Search results

  1. N

    Mheshimiwa diwani afariki dunia

    bora wafe tu hawa magamba.
  2. N

    Wabunge wa Dodoma mmelala sana hivi mtarudi kweli Bungeni uchaguzi ujao

    kama huyu wa dodoma mjini ndo haeleweki kabisaa,mara kumi wangemchagua kimbisa kipindi kile.. anachokifanya hakieleweki!
  3. N

    Waraka wa wazi kwa mh. Raisi dr. Jakaya mrisho kikwete - kutoka udom

    UDOM inaendeshwa kibabe sana na yule prof wa kipare aan no kiswahili. Amekuwa mbele kutishia wafanyakazi wake,anajiona Mungu mtu. Hajui km hata watu wake wa karibu wanamzunguka kwa sasa kiasi kwamba copies za malipo ya 10% zote wamewapatia viongozi wa chama cha walimu. Ilichobakia ni kumlipua...
  4. N

    Wazee wa CCM walia Arumeru

    hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahaa.................. hiii si mchezo eti!!!!!!
  5. N

    Hivi wadada mko je jamani? Mwanitisha.....!!

    kama ikiwezekana wasiwe wanatuita majina ya sweetie,baby na mengine ambayo huwa wanawaita wasichana wenzao coz ni rahisi sana kuwasingizia wenzao pindi wanapofanya madudu!!!!!!!!!!!!!! hawa viumbe wana mbinu nyingi asikwambie mtu!!!!
  6. N

    Next Generation...

    arumeru mashariki hiyo pinokyo.......... weka na zile picha za mvuta bangi weni na masikio yake yaliyotobolewa!!!!!!!!!!!
  7. N

    JK kuhutubia Taifa leo kupitia uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru EAST

    duuuuuuuuh.. huyu jamaa nani huwa anamshauri lakini? mbona anafanya vitu visivyoelewekw kabisa! kweli tz tuna rais kiboko.
  8. N

    Udom vp mishahara ya feb kwa staff wapya?

    Kuna habari nimeambiwa na ndugu yangu aliyepo huko eti takribani waajiriwa wapya wa Choo Kikuu Cha Dodoma wapatao 80 hadi 100 hawajalipwa mshahara wa mwezi uliopita mpaka hv sasa. Kitu cha kushangaza uongozi umekaa kimya bila taarifa yoyote,tetesi zinasema kuwa taarifa iliyotolewa kipindi cha...
  9. N

    hodi hodi!!!!

    hey great thinkers naomba ukaribisho jamvini.. nimekuwa msomaji wa threads na comments mbalimbali za wajajf almost mwaka mzima na kugundua kuwa hapa ni mahali muafaka wa mimi kuwa member... pls wanaf naomba mnipokee!
Back
Top Bottom