Habari.
Ninaishi kwenye familia ambayo wazazi wamempa nafasi kubwa mtoto wa kwanza Tuseme first born wetu.
Kiukweli hali hii imekuwa ikinikwaza sana hadi niliapa siku nikija kuzaa sitafanya hivi kwa watoto wangu.
First Born wetu ni kama ndo msemaji mkuu wa familia, kila anachosema yeye ni...
Habari.
Kimekuwa na ongezeko la vijana maarufu hasa wanaujulikana kama macelebrity.
Kutwa wamekuwa wakimsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kudai anaupiga mwingi.
Sijasema waache au wasiendelee kumsifia ila mimi naona kama uchawa wa kutaka kuitwa kwenye madaraka na nafasi za bure...
Habari za mchana.
Je, serikali imejipanga vipi na ina mpango upi wa muda mrefu kwa wakazi wa Kigamboni ambao wakuwa wakipata hadha ya kuhangaika na usafiri wa kivuko Ferry takribani mwezi mmoja sasa, kivuko kinachofanya kazi ni kimoja tu MV kazi.
Ambacho kuvuka upande mmoja kwenda mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.