Saka hao Panya Nyumba kwa nyumba!

umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!

Akili matope kabisa.
 
.
Inaelekea kuwa unaweza tu kutamka neno amani lakini kwa ujuzi wake huifahamu hata kidogo.
.
 
Bora yao hao unaodhan kuwa wameshikiwa akili kuliko wewe unayetulia ukidhani kuwa mawazo ya viongozi wako ni sahihi kusaini mikataba na kuifungia kwenye makabati yao.
Harvey Fierstein said "Never be bullied into silence. Never allow yourself to be made a victim. Accept no one's definition of your life; define yourself."
Je ulishiriki kuisoma hiyo mikataba hadi viongoz wakaisaini?

usilolijua nitatizo sana!
watu kupewa kichapo wanapotumia uhuru wao vibaya ni sawa tu, kwan tanzania ndo yakwaanza kutoa kichapo kwa waandamanaji? huwezi kuniambia kwakua hujui mkataba umeandikwa nini ndo uanze kuchoma majengo, we utakua mwehutu!
 
yan wewe unaweza ukauzwa na bado ukakaa kimya tu but ni haki yako kuona wenzako hawana akili coz hata mwehu anayetembea uchi barabaran pia hudharau watu anaokutana nao
 
umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!

Hata Ghadaffi aliwaita raia wake kama unavyowaita wewe "panya" ila siku ya kiama aliwaomba japo tone la maji kwani kinywa chake kilikuwa kimekauka akiomba huruma ya wale aliowaita "panya". chezea raia wewe? kiama chako na ccm kimo mikononi mwetu.ipo siku hutaamini, ------ wewe!
 
wakati mwingine bora kuadabisha kwa viboko tu! Pengine itasaidia wale wanaoshikiwa akili zao na watu wengine wanaweza kuzinduka viboko vikikolea na itakua funzo kwa baadae!

kweli kaka, cjui huyu jamaa kaahidiwa ujumbe wa nec au ukuu wa wilaya?
 
Lakini si unajua kuwa kuna mwisho wake...tukishapigana wiki mbili tuu hapa mgawanyo sawa wa silaha na wananchi tutawadi askari kwa wingi..nitakutafuta nikufanye...cc panya basi mtajua panya kuwa anaweza leta majanga...
usilolijua nitatizo sana!
Watu kupewa kichapo wanapotumia uhuru wao vibaya ni sawa tu, kwan tanzania ndo yakwaanza kutoa kichapo kwa waandamanaji? Huwezi kuniambia kwakua hujui mkataba umeandikwa nini ndo uanze kuchoma majengo, we utakua mwehutu!
 
Asilimia kubwa ya watanzania wanapumbazwa na Neno Amani, wanadhani Amani ni bora kuliko haki, na wanashindwa kuelewa Amani bila haki ni sawa na mboga bila chumvi. Tambua hii ni Dunia ya mungu upende usipende lazima atailinda dunia kupitia sisi kama wewe hautaki haki unataka amani peke yake basi Mungu hilo halitaki, atatoa watu katika sisi wataileta haki hata ikibidi kwa njia yeyote!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Du! huu ukereketwa sasa umepitiliza.
Yani hadi binadamu wenzie anawaita panya!!
 
jamani hivi huyu KIJAKAZI ni raia wa tz kweli? haaa! hili ni ajabu lingine.. kweli kwa umburula huu anayo haki ya kuandika hivi alivyoandika, chamsingi hebu tujaribu kumuombea. kwn watu kama hawa ni hatari sana kwani wapo tayari hata kutoa roho ya mtu kwa sababu ya kutimiza matakwa ya watu wachache tena wanyonyaji wakubwa kupitia mikataba ya 10% percent. lakn simlaumu sana kwani njaa haina adabu atleast hako kabuku 7 anakopata kwa siku kanafanya hawala yake anaenda choon.
 
umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!

Lumumba one-maamuzi ya ajabu ajabu....wewe kama mwanamke nina wasiwasi umeachika kama mara 5 hivi-kwa sababu ya tabia mbaya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Lakini si unajua kuwa kuna mwisho wake...tukishapigana wiki mbili tuu hapa mgawanyo sawa wa silaha na wananchi tutawadi askari kwa wingi..nitakutafuta nikufanye...cc panya basi mtajua panya kuwa anaweza leta majanga...

ndugu tukifika pakutafuta silaha jua watu wakutupatia silaha wapo wengi sana lakin masharti yao pia ni bora watanzanie wadai haki zao bila vurugu!

nikupe mifano ya libia iraq na sudani ambako yalitokea kama unayoyataka lakin muda huu tunavyochart hapa watu hawa wanajutia maamuzi yao japo kwakua walichotarajia kukipata baada ya mapigano hakipo tena au pengine hakina dhamani kama gharama walizopata vitanilakin hata hivyo hawana tena lakufanya zaidi ya kuyapokea matokeo yao!
Je na sisi tumeamua kwa dhati kuwaiga hawa? Tumeridhika kurubuniwa na wanaotamani kuiongoza nchi?

Maamuzi yapo mikononi mwetu ila binafsi staunga mkono kuona kila mtu anachokitaka lazima kiwe hinyo, ukivunja amani unastahili hukumu yako, mbona kuandamana inaruhusiwa kisheria kwanini ubomoe miundombinu ya nchi?
 
umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!

Hizi ndizo lugha walizokuwa wanatumia Intarahamwe wakati wa kufanya mauaji ya kimbari huko Rwanda. Wao waliwaita Watusi mende. Mtindo huu wa kuwatambulisha binadamu kama wadudu au wanyama inawapa urahisi wa kisaikolojia kwa wauaji kutekeleza mambo yao. Lugha kama yako ya kuita watu panya inastahili kukemewa kwa nguvu zote!
 
Back
Top Bottom