutoa ushahidi wa picha na kunukuu maneno ya Shigela, sasa badala ya kujibu kwa hoja unaropoka, ha ha haaa!!! Nafikiri hilo gazeti lazima leo liwekewe mikakati ya kulifuta maana limemuanika vibaya JK, Mwigulu na CCM.
  19. eumb

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Sikushangai kwasababu wewe ndio wale mliopewa tender za kupamba, kusafisha brbrb, n.k. kamwe huwezi kuona umuhimu wa kubana matumizi.
Back
Top Bottom