Search results

  1. M

    TV4Sale LG 49" LED TV FULL HD

    Thnx, ntakupgia tuongee zaid
  2. M

    TV4Sale LG 49" LED TV FULL HD

    Mkuu Lg 43" smart tv unayo, bei gan pia?
  3. M

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Ina internal memory ngapi tufanye biashara?
  4. M

    Simu Iphone 4s 32gb

    huko mbali mkuu, thanx
  5. M

    Simu Iphone 4s 32gb

    Mkuu kimya tena hiyo cm ipo?
  6. M

    Simu Iphone 4s 32gb

    Tupia picha yake watsap 0753006182 tuongee biashara!
  7. M

    Simu Iphone 4s 32gb

    hata yenye gb16 pia kama ipo
  8. M

    Simu Iphone 4s 32gb

    Nahitaji simu tajwa kwa mwenye kuuza bajeti yangu 200,000/=
  9. M

    iPhone 4s for sale

    kuna 170,000 ya fasta, pm tufanye biashara!!
  10. M

    IPhone 4s 16gb

    Mbona kimya mkuu ushauza??
  11. M

    IPhone 4s 16gb

    tupia contacts zako basi mkuu tuyajenge!!
  12. M

    IPhone 4s 16gb

    Simu ipo ktk hali gani? Siri app. inapga kazi? na vp kuhusu accessories zake kama ear phones, charger etc. unazo??
  13. M

    IPhone 4s 16gb

    Kula mia mbili fasta!!
  14. M

    Msaada wakubwa

    Naomba msaada wa kufanya manual configuration ya internet kwenye cm yangu maana kwa automatic inagoma (Android, phone model number ALCATEL ONE TOUCH 918)
  15. M

    pspf kimyaaaaaaaaaa

    hana uhakika wa anachokiongea, wameita lin? Na uache kudanganya wa2!
  16. M

    Vacancy - Loan officer!

    Thanx bro, vp lkn mnahitaji watu wangapi?
  17. M

    Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    Nina shemeji yangu ambaye ana tatizo ambalo tumeshindwa 2fanye nini naye! Ameolewa ni kama three yrz sasa, na ktk kipindi hiki tayari alishapata mimba takriban mbili! Mimba ya kwanza ilikaa miezi mitatu ikatoka na ya pili ilikaa miezi miwili pia nayo vivohivyo! Mbaya zaidi ni maumivu makali ya...
  18. M

    Kazi brac

    Msaada wa address kama vp( to whom the cover letter should be addressed?)
Back
Top Bottom