Habari wanajukwaa hili la biashara!
Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera, na kwa baadae nifumgue huduma zote za kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, Halopesa na wakaka...
Habari wadau,
Ningependa kufahamu mtu anayesoma kozi TAXATION anaweza kufanya kazi sehemu zipi?
Na kati ya kozi ya TAXATION na PROCUREMENT ni ikozi ipi yenye soko zaidi
Habari za wakati huu wanajanvi,
Naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa juu ya jambo hili. Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka huu ana division four ya 26 CIVICS D, HISTORY F, GEOGRAPHY D, KISWAHILI C, ENGLISH C, BIOLOGY D, MATH F
Je anaweza kusoma kozi gani ya afya?
Ahsanteni
Kuna haya majani yanaitwa "Catherine tea" yanasemekana yanapunguza uzito na unene kwa haraka sana nani alishawahi kuyatumia? Na je yana madhara yeyote kiafya AKSANTE
Kama swali linavyojieleza nini tofauti kati ya Android na IOS au kama swali cjaliweka vizuri tofauti kati ya simu inayotumia android na ios haya maneno mawili yana maana gani na yanatofautiana kivipi
Mbona siwasikii wale ambao walikuwa wanawasimanga walimu wa arts kwamba hawataajiriwa mwaka huu vipi mbona wamesizi hivyo au ulilishwa matango pori nini kuhusu ajira mpya za waalimu
Wiki zilizopita iliibuka mijadala mingi ooooh ajira za waalimu zimesitishwa, ooooh walimu wa arts hawataajiriwa, oooh ajira za waalimu ni mpaka mwaka mpya wa fedha, oooh serikali haina fedha kuajiri walimu wapya hela yote imeenda kwenye bunge la katiba. Mbona siku hizi siwasikii au wanaowatuma...
Habari za muda huu wandugu
Mm ni kijana mwnaume nina umri wa miaka 25 nafanya kazi kwenye shirika fulani la kitalii hapa mjini Moshi Kilimanjaro kazi yangu namshukuru Mungu inanilipa kwasasa nina hela taslimu shilingi milioni 20 kama mtaji niifanyie biashara gani itakayoweza kunilipa vizuri...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.