Search results

  1. M

    Stop mijadala kuhusu gesi

    Huyu mburula ndio wamesha lewa na ile pombe ya amani bora kuliko haki, sasa watu wa mtwara wametambua amani bila haki ni sawa mboga bila chumvi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  2. M

    Saka hao Panya Nyumba kwa nyumba!

    Asilimia kubwa ya watanzania wanapumbazwa na Neno Amani, wanadhani Amani ni bora kuliko haki, na wanashindwa kuelewa Amani bila haki ni sawa na mboga bila chumvi. Tambua hii ni Dunia ya mungu upende usipende lazima atailinda dunia kupitia sisi kama wewe hautaki haki unataka amani peke yake basi...
  3. M

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Mimi naamini kuwa Tanzania si Dar Es Salaam peke yake, lazima serikali ipanue uchumi wa mikoa ya pembezoni, na rasilimali gesi itumike kwa manufaa ya taifa zima ikiwa palepale Mtwara, tujenge mtambo mkubwa wa kuzalisha umeme na kuunganisha na gridi ya taifa, tujenge viwanda vya mbolea na...
  4. M

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    c) Kuhusu msimamo wa wananchi wa mikoa ya kusini wanaotaka gesi ilinufaishe Taifa ikiwa palepale Mtwara; Katika kutengeneza uchumi mpana wa nchi, mimi naamini katika uchumi shirikishi utakaoleta maendeleo shirikishi(Inclusive Development). Katika uchumi shirikishi, lazima rasilimali za nchi...
  5. M

    usiposema ni mrembo ni wivu tu

    Hey! Kapendeza tu si kwamba mrembo kiviiiikle ila kapendeza! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  6. M

    Pole na kazi Afwande..

    Huo mti ukizama? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  7. M

    Bravo Joyce Ndalichako

    Kweli huyo mama kafanya vzur, maana katekeleza azma ya baraza la maaskofu. Una haki ya kumpa hongera Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. M

    Tweet ya CCM yenye Kingereza Kibovu iliyogeuka Kichekesho Kenya!

    Matokeo ya nape hamkuyaona aliyaanika John mnyika, na chuo kasoma india vyo vya kichochoroni, so msishangae. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  9. M

    Watangazaji Clouds Fm kipindi cha Jahazi waitana 'Mashoga'

    Ilikuwa utani wa kawaida, na walikuwa wanamaanisha rafiki, acheni tabia ya usaliti na unafiki jamaniii Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  10. M

    Wapelelezi Wa Marekani Waanza Kukamata Watuhumiwa

    Mnapumbazwa na wamarekani anaua yeye alafu nyinyi mnaoana wanaua alqaeda, alizusha kuna alqaeda afghanistan ni marekani kaenda kule kaanzisha vita watu wamekufa mnasema alqaeda, kaenda iraq kazusha kuna silaha za sumu kaenda kaua mnasema alqaeda, mtu muuza madawa ya kulevya kauwawa, mnasema...
  11. M

    Dar: Wanne mbaroni kwa Uchochezi wa Kidini!

    Wachochezi au wasema kweli? Kuweni wazi ukweli hautakiwi! Ujinga ndo amani au sio? Haya bhanaa! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  12. M

    NECTA: Matokeo ya Kidato cha Nne yaliyotangazwa ni sahihi

    Ushafahamu nini kama kuna favour maana unashauuuuku kutetea! Kila kitu kinajulikana bhana favour ipo baraza na matokeo yamechakachuliwa, ila kwa kuwa nguvu inatumika, na kujifanya wajanja basi na way, tuko kimya lakin tunaelewa! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  13. M

    nafasi za kazi OPPORTTUNITY TANZANIA LIMITED

    Kama ni kweli please nitumie e mail yao nitume application Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  14. M

    Maaskofu Z'bar: Hatuhusiki na waraka wa vitisho

    Hata mkisema mmeua hamtafanywa kitu si mmekamata mamlaka bhana, hata akifa muuza unga semeni waislam wameua simmekamata mamlaka bhana Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  15. M

    Tetesi: Ustaadhi ilunga kaingia mitini!...

    Huna akili wewe unamuabudu binaadam mwenzio, ilunga kichwa kile, wafanye haki na wasitumie nguvu kuhojiana nae waone, hakuna hata kimoja anachokiongea kuwa ni uongo, vyote kweli, kwa mujibu wa Qur'an na hadithi, kama hivyo waikamate Qur'an waifungie maana ndo iman inasema hivyo, na ana haki ya...
  16. M

    Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

    Kwa kweli ni swali la kujiuliza, why iwe Zanzibar ndio kuwe division zero nyingi? , na pia why iwe lindi mtwara zero nyingi? Na kwa nini iwe shule za kidini tena upande wa wa kristo ndo division 1 ziwe nyingi? Na kwa nini shule za kata ambazo wananchi wa kawaida division zero ziwe nyingi? Hapa...
  17. M

    Shamba linauzwa madale

    Mi nauza kiwanja cha kujenga maeneo ya mbezi salasala, kinafaa kujengwa, sehemu nzuri, ya ukweli. Kama unania ya kununua nijibu then tutawasiliana ukaone ukipenda. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  18. M

    Ajira za kumwaga light dream organizatiom

    Utapeli huo, mi ajira ya kutoa pesa hapana, sitoi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Back
Top Bottom