Search results

  1. R

    Yamenikuta jamani!!!!!!

    Habari zenu wana JF, Miaka kadhaa iliyopita nilibaatika kukutana na msichana mmoja ambaye tulikuwa tukisoma nae miaka mingi ilyopita wakati wa shule ya msingi na kwakweli tulikuwa mabesti sana tena sana. lakini baada ya kumaliza shule ya msingi miaka hiyo kila mmoja alitawanyika kivyake mpaka...
  2. R

    Nitatambuaje iphone fake au originals?

    Habari zenu wana JF, naomba mnijuze jinsi ninavyoweza tambua hizi Iphone ambazo ni original kwani nimekuwa nakutana nazo watu wanaziuza mikononi kwa bei ambayo haifanani na thamani ya simu hiyo ninavyoifahamu.
  3. R

    Wasichana tarime waandamana kupinga zoezi la kutokeketwa

    Wapatao wasichana 200 wameandamana hapa mjini tarime kupinga kutokeketwa kwao, maandamano hayo yalianzia maeneo ya Nkende kuelekea maeneo ya ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo na hatimaye kumalizia katika kituo cha polisi kilichopo pale maeneo ya BOMANI wakishinikiza jeshi la polisi kumuachia huru...
  4. R

    Nikinywa maziwa, tumbo linaniuma sana

    Dokta naomba kujua ni kwa nn nikinywa maziwa freshi au mgando, mara baada ya muda mchache tumbo linanikata sana na hatimaye ni kuharisha vibaya sana. Naomba kujua hilo.
  5. R

    Mantra, mantra tanzania ltd!!!

    Wapendwa naomba mnifahamishe kuhusu kampuni ya Mantra tanzania ltd. Mishahara yao ikoje, na mambo mengine unayoyafahamu. Rgds. Jf.
  6. R

    Anayeifahamu tume ya mionzi jamani

    Nimeitwa kwenye interv. Next wk na tume ya mionzi Arusha, plze naomba yeyote anayeifahamu vizuri anijuze, nini maana ya mshahara wa PRSS 1 na sh. Ngapi? Kuna maslahi gani mengine tofauti na mshahara? Ni hayo tu wapendwa.
  7. R

    Anayeifahamu tume ya mionzi jamani

    Naomba msaada wapendwa, anayefahamu vizuri hii tume ya mionzi, kwani nimeitwa kwenye usaili next wk, na wanasema kwa nafasi niliyoomba mshahara ni PRSS 1, nini maana yake? Na vp maslahi mengine kama yapo? Ni hilo tu wapendwa.
Back
Top Bottom