Search results

  1. Manjagata

    Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

    Janaume suruali jingine hili hapa!
  2. Manjagata

    Tahadhari: Kwa hali ilivyo tusishangae kushuhudia kifo au vifo kwa wanagombania kupanda Mwendokasi

    Dar watu wake hawajastaarabika kwa kweli, wao kila kitu ni kugombania tu! Halafu hawa jamaa wa mwendokasi nao wangekuwa wanapishanisha mabasi hata dakika 10 ingekuwa afadhali. Sasa mtu unakaa kituoni mpaka nusu saa hujaona gari!
  3. Manjagata

    Tahadhari: Kwa hali ilivyo tusishangae kushuhudia kifo au vifo kwa wanagombania kupanda Mwendokasi

    Yaani waingize daladala kwenye mwendokasi? We are not serious!
  4. Manjagata

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Zimegharimu kwa kweli!
  5. Manjagata

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tuchel na sub zake amejipiga kisu mwenyewe!
  6. Manjagata

    Tumegundua ushirikina/nguvu za giza unaofanywa na kijana kwenye biashara

    Tunataniana tu mkuu wala hakuna baya!😁😁
  7. Manjagata

    Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

    Kumbuka enzi hizo barabara zilikuwa nyeupe! Sasa hivi bodaboda maelfu njoo daladala nazo ni hatari tupu. Sasa tukiachiwa tujiamlie tutapoteza viongozi kwa uzembe!
  8. Manjagata

    Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

    Mkuu CDF asilinganishwe na kajamba nani.
  9. Manjagata

    Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

    CDF asilinganishwe na kajamba nani!
  10. Manjagata

    Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

    Unawaza kama umetoka kufirimbwa, kwa nini umwue kabla ya siku zake? Kamwulize huyo ndugu yako habari anazo! Hatakaa arudie ujinga!
  11. Manjagata

    Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

    Yaani mnataka mwingine daladala zenu kwenye msafara? Mkituulia CDF sisi tutafanyaje? Unaijua gharama ya kumtengeneza CDF wewe? Huyu ndugu yenu hatakaa arudie huo ujinga!
  12. Manjagata

    Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

    Wacha tumalizane naye atakuja akusimulie kama ilikuwa njia sahihi au la! Raia mna dharau sana!
  13. Manjagata

    Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

    Ndiyo boom ni ile hela ya kujikimu ambayo wanavyuo wanapewa 10,000 kwa siku. Ada ndiyo hawapewi mkononi, inalipwa moja kwa moja kwenye akaunti ya chuo. Huyu mbunge amekosea, wigo wa mikopo kwa wanafunzi uongezwe ili wengi WAPATE. Tena vigezo viondolewe ili wanafunzi wote wapewe mkopo! Hela ya...
  14. Manjagata

    Nimemuona mwizi mahali ninapoishi

    Wewe alikuona wakati anatoka humo chumbani? Ulimwona akiwa amebeba?
  15. Manjagata

    Natafuta MKE mwenye CPA(T), Doctor of Medicine au HR😎

    Miaka 48 unamtaka mamako?
  16. Manjagata

    Kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu wangapi bungeni?

    In short mwamba hujui hesabu! Yaani 60M ÷ 100,000 unapata wabunge 60?
  17. Manjagata

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Katakuwa kalimla haka kajinga! Eti ana kelele sana usijaribu!
  18. Manjagata

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Mnalishwa nyama ambazo ni condemned kule machinjioni! Mtakuja kuugua Hydatidosis hivi hivi, shauri yenu!
  19. Manjagata

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Ungemnunua huyo ukampelekee mwoto mpaka aongeee!
Back
Top Bottom