running cost ya hiyo scooter ni ndogo ni kweli, lakini baada ya muda ndo utajua kwanini wadau wanashauri ubakie na boxer maana betri likishaanza kusumbua ndo changamoto itaanzia hapo lakini pia huu umeme wetu haueleweki.
mimi mwenyewe nina boxer 150 gia 4 domo la mamba tangia 2019...hii chuma...
Ndugu mtoa mada nikwambie tu kwamba huyo fundi anayesifia kila pikipiki eti mashine achana nae.
Kwanza pikipiki nzima huna haja ya kuhangaika na fundi maaha changamoto ndogondogo ni kawaida, cha msingi angalia;
INJINI
~kwanza sikiliza mlio wa engine. Ingine isiyo na shida inarun smooth haina...
Kama ni mtumiaji wa TORRENT sites ingia, tafuta NITRO PDF ambayo ipo CRACKED download then install kwenye PC yako
Hii inaconvert PDF to DOC, EXCEL, JPG na inaweza edit PDF bila hata ya kuoconvert, chamsingi hiyo PDF isiwe ilikuwa scanned kama JPG
niseme tu kwamba Earthing system haipo kwaajili ya kucomplete circuit,
Earthing system yenyewe ndo inakuwa inalinda circuit kwa kuhakikisha hakuna umeme unaovuja kwenye circuit ikisaidiwa na ELCB na RCCB ambazo zinadetect kuvuja kwa umeme kwenye sakiti (mf. Live ikagusa waya wa Earth au metal...
Kwa uzoefu wangu kulingana na uhitaji wako
battery isiwe chini ya 200Ah,
inverter kuanzia 2000W ya ukweli maana kuna nyingine zinaandikwa 2000w lkn unakuta max power ni 800w
,japo ukitaka kuwasha blender utalazimika kuzima vifaa vingine vyoote solar pannel 200w + pamoja na MPPT charger...
unachokisema mimi nimeshakiexperience hapo shida ni kuwa hiyo DC haina current ya kutosha
Binafsi niliamua kufunga charger controller yenye option ya USB na ina supply 5VDC 2A ambayo inajaza smart phone bila shida na hapa lazima uwe na USB Cable nzuri.
kuhusu kuwasha taa tafuta taa za DC japo...
nadhani kwenye design yao wangeondoa kabisa kitasa cha zile sliding doors kwa kuwa ni electric door, basi abiria wangekuwa hawanabudi kisubiri kibali cha dereva
nunua mswaki tuu umalize kazi, tatizo la overhaul fundi kama hayupo vzr na spea zikawa sio genuine baada ya muda mfupi sana matatizo yanaanza kuibuka tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.