Tuna ranchi zetu ambazo ni West Kilimanjaro ipo Kilimanjaro, Mzeri Hill ipo Tanga, Kongwa ipo Dodoma, Kikulula ipo Bukoba, Ruvu, Kalambo ipo Sumbawanga, Mkata ipo morogoro,Missenyi ipo kagera, Kagoma na Mabale. Hivyo basi kupitia Ranchi zote hizo unaweza kujenga Familia yenye Afya Bora kwa...
Je, wataka Kujenga Familia Yenye Afya Bora? Pata NARCO Kongwa Beef
Kongwa Beef ni Nyama yenye Ubora wa Kimataifa inayozalishwa na Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO). Kuweka oda yako piga simu kwa:
=================================...
NATIONAL RANCHING COMPANY LIMITED(KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED)
NAFASI ZA WAKALA MAUZO (SALES AGENTS) WA NYAMA YA KONGWA BEEFNA NGOMBE HAI WATAKAOANZISHA VITUO VYA MAUZO AU MADUKA YA NYAMA (BUTCHER) KOTENCHINI Kongwa Beef ni Nyama yenye Ubora waKimataifa...
NATIONAL RANCHING COMPANY LIMITED(KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED)
NAFASI ZA WAKALA MAUZO (SALES AGENTS) WA NYAMA YA "KONGWA BEEF"NA NGOMBE HAI WATAKAOANZISHA VITUO VYA MAUZO AU MADUKA YA NYAMA (BUTCHER) KOTENCHINI "Kongwa Beef" ni Nyama yenye Ubora waKimataifa...
KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED
NARCO
TANGAZO LA NGOMBE WANAOUZWA KATIKA RANCHI ZA
RUVU, KONGWA NA MZERI HILL-TANGA
TAREHE: 21/06/2012
Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) inawatangazia wafanyabiashara wote wa ngombe kuwa imeanza zoezi la kuwauza ngombe walioandaliwa na wataalamu...
KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED"NARCO"
TANGAZO LA NG'OMBE WANAOUZWA KATIKA RANCHI ZA RUVU, KONGWA NA MZERI HILL-TANGA
TAREHE: 21/06/2012
Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) inawatangazia wafanyabiashara wote wa ng'ombe kuwa imeanza zoezi la kuwauza ng'ombe walioandaliwa na wataalamu...
Ndugu sikonge tunashukuru kwa ushauri wako kwani tunaufanyia kazi,lakini tunaombi moja ,unaonaje kama tukikutumia form yetu ukajaribu kutusaidia kuorodhesha majina ya majirani zako pamoja na idadi watakazo chukua ili siku ambayo tutakuja hapo kwenye flats zenu tujue kuwa tunakuja na Oda ambazo...
Habari!
Nimekupata, tunayafanyia kazi maoni yako.Vilevile tunaweza kukuletea nyama hadi hapo ulipo endapo utachukua kg kuanzia 5. Wajulishe rafiki na jamaa zako
Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Ltd imeanza utaratibu wa kuwasambazia wateja wake kuanzia maofisi hadi majumbani bidhaa mbalimbali za Kongwa Beef, Nyama Yenye Ubora wa Kimataifa, kutoka kwenye ranchi zake 10 ambazo zipo karibu kila pande ya nchi.Kongwa beef ni nyama organic yenye utamu...
Tunafuraha kuwatangazia watanzania wote kwamba kampuni ya ranchi za taifa sasa imedhamiria kuwalisha watanzania nyama yenye ubora wa kimataifa na salama kwa afya na matumizi kwa binadamu.
Karibu katika duka letu lililopo mtaa wa nkurumah au tunaweza kukuletea mahali ulipo endapo utanunua kilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.