Search results

  1. vanpersie

    Manunuzi ya led TV kutoka China kupitia alibaba

    Habari wakuu, Nimekuwa nikitafuta flat screen TV ya led 42 inch kwa muda mrefu ila kwa hapa bongo naona kama bei ni kubwa sana japo zinatofautiana kwa bei kwa kila brand name. Ila nimeangalia kupitia ebay naona bei zinaridhisha. Sasa niliingia alibaba ambayo ni ya China special ila bei zake ni...
  2. vanpersie

    simu yangu n96 inasumbua

    habari zenu wana jf, nina tatizo moja naomba mwenye utaalamu anisaidie. nina simu yangu nokia n96 niliinunua kitambo kidogo, sasa kila nikiwasha screen haiwaki zaidi ya kuonyesha mwanga mweupe tu kwenye screen na kisha unapotea. nimejaribu kuiwasha kwa 3 button lakini wapi, nimejaribu kuiacha...
  3. vanpersie

    speed ya internet wilayani mbona tatizo?

    wakuu mambo niaje? naomba kuuliza hivi kwanini mitandao yetu ya voda, airtel zantel na tigo hawana 3g wilayani? nipo mkoa wa kagera kama wiki tatu hivi kikazi lakini ukiwa mkoani pale Bukoba unapata 3g vizuri tu, ila ukifika wilaya za karibu kama misenyi na karagwe basi inakuwa mgogoro, kama ni...
  4. vanpersie

    hello wanajamii!

    hello! Am new here but for the few hours i have been here and peruzing i believe am here to stay! I wish i was here long ago.
Back
Top Bottom