"White widow" mjane mweupe anayeumiza vichwa vya majasusi duniani

Juma Wage

Member
Sep 8, 2023
60
201
Siku chache kabla ya shambulio la Westgate, Elvis Weulo, mkazi wa Buruburu jijini Nairobi alipokea simu kutoka kwa Abdukadir Haret Mohammed, akimtaka amuuzie gari yake.

Septemba 06, 2013 Elvis Weulo alikutana na Abdikadir Mohammed "Mohammed Hussein" akiwa na mshirika wake Hussein Abdi Ali, ndani ya Bank jijini Nairobi.

Abdukadir Mohamed alitoa kiasi cha pesa katika account yake kisha kumkabidhi Elvis Weulo kiasi cha 500,000/= Ksh kama fedha ya malipo ya gari hiyo aina ya Mitsubishi Sedan ya silva yenye usajili namba KAS 575X.

Jumamosi ya Septemba 21, 2013 saa sita na dakika 26, Mitsubishi hiyo ilifika nje ya eneo la maduka makubwa ya Biashara "Westgate" kupitia barabara ya Peponi.

Ndani ya gari hiyo kulikuwa na watu wanne, Abu Baraa Al Sudan raia wa Sudan aliyedhaniwa kuongoza kikosi hicho, Khatab Alakene "Khadhab, Umir Al Mogadishu (hawa wawili ni raia wa Marekani wenye asili ya Somalia).

Mwingine ni Omar Abdulrahman Nabhan, raia wa Kenya mpwa wa Swaleh Nabhan mshirika wa Harun Fazul Mwanamikakati wa Al Qaeda ukanda wa Afrika Mashariki.

Ifahamike kuwa Harun Fazul aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda Afrika Mashariki aliuawa Mogadishu Juni 2011.

Baada ya kufika Westgate kilomita chache kwenda Ikulu ya Kenya, Watu wanne wakiwa na bunduki aina ya AK 47 na mikanda ya risasi viunoni, walishuka kisha kujigawanya katika makundi mawili.

Magaidi wawili walipitia sehemu ya juu ya kuegesha magari na kuanza kuwafyatulia risasi watu.

Ndani ya dakika chache za kuhesabu, watu 25 waliuawa papo hapo.

Upande wa pili magaidi wengine wawili waliingia kwa kurusha mabomu matatu ya mkono (grenade) kabla ya kuanza kuwamiminia wateja risasi.

Awali, polisi walidhani ni uhalifu wa kawaida lakini baada ya muda kidogo kupita, Mkaguzi wa Polisi David Mwole Kimayo alihabarishwa kwa njia ya simu kuwa wavamizi waliokuwa ndani ya jengo hilo ni magaidi wa Al Shabaab.

Kutokana na ukubwa wa tukio hilo, ilitolewa amri ya kuongeza nguvu hivyo kikosi cha "Flying Squad" kilichoongozwa na Naibu Kamanda, Charles Wanjau kilizingira jumba hilo kuanza jitihada za kuwakomboa mateka.

Wavamizi hawakujali la muadhini wala mnadi swala kwani waliendelea kukatisha ndoto za watu kwa kuwaua.

Kikosi cha "Recce" kilichopokea mafunzo Israel, Marekani na Uingereza ya kuingia katika majumba ya utekaji nyara, kukomboa mateka na kukabiliana na magaidi nacho kiliingia kikiwa kimejihami na vizibao vya kuzuia risasi na silaha za kisasa.

Kikosi hicho kilifanikiwa kukomboa ghorofa ya juu na ya pili kutoka mikononi mwa Al Shabaab.

Baada ya Mapigano ya risasi kukolea wapiganaji wa Al Shabaab waliingia duka la NAKUMAT kuendeleza uovu wao.

Katika duka la NAKUMAT kulikuwa na njia ya kutokea nje ambayo Vikosi vya Usalama vya Kenya viliitumia kukombolea mateka bila wapiganaji wa Al Shabaab kufahamu.

Baada ya muda kupita Kikosi cha "Flying Squad" na "Recce" vilifanikiwa kukomboa mateka wote na kuliacha jengo hilo likiwa na wanamgambo wa Al Shabaab pekee.

Zikiwa zimesalia dakika chache kukamilika kwa oparesheni hiyo, aliyekuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, Julius Waweru Karangi, aliwasili akiwa na wanajeshi zaidi ya 200 kutoka katika Kambi ya Lang'ata na Kahawa kuchukua hatamu ya operesheni hiyo.

Wanajeshi waliingia kwa kishindo na zana zao za kivita ikiwemo silaha hatari katika uwanja wa vita "General purpose Machine gun" (GPMG), kuanza oparesheni bila kuwasiliana na "Recce" wala polisi, kitendo kilichosababisha kushambuliana wao kwa wao.

Martin Munene Kthunji, Afisa wa GSU Kitengo cha "Recce" aliyekuwa mstari wa mbele kupambana na magaidi wa Al Shabaab aliuawa kwa risasi ya Serikali yake na wengine wanne kujeruhiwa kimakosa.

Makamanda wa "Recce" na polisi walichukizwa kwa kitendo hicho hivyo kuondoa vikosi vyao katika oparesheni.

Wakati Jeshi la Kenya likijiandaa kukabiliana na Al Shabaab, wapiganaji hao walipigiwa simu kupewa taarifa ya kutoroka katika eneo hilo.

CCTV camera za duka la NAKUMAT ziliwaonesha wanamgambo wakigeuza camera na kuingia mlango wa nyuma wa chumba cha kuhifadhia mizigo.

Baada ya hapo, magaidi hao hawakuonekana tena na hakuna aliyefahamu namna walivyotoweka zaidi ya wao wenyewe.

Taasisi za Ujasusi za kimataifa zikaingia kazini kutafuta wahusika wa tukio na namna walivyoliratibu.

Katika uchunguzi walioufanya walibaini kuwa tukio la Westgate liliratibiwa na mwanamke aliyeonekana siku chache kabla ya shambulio kutokea.

Mwanamke huyo akiwa na mume wake walienda Westgate kukodi sehemu kwa ajili ya Biashara.

Wanandoa hao walidhamiria kuipata ramani ya jengo zima la Westgate kufanikisha mpango wao.

CIA, MOSSAD na NIS walianza kufatilia kuhusu mwanamke huyo aliyeonekana siku chache kabla ya tukio hilo.

Ikaja kugundulika kuwa Mwanamke huyo ni "White Widow" (Mjane mweupe) kinara wa ugaidi duniani.

Mwanamama huyo alizaliwa Desemba 05, 1983 katika mji wa Banbridge Kaskazini mwa Ireland.

jina lake ni Samantha Lewthwaite.

Mwaka 1994 wazazi wake walitengana kwa talaka jambo lililomuathiri kwa kukosa malezi bora.

Alipofikisha miaka 17 alibadili dini kuwa Muislamu suala ambalo halikuungwa mkono na wazazi wake wote.

Alipohitimu elimu ya Sekondari alijiunga na Chuo Kikuu cha "London School of Oriental and African Studies" akisomea Masomo ya Siasa na Dini.

Julai 07, 2005 mume wake Samantha, Germaine Lindsay alijilipua katika train na kusababisha vifo vya watu 56 na majeruhi zaidi ya 700.

Kutokana na tukio hilo lililompotezea mume wake na kumuacha akiwa na ujauzito wa miezi 8, CIA walimbatiza jina la "White widow" wakimaanisha mjane mweupe baada ya kujiridhisha kuwa alishiriki katika mipango ya tukio hilo.

Baadaye Samantha aliolewa na Hassan Maalim Ibrahim "Sheikh Hassan" kiongozi wa ngazi za juu wa Al Shabaab.

Kwa mujibu wa taarifa za kijasusi, inaaminika kwamba kwa sasa Samantha ni miongoni mwa viongozi wa juu wa Al Shabaab anayepanga, kufundisha na kuratibu matukio mbalimbali ya kigaidi.

Ndimi Juma Wage
Dodoma.
Septemba 14, 2023.
 
Attachments

  • IMG-20230914-WA0000.jpg
    IMG-20230914-WA0000.jpg
    30.9 KB · Views: 10
Siku chache kabla ya shambulio la Westgate, Elvis Weulo, mkazi wa Buruburu jijini Nairobi alipokea simu kutoka kwa Abdukadir Haret Mohammed, akimtaka amuuzie gari yake.

Septemba 06, 2013 Elvis Weulo alikutana na Abdikadir Mohammed "Mohammed Hussein" akiwa na mshirika wake Hussein Abdi Ali, ndani ya Bank jijini Nairobi.

Abdukadir Mohamed alitoa kiasi cha pesa katika account yake kisha kumkabidhi Elvis Weulo kiasi cha 500,000/= Ksh kama fedha ya malipo ya gari hiyo aina ya Mitsubishi Sedan ya silva yenye usajili namba KAS 575X.

Jumamosi ya Septemba 21, 2013 saa sita na dakika 26, Mitsubishi hiyo ilifika nje ya eneo la maduka makubwa ya Biashara "Westgate" kupitia barabara ya Peponi.

Ndani ya gari hiyo kulikuwa na watu wanne, Abu Baraa Al Sudan raia wa Sudan aliyedhaniwa kuongoza kikosi hicho, Khatab Alakene "Khadhab, Umir Al Mogadishu (hawa wawili ni raia wa Marekani wenye asili ya Somalia).

Mwingine ni Omar Abdulrahman Nabhan, raia wa Kenya mpwa wa Swaleh Nabhan mshirika wa Harun Fazul Mwanamikakati wa Al Qaeda ukanda wa Afrika Mashariki.

Ifahamike kuwa Harun Fazul aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda Afrika Mashariki aliuawa Mogadishu Juni 2011.

Baada ya kufika Westgate kilomita chache kwenda ikulu ya Kenya, Watu wanne wakiwa na bunduki aina ya AK 47 na mikanda ya risasi viunoni, walishuka kisha kujigawanya katika makundi mawili.

Magaidi wawili walipitia sehemu ya juu ya kuegesha magari na kuanza kuwafyatulia risasi watu.

Ndani ya dakika chache za kuhesabu, watu 25 waliuawa papo hapo.

Upande wa pili magaidi wengine wawili waliingia kwa kurusha mabomu matatu ya mkono (grenade) kabla ya kuanza kuwamiminia wateja risasi.

Awali, polisi walidhani ni uhalifu wa kawaida lakini baada ya muda kidogo kupita, Mkaguzi wa Polisi David Mwole Kimayo alihabarishwa kwa njia ya simu kuwa wavamizi waliokuwa ndani ya jengo hilo ni magaidi wa Al Shabaab.

Kutokana na ukubwa wa tukio hilo, ilitolewa amri ya kuongeza nguvu hivyo kikosi cha "Flying Squad" kilichoongozwa na Naibu Kamanda, Charles Wanjau kilizingira jumba hilo kuanza jitihada za kuwakomboa mateka.

Wavamizi hawakujali la muadhini wala mnadi swala kwani waliendelea kukatisha ndoto za watu kwa kuwaua.

Kikosi cha "Recce" kilichopokea mafunzo Israel, Marekani na Uingereza ya kuingia katika majumba ya utekaji nyara, kukomboa mateka na kukabiliana na magaidi nacho kiliingia kikiwa kimejihami na vizibao vya kuzuia risasi na silaha za kisasa.

Kikosi hicho kilifanikiwa kukomboa ghorofa ya juu na ya pili kutoka mikononi mwa Al Shabaab.

Baada ya Mapigano ya risasi kukolea wapiganaji wa Al Shabaab waliingia duka la NAKUMAT kuendeleza uovu wao.

Katika duka la NAKUMAT kulikuwa na njia ya kutokea nje ambayo Vikosi vya Usalama vya Kenya viliitumia kukombolea mateka bila wapiganaji wa Al Shabaab kufahamu.

Baada ya muda kupita Kikosi cha "Flying Squad" na "Recce" vilifanikiwa kukomboa mateka wote na kuliacha jengo hilo likiwa na wanamgambo wa Al Shabaab pekee.

Zikiwa zimesalia dakika chache kukamilika kwa oparesheni hiyo, aliyekuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, Julius Waweru Karangi, aliwasili akiwa na wanajeshi zaidi ya 200 kutoka katika Kambi ya Lang'ata na Kahawa kuchukua hatamu ya operesheni hiyo.

Wanajeshi waliingia kwa kishindo na zana zao za kivita ikiwemo silaha hatari katika uwanja wa vita "General purpose Machine gun" (GPMG), kuanza oparesheni bila kuwasiliana na "Recce" wala polisi, kitendo kilichosababisha kushambuliana wao kwa wao.

Martin Munene Kthunji, Afisa wa GSU Kitengo cha "Recce" aliyekuwa mstari wa mbele kupambana na magaidi wa Al Shabaab aliuawa kwa risasi ya serikali yake na wengine wanne kujeruhiwa kimakosa.

Makamanda wa "Recce" na polisi walichukizwa kwa kitendo hicho hivyo kuondoa vikosi vyao katika oparesheni.

Wakati Jeshi la Kenya likijiandaa kukabiliana na Al Shabaab, wapiganaji hao walipigiwa simu kupewa taarifa ya kutoroka katika eneo hilo.

CCTV camera za duka la NAKUMAT ziliwaonesha wanamgambo wakigeuza camera na kuingia mlango wa nyuma wa chumba cha kuhifadhia mizigo.

Baada ya hapo, magaidi hao hawakuonekana tena na hakuna aliyefahamu namna walivyotoweka zaidi ya wao wenyewe.

Taasisi za Ujasusi za kimataifa zikaingia kazini kutafuta wahusika wa tukio na namna walivyoliratibu.

Katika uchunguzi walioufanya walibaini kuwa tukio la Westgate liliratibiwa na mwanamke aliyeonekana siku chache kabla ya shambulio kutokea.

Mwanamke huyo akiwa na mume wake walienda Westgate kukodi sehemu kwa ajili ya Biashara.

Wanandoa hao walidhamiria kuipata ramani ya jengo zima la Westgate kufanikisha mpango wao.

CIA, MOSSAD na NIS walianza kufatilia kuhusu mwanamke huyo aliyeonekana siku chache kabla ya tukio hilo.

Ikaja kugundulika kuwa Mwanamke huyo ni "White Widow" (Mjane mweupe) kinara wa ugaidi duniani.

Mwanamama huyo alizaliwa Desemba 05, 1983 katika mji wa Banbridge Kaskazini mwa Ireland.

jina lake ni Samantha Lewthwaite.

Mwaka 1994 wazazi wake walitengana kwa taraka jambo lililomuathiri kwa kukosa malezi bora.

West gate Kuna watu walionywa na ndugu zao wanajeshi wasiende hapo siku hiyo, white widow taarifa za kitambo zilidai wamemuua, rejea pia movie 'eye in the sky'
 
Kama bado yupo hai, CIA lazima wawe na file lake wakijua possibilities zake, na kama angekuwa threat kwa CIA au hasahasa MOSSAD, mpaka sasa angeshalambishwa mchanga.

MOSSAD ni kitu kingine linapokuja kumuua mtu aliyewajeruhi.
 
Safi sana, yote uliyoyataja ndani ya Westgate ni baada ya mashujaa wa kweli kumaliza kazi. Kwanini mnapata ukakasi na kigugumizi kuwataja mashujaa wa kweli wa tukio zima? Hiyo porojo yako ndiyo inatolewa na wengi kwa kuwa mnapata ukakasi wa kutaja majina na asili za mashujaa wa kweli?

Ukweli upo wazi kwa picha na ushuhuda wa mateka:

1694692729823.png

1694692812994.png

Huyo juu ni Abdul Haj, huyu chini ni Innayat Kassam:

1694693252723.png

1694693362730.png

Hao ndiyo mashujaa wa kweli, jeshi la Kenya tuliona badala ya kuokowa watu walikuwa wakiiba (looting) madukani:

1694693739654.png

1694693821075.png

Ukweli usemwe hata kama ni mchungu na historia iwekwe sawa.
 
Back
Top Bottom