Stop mijadala kuhusu gesi

Elineema J Mosi

JF-Expert Member
May 17, 2013
808
148
Ndugu wana jf. Naomba kuwasihi kuacha mijadala kuhusu Gesi,kama Bunge linaarishwa basi n wazi hata mojadala inachangia kuhamasisha hvyo tuache mijadala hiyo. Serikali wao napendekeza warejee kauli ya " Baba wa taifa kuhusu Madini"
 
Ulikuwa unakunywa mbege hapo kwa mzee Nnyari nini? Yaani hutaki mjadala unataka watu wasiseme ili iweje?
 
Ulikuwa unakunywa mbege
hapo kwa mzee Nnyari nini? Yaani hutaki mjadala unataka watu wasiseme
ili iweje?

Mkuu nipo Mtwara ss,nilisafiri kikaz ndugu hata hiyo mbege sijaiona kitambo na acha kurukia mada mkuu. Lait ungeona hali halisi bas ungekubaliana nam kuwa mijadala inazidisha Munkari na fujo zaid hasa akija mkubwa hapa jf na kucomment chochote hvyo tuwe wazalendo nduguzangu.
 
Ndugu wana jf.
Naomba kuwasihi kuacha mijadala kuhusu Gesi,kama Bunge linaarishwa basi n
wazi hata mojadala inachangia kuhamasisha hvyo tuache mijadala hiyo.
Serikali wao napendekeza warejee kauli ya " Baba wa taifa kuhusu
Madini"

Updates Baba wa Taifa aliwahi sema kuwa kama maarifa na nguvu yakuchimba madini hatuna kwa sasa basi tuachie vizazi vijavyo! Hivyo basi tuache mijadala na Serikali nayo irejee makumbusho na kuchomoa moja ya hazina kdogo ya MlNyerere kuhusu raslimali zetu.
 
Uzalendo ni kutetea raslimali zetu sio kukaa kimya kama unavyodai. Waulize watu wa Buhemba walicheka na nyani sasa wanavuna mabua, nenda Geita, tembelea vijiji vya Nyakabale, nenda Kahama ujionee jamaa wanavyohamisha Prof. juzi kasema mwenyewe kwamba wamekamata madini ya thamani ya Bil 13 zikihamishwa kishikaji wewe unataka kutwambia nini BWANA Kula samaki nchanga ukalale
TAFAKARI!!!!!!!!!!!!:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Uzalendo ni kutetea
raslimali zetu sio kukaa kimya kama unavyodai. Waulize watu wa Buhemba
walicheka na nyani sasa wanavuna mabua, nenda Geita, tembelea vijiji vya
Nyakabale, nenda Kahama ujionee jamaa wanavyohamisha Prof. juzi kasema
mwenyewe kwamba wamekamata madini ya thamani ya Bil 13 zikihamishwa
kishikaji wewe unataka kutwambia nini BWANA Kula samaki nchanga ukalale
TAFAKARI!!!!!!!!!!!!:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A
S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:

Mkuu sina maana mbaya bali napenda watu wajikite zaidi kwenye kujadili hatma ya rasmali yetu hii na kuacha kushabikia vurugu za Mtwara,kumbuka si nia ya muungwana kuona damu ya mtu inamwagika kiholela. ukitizama hili jambo utaona Serikali imeshindwa kutumia busara sasa napenda ss tuonyeshe Busara zaidi ili baadae tuipe serikali hii hukumu stailiki
 
bi kidude mpaka huku jf. du..... moods acheni kazi sasa tumeingiliwa..
 
duuuuh umeamkia toka wapi ndugu. mbona uan hasira hivyo? serikali yako ndiyo inaondoka.
 
Mkuu sina maana mbaya bali napenda watu wajikite zaidi kwenye kujadili hatma ya rasmali yetu hii na kuacha kushabikia vurugu za Mtwara,kumbuka si nia ya muungwana kuona damu ya mtu inamwagika kiholela. ukitizama hili jambo utaona Serikali imeshindwa kutumia busara sasa napenda ss tuonyeshe Busara zaidi ili baadae tuipe serikali hii hukumu stailiki

Kukaa kimya ni hatari zaidi kuliko kujadili jambo la gesi ya mtwara,ukimya unaoutaka leo kesho litakua balaa zaidi,acha watu wajadili ni haki ya msingi ya kila mtanzania kutoa maoni yake katika swala hili.
 
548446146.jpg
 
duuuuh umeamkia toka wapi ndugu. mbona uan hasira hivyo? serikali yako ndiyo inaondoka.

Sina Hasira Mkuu bali hali halisi n kwamba watu watapoteza uhai bila ya Serikali kujali hvyo tutapoteza ndugu zetu,wake zetu,waume zetu hivyo tuonyeshe Ukomavu na kuachana na suala la Gesi na tutizame tu watakavyofanya kisha rungu letu tulihamishie 2015 hawa hawasikii chochote na hakuna huruma hapa.
 
tatizo CCM hawajasoma alama za nyakati na kwamba wanadhani wanayofanya yatawafikisha popote. hivi mikoa yote wakiamua kuingia barabarani itakuwaje? watu wamechoka na maisha ..katika safari ya ukombozi mwiko kurudi nyuma
 
tatizo CCM hawajasoma
alama za nyakati na kwamba wanadhani wanayofanya yatawafikisha popote.
hivi mikoa yote wakiamua kuingia barabarani itakuwaje? watu wamechoka na
maisha ..katika safari ya ukombozi mwiko kurudi nyuma

hizi hasira ni Muhimu sana lakini tuzielekeze kwenye sanduku la kura. Wanapunguza wapigakura hivyo baada ya kujua sio wafuasi wao maana wanaonekana kuwapinga sana.
 
"All parties must recognise that mineral wealth belongs to the people. Government may end up managing the wealth, but these resources belong to the people. Transparency is critical," Prof Peter Eigen, a member of the Africa Progress Panel.
 
Huyu mburula ndio wamesha lewa na ile pombe ya amani bora kuliko haki, sasa watu wa mtwara wametambua amani bila haki ni sawa mboga bila chumvi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom