Search results

  1. Juma Wage

    Dkt. Slaa: Viongozi kuwa mstari wa mbele kwenye maandamano sio lazima

    ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt.Wilbroad Slaa amesema pamoja na kutokushiriki katika siasa za jukwaani lakini hataacha kushirikisha uzoefu wake kwa vijana ili wautumie katika harakati zao. Slaa amezungumza hayo leo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa JAMBOTV nyumbani kwake...
  2. Juma Wage

    "Ali Obeid Mengash" mkulima aliyeidondosha "Apache" helikopta kwa gobole

    Majasusi waliokuwa wakitazama taarifa ya Habari katika chumba cha Hoteli, waligonganisha glasi na kushangilia "Ndiyo" alisema mmoja wao. "Alifanya hivyo!" "Alifanya hivyo!" walikuwa wakimtazama shujaa wa siku hiyo. Mkulima mzee mkazi wa Karbala aliyeiangusha helikopta ya kimarekani aina ya...
  3. Juma Wage

    "Aliou Sawadogo" kijana wa Burkina Faso aliyeitungua "Drone" ya Ufaransa kwa manati

    Novemba 24, 2021 Kijana wa miaka 13 raia wa Burkina Faso, Aliou Sawadogo akiwa na manati yake porini akiwinda ndege, aliona kitu kikiambaa angani. Sawadogo akatoa jiwe kutoka katika kaptula yake kisha akaliweka katika kigozi cha manati na kuanza kutafuta shabaha. Akavuta pumzi na kuzishusha...
  4. Juma Wage

    "White widow" mjane mweupe anayeumiza vichwa vya majasusi duniani

    Siku chache kabla ya shambulio la Westgate, Elvis Weulo, mkazi wa Buruburu jijini Nairobi alipokea simu kutoka kwa Abdukadir Haret Mohammed, akimtaka amuuzie gari yake. Septemba 06, 2013 Elvis Weulo alikutana na Abdikadir Mohammed "Mohammed Hussein" akiwa na mshirika wake Hussein Abdi Ali...
  5. Juma Wage

    'RI CHUN-HEE' Mtangazaji wa vifo vya viongozi na silaha za Korea Kaskazini

    KOREA Kaskazini ni taifa huru baada ya kugawanyika kwa nchi ya Korea mwishoni mwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Awali eneo lote la Korea lilikuwa koloni la Japan kuanzia mwaka 1910 hadi 1945. Mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Jeshi la Russia lilivamia eneo hilo upande wa Kaskazini na...
  6. Juma Wage

    Muulize Mobutu utamu wa Kamanyola "Cheza bila jasho"

    WAPENZI wa Dansi katika miaka ya 1970 mpaka 1990, hawatosita kusimulia burudani tamu iliyokuwa ikiporomoshwa kutoka bendi ya MAQUIS du ZAIRE. Watoto wa mjini katika kumbi za starehe walipagawa zaidi pale mwanamuziki wa bendi hiyo Mwema Mudjanga "Mzee chekecha" alipowakoga kwa kibwagizo "Cheza...
  7. Juma Wage

    KAMIKAZE zimebadili mwenendo wa vita ya Ukraine

    Mnamo mwaka 1976, Mwanamuziki maarufu nchini Kongo Franco Luambo Makiadi aliachia kibao chake "Kamikaze". Kupitia kibao hicho, Franco ameeleza namna alivyovurugwa kimapenzi na binti mrembo "Kamikaze" aliyemsaliti kisha kwenda kuolewa na mwanaume mwingine. Alichukulia kitendo hicho kama uasi wa...
  8. Juma Wage

    Drone ya Putin ilivyokiteketeza kifaru bora cha Uingereza

    Duniani kuna vifaru vitatu hatarishi kwa mapigano katika uwanja wa vita. Vifaru hivyo ni Abraham's cha Marekani, The challenger (Uingereza) na Leopord (Ujerumani) Hata hivyo waswahili wanausemi "Ivumayo haidumu" na hivyo ndivyo inavyothibitika kwa wababe hao wa ardhini. Tangu vita ya Russia...
  9. Juma Wage

    Rais Biden amtunuku nishani ya heshima askari aliyekaidi amri katika uwanja wa vita Vietnam

    USIKU wa June 18, 1968 Karibu na Kijiji cha "Go Cong" kusini mwa Vietnam, Luteni Usu wa jeshi la Marekani akiendesha helikopta ya Mashambulizi aina ya G- Cobra yenye mruko namba AH1 alipokea taarifa ya kuombwa msaada kupitia simu ya upepo (Radio call)...
Back
Top Bottom