Search results

  1. TheTruth

    Natafuta Apartment ya kuishi Arusha au Arumeru- Bei isizidi Laki na Nusu kwa mwezi.

    Maeneo yote ya nje ya mji wa arusha are great, ikiwa maeneo ya arumeru its awesome pia ila isiwe tu maji ya chai. Apartment hiyo iwe na facilities kama maji na umeme, na iwe na 2 bedrooms na sebule, then jiko na toilets..iwe mahali secured. Natarajia kuhamia within this month. Kwa mwenye...
  2. TheTruth

    Natafuta Shamba la kununua Arusha au Arumeru- Kubwa kwa Bei Isiyozidi Million 5.

    Kwa yeyote mwenye information juu ya upatikanaji wa kiwanja maeneo ya arusha ambalo naweza kufanya shamba hasa nje ya mji kidogo ila si maeneo ya kisongo au hiyo barabara ya arusha dodoma bali maeneo yote ya barabara ya arusha moshi kasoro tu maeneo ya maji ya chai. Wasiliana nami...
  3. TheTruth

    Kuitwa kwa usaili kwa mawakili wa serikali ( state attorneys)

    Wadau nimesikia kuwa kwenye gazeti la nipashe la tarehe 25/06/2012 ofisi ya mwanasheria mkuu imetoa makina ya watu waliofanikiwa kuitwa kwa usaili kupia maombi waliyotuma utumishi..je ni kweli taarifa hizi? Maana sikusoma nipashe la tarehe hiyo
  4. TheTruth

    Nahitaji kiwanja cha kununua maximum price million 5- arusha( nje ya mji kidogo )

    Kiwanja hicho kiwe maeneo yenye ardhi nzur yenye maji na access ya umeme, maeneo ya makazi ya kuishi, pls wasiliana nami , ningepenelea maeneo ya kule chini moshono, ngaramtoni au popote pazuri
  5. TheTruth

    Natafuta Kiwanja cha kununua Arusha maeneo ya nje ya mji kidogo

    nahitaji kiwanja cha kununua kati ya sh, million 3 mpaka 5..kiwe maeneo yenye maji na umeme na maeneo ya kuishi.....pls wasiliana na mimi 0658-000-569 nahitaji kiwanja hicho mapema.
  6. TheTruth

    Natafuta Nyumba Ya Kupanga Maeneo ya kuanzia Usa-River mpaka Ngulelo Arusha

    Wana JF, natafuta nyumba ya kupanga iwe ni self ndogo yenye vyumba viwili vya kulala na mengineyo muhimu, maji na umeme pia yawepo, Iwe maeneo yeyote kuanzia Usa-River mpaka pale Ngulelo Arusha au kwa ndani ndani kidogo kuelekea Meru juu. Naomba Mtu yeyote mwenye taarifa ya upatikanaji wa...
Back
Top Bottom