Search results

  1. S

    House4Rent Napangisha Nyumba ya vyumba vitatu Kiseke-Mwanza

    Napangisha Nyumba Ipo Kiseke PPF Mwanza room 3 mojawapo ni master, sebule, jiko etc Bei ni 2,500,000/- kwa mwaka.. unaruhusiwa kulipa miezi sita.. Karibu sana!
  2. S

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Hizo utt/faida, shares nk ni kwaajili ya uwekezaji wa muda mrefu, yaani after from 10 yrs na kuendelea ndio unaenjoy sio unaweka leo unataka faida kesho, yaani hizo ni za kula hapo mbeleniiii, kama unataka za muda mfupi then fanya biashara, nakumbuka miaka mitano iliyopita niliweka 10mil benk...
  3. S

    Ukiambiwa uchague kimoja kati ya hizi project za Kilimo utachagua ipi? na why?

    Mimi no.19, Bata, lakini kwanza mpaka nifanye upembuzi yakinifu hahah kuona kama market ipo ama vipi, Bata ni rahisi hawasumbui sana magonjwa
  4. S

    Natafuta ardhi ya kuanzisha Biashara ya Wanyama (Ranchi), mkoa wa Kagera na Tabora

    Nenda wizara ya mifugo utasaidiwa, nakumbuka Kuna kipindi kama ulikua unataka hizo ishu unawaona wahusika wa ranchi kitu kama hicho, unakodi unafanya kazi
  5. S

    Natafuta mtu mwenye experience kubwa ya kutengeneza apps

    Natafuta mtu mwenye experience kubwa ya kutengeneza apps, naomba nitumie samples/links za kazi zako nikiridhika nakupa kazi.
  6. S

    Nahitaji kusafirisha mizigo kutoka Kigoma kwenda Kampala

    Ni mzigo ufike huko Tani 30!
  7. S

    Nahitaji kusafirisha mizigo kutoka Kigoma kwenda Kampala

    Hi wanajamii, Nahitaji usafiri wa haya magari makubwa nataka kuchukua mzigo kutoka Kigoma kupeleka Kampala...
  8. S

    Nawezaje kurekebisha jina katika vyeti vya sekondari na vyuo

    Wanajamii naomba msaada, Mi ni mmoja wa watu ambayo majina yetu yalikosewa wakati wa majibu ya darasa la saba, assume jina lako ni Hassan wakati wa matokeo ije Hassanae, kiukweli naboreka mno, nimesomea jina Hilo Hilo Hadi nikamaliza chuo, Sasa nimeanza masters nje jina linatokezea like lile...
Back
Top Bottom