Itakuwa fainali kali sana.Hellooooo Wembley.,
Halafu Eti katoa Key Players, Haya angeweka basi Hata Mabeki ulinde Goli, anawaingiza Mababu kina MullerTuchel arudi darasani, kuongoza kwa tofauti ya goli moja kafanya sub nusu ya kikosi!
Tuchel na sub zake amejipiga kisu mwenyewe!Mimi nilitaka iwekwe mbili kwa mbili twende dakika 30.
Maana bavarians walikuwa wamemaliza kiungo
Mtu alikuwa nje huko anaota moto na goli zake.,kuingia tu watu wakaenda kwenye kibendera kushangiliaHalla Madrid dahh joselu 🔥🔥🔥🔥
Anataka Kuchukua Mikoba ya Mtakatifu Luca Modric, akistaafuRudiger mkali sana, kuna assist alimpa Vini akaikosa, amekuja kutoa nyingine ya goli la ushindi.
Sio mchezo.
Hakuna fainali kali yoyote kwa mbeleko ya Real Madrid leo itoshe kusema duniani huna hela huna haki.Itakuwa fainali kali sana.
Wangekufa NyingiMimi nilitaka iwekwe mbili kwa mbili twende dakika 30.
Maana bavarians walikuwa wamemaliza kiungo
Mimi nimecheka alivyomtoa Musiala kwa lengo la kumpumzisha kwa ajili ya fainali, kila nikikumbuka nacheka sana.Halafu Eti katoa Key Players, Haya angeweka basi Hata Mabeki ulinde Goli, anawaingiza Mababu kina Muller
Jamaa aliona kama ameshamaliza game, ndio maana akafanya sub za kiboya vile, ninadhani aliamua kujilinda zaidi.Tuchel na sub zake amejipiga kisu mwenyewe!
Toba!Hakuna fainali kali yoyote kwa mbeleko ya Real Madrid leo itoshe kusema duniani huna hela huna haki.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Zimegharimu kwa kweli!Jamaa aliona kama ameshamaliza game, ndio maana akafanya sub za kiboya vile, ninadhani aliamua kujilinda zaidi.
Mkuu Luca akistaafu nitalia machozi, namkubali sana!Anataka Kuchukua Mikoba ya Mtakatifu Luca Modric, akistaafu
Itakuwa alikuwa anaangalia mpira kinyume nyumeToba!