Anayeifahamu tume ya mionzi jamani

Rweza79

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
207
47
Naomba msaada wapendwa, anayefahamu vizuri hii tume ya mionzi, kwani nimeitwa kwenye usaili next wk, na wanasema kwa nafasi niliyoomba mshahara ni PRSS 1, nini maana yake? Na vp maslahi mengine kama yapo?
Ni hilo tu wapendwa.
 
Obama wa bongo acha mbwembwe mkuu.. mueleweshe jamaa akusome... dahaaa
 
Tume ya Mionzi ni pazuri kama umesoma mambo ya science maana wanapata sana scholarship za kusoma nje juu ya mambo ya nyuklia. Na kwa mshaara wa PRSS bila shaka wewe ni engineer au scientist maana unaajiriwa kama Researcher. Mshahara wa PRRS 1 ni kati ya 700,000-800,000/-(basic).
 
Back
Top Bottom