Search results

  1. Y

    Hodi

    Nilipotea kidogo sasa nimerudi ninaomba mnipokee
  2. Y

    At last he is on my hands

    Habari ya kazi wapendwa? Poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa na mengineyo. Nimerudi kwenu nikiwa na furaha tele..... hatimaye yule aliyekuwa amejaa moyoni mwangu na kunifanya hata nikose usingizi kwa kumuwaza yeye yuko mikononi mwangu. Ninamshukuru Mungu kwani alinipatia ujasiri...
  3. Y

    Ninashindwa kumweleza

    Haya umesema wewe, inaonesha ni kwa kiasi gani unaendeshwa zaidi na hisia kuliko critical thinking
  4. Y

    Ninashindwa kumweleza

    Huu ushauri wako sidhani kama utamfaa kwani ni mtu wa dini sana, sasa mwaa mwaaa zikiwa nyingi sana zinaweza kuharibu. ukweli nimempenda huyu kijana wa ki....(mzungu) kutoka moyoni mwangu, sijawahi kuwa na relationship na mtu wa mataifa haya so hata sijui ni vitu gani wanapendelea na ni vitu...
  5. Y

    Yoriyori anabisha

    Huyo yoyo ndio nani mimi simjui mwaya, mimi ni mgeni hapa japo nimekuwa nikisoma mara kwa mara mijadala yenu
  6. Y

    Yoriyori anabisha

    Nafurahi kuwa mmoja wa wanafamilia hii. Ni familia ya wasomi, familia ya wastaarabu, familia ya wazalendo na ya watu wenye mshikamano. Nipokeeni wapendwa
  7. Y

    Ninashindwa kumweleza

    Jamani wewe unanipa pressure..., sasa jamaa nikimkaribisha hom analeta mapouz! jaman mie nitakufa na langu moyoni
  8. Y

    Ninashindwa kumweleza

    Hapana, linaanza na herufi "C"
  9. Y

    Ninashindwa kumweleza

    Kumwambia naona ugumu sana, aibu ya kike imenijaa mwaya!labda nimwambie nikiwa nimelewa japo hata pombe sinywi
  10. Y

    Ninashindwa kumweleza

    Maprosoo nijitosheleze kivipi?unaweza kuelezea kwa kinagaubaga?
  11. Y

    Ninashindwa kumweleza

    Sasa nawe si utoe mbinu hapo za kumvutia nyavuni huyu samaki.., ushauri wako unahitajika mpendwa
  12. Y

    Ninashindwa kumweleza

    Dahh naona ugumu sana, nilijaribu kuona nimkaribishe home lakin sababu kibao, mara yuko busy ooohh basi kazi kweli kweli! nimeamua nitumie marafiki zake ndo wamvute aje home.. akija nimuoneshe vitendo zaidi kwa kuwa karibu nae may be atanielewa
  13. Y

    Ninashindwa kumweleza

    Habari ya weekend? Ni matumaini yangu mmekuwa na wakati mzuri. Nimetokea kumpenda sana kijana mmoja lakini ninaona vigumu kumwambia. Yeye anazidi kunipa wakati mgumu pale ambapo yeye haoneshi hata dalili ya kuwa karibu nami. Ninaomba msaada wenu wa mawazo kwamba nifanye nini jaman ili awe...
Back
Top Bottom