simu yangu n96 inasumbua

vanpersie

Member
Mar 3, 2012
82
36
habari zenu wana jf, nina tatizo moja naomba mwenye utaalamu anisaidie. nina simu yangu nokia n96 niliinunua kitambo kidogo, sasa kila nikiwasha screen haiwaki zaidi ya kuonyesha mwanga mweupe tu kwenye screen na kisha unapotea. nimejaribu kuiwasha kwa 3 button lakini wapi, nimejaribu kuiacha muda mrefu bila betri lakini wapi. so kwa mwenye ufumbuzi naomba anisaidie.

nb: nimejaribu kufuatilia kwenye google lakini bila mafanikio sana sana watu wengi naona nao wanalalamika kuwa na matatizo.
thanx in advance
 
Back
Top Bottom