Search results

  1. D

    Internship WVT

    Hello Wanajf nimeitwa internship WVT kupitia Taesa ila ni mkoa tofauti na nilipo, kwa mwenye experience anijuze kama WVT wanalipa interns pia au inakaaje?
  2. D

    Kazi au internship Mwanza, (BA Community Development)

    Habari Wana JF, Nimehitimu shahada ya Maendeleo Jamii. Natamani nipate internship au kazi halali. Msiulize kama sitafuti nipo natafuta na nimesambaza barua sehemu kadhaa lakini sehemu nyingi wanasema hawana nafasi so, kupitia Wana JF naweza kupata chochote. Shukrani
  3. D

    Je, namba ya NIDA ni lazima katika mchakato wa kuapply Vyuo na Mikopo?

    Msaada members, Nina mdogo wangu amechaguliwa jeshini na kashaondoka, Sasa katika pitapita zangu nimeona Kuna mtu anasema katika application za chuo na mikopo ni lazima uwe na no. Ya NIDA. Je ni kweli kwa wanaoelewa system vizuri maana hapa mdogo wangu Hana nida Wala hajaomba hatujui chochote
  4. D

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status: Job Seeker Profession: Community Development Education level: Degree Age ñ sex: Female,24 Location: Dar es Salaam, Rukwa, Mwanza, Mbeya Job Seeking: Customer care, Receptionist, Front office, Sales, Call Agent, Matron
Back
Top Bottom