Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Hamuwezi kumpa attention dr slaa kwakuwa waandishi wa habari wengi ni akina abdallah, omari, rashid, amina na mengine kama hayo kama ilivyo BBC Swahili
Whats your point exactly?
Hamuwezi kumpa attention dr slaa kwakuwa waandishi wa habari wengi ni akina abdallah, omari, rashid, amina na mengine kama hayo kama ilivyo BBC Swahili
Naona anatafuta attention ya media baada ya kupotezewa kwa muda.
Kwa sababu ya kupuuza upinzani na kung'ang'ania kutekeleza agenda za kidini za chama chake cha muslim brotherhood. Tukubali; vyama vya kidini haviwezi demakrasia kwa sababu badala ya kua na ajenda ya kutatua matatizo ya watu hapa duniani vinafikiria kutii vitabu vitakatifu ili kuwapeleka watu ahera. Hiyo sio kazi ya serikali.
Nimeikuta hii kwenye magazeti ya nje. Nadhani watanzania wenzangu tuna la kujifunza sana kuhusu hii statement ya Obama: Kuna version mbili ila zote ni maana moja: Soma hii:
Obama "Democracy not just about elections, but how you treat opposition"
"Democracy is not just about elections. It's also about: how are you working with an opposition; how do you treat dissenting voices; how do you treat minority groups," Obama said on Monday.
Wana JF … Nawasilisha….
sema umelaaniwa wala usituhusishe na wengine ambao hawajalaaniwa we baki na huo uchochezi wako.
Huo ni mzahaManeno yako ya kweli ndio maana nasema kamwe chadema haitakuja kuongoza hii nchi kwani Chadema ni chama cha kikristo,
Angalia picha hizo hapo chini zinajieleza vizuri kabisa, sasa nauliza swali, hivi tumelaaniwa?
Gari analotembelea Obama lilifahamika kabla hata hajatua Bongo, lakini sisi tukajidai tuna hela sana na kusafisha mpaka barabara kwa sabuni, gari yenyewe ni full Aircondition. Jamani hivi hawa viongozi hawaoni matitizo ya wananchi? Au kwasababu wao wake zao wanajifungulia Aghakhan Hospital? Bajeti ya kuendesha nchi lazima tuwapigie magoti hao hao watuwezeshe lakini wakati huo tunajidai tuna hela za kuosha barabara. Halafu nashangaa anayejiita Chris Lukosi analeta thread ya kuiponda CDM eti haina sera, sasa hizi ndio sera za chama tawala halafu sisi wenye akili tuzifagilie??!!!
umbumbumbu wa CCM wanafikiri Obama hajui kinachoendelea ndani ya Tanzania, kwa taarifa yetu Obama anajua kila chembe - hata aliyemuua mwandishi Mwangosi anajua kuwa ni serikali yenu. na ndiyo maana akatoa statement ile, shame on you. badilikeni mnaongoza chama kizamani (analogue nyie)
cc Ritz
Mwita MaranyaKama ni attention ya media basi anayo kubwa sana. Kila uchao ukipitia kwenye social media habari ya "mujini" ni Dr. Slaa. Nenda JF, nenda Facebook(hasa kule tanuru la mafisadi), nenda Twitter, kote huko Dr. Slaa ndiye gumzo la nchi.
Fanya kautafiti kadogo tu hata hapa JF uone ni mwanasiasa yupi aliyeanzishiwa threads nyingi zaidi kuliko wengine. Tena threads nyingi zinaanzishwa na maccm ambao mkimsikia tu Dr. Slaa mnachanganyikiwa.