Ninashindwa kumweleza

Yoriyori

Member
Feb 12, 2012
13
0
Habari ya weekend?

Ni matumaini yangu mmekuwa na wakati mzuri.

Nimetokea kumpenda sana kijana mmoja lakini ninaona vigumu kumwambia. Yeye anazidi kunipa wakati mgumu pale ambapo yeye haoneshi hata dalili ya kuwa karibu nami.

Ninaomba msaada wenu wa mawazo kwamba nifanye nini jaman ili awe mikononi mwangu one day? Nimekuwa na mawazo sana kuhusu huyu kijana.

Mawazo yenu yanahitajika sana wakati huu.

Asanteni
 
Mulize kama hana mtu lakini jipange na yote hata kama anamtu na hata kama hana mtu jipange na kukutolea nje pia.
 
Dahh naona ugumu sana, nilijaribu kuona nimkaribishe home lakin sababu kibao, mara yuko busy ooohh basi kazi kweli kweli! nimeamua nitumie marafiki zake ndo wamvute aje home.. akija nimuoneshe vitendo zaidi kwa kuwa karibu nae may be atanielewa
 
hamna haja ya kumweleza chochote,we jitongozeshe tu. atakupiga saundi mwenyewe.
MAPROSOO.
 
pole asa c ushajua cha kufanya au ushaur upi tena yoriyori...em jarib iyo af huku madesa mengine yakijidownlod..utoe majib

Sasa nawe si utoe mbinu hapo za kumvutia nyavuni huyu samaki.., ushauri wako unahitajika mpendwa
 
Habari ya weekend?

Ni matumaini yangu mmekuwa na wakati mzuri.

Nimetokea kumpenda sana kijana mmoja lakini ninaona vigumu kumwambia. Yeye anazidi kunipa wakati mgumu pale anaponiita dada kila tunapokutana. Juzi alinialika kwenye sherehe ya birthday yake na rafiki zake walijua huenda mie ndio mwandani wake kwani hakuwa na girlfriend yoyote. Nilipojua yuko single nilipata faraja na moyo wa kuamini kwamba huenda one day atakuwa wangu.

Ninaomba msaada wenu wa mawazo kwamba nifanye nini jaman ili awe mikononi mwangu one day? Nimekuwa na mawazo sana kuhusu huyu kijana.

Mawazo yenu yanahitajika sana wakati huu.

Asanteni
jina lake linaanza na herufi T?
 
Kumwambia naona ugumu sana, aibu ya kike imenijaa mwaya!labda nimwambie nikiwa nimelewa japo hata pombe sinywi

Ilishawahi kunitokea na huyu mke wangu(A). Shughuri ambazo nilikuwa nazifanya wakati huo tulikuwa tunaonana na tulikuwa tukisaidiana ki mawazo. Mie sikuwa na wazo kama angeweza kuwa girlfriend na kweli nilimchukulia kama ni dada kumbe mwenzngu kaenda zaidi.

Siku rafiki yake akanialika ktk pub na hakuniambia kuwa yuko nae(A). Nilipofika pale walikuwa wamekwisha changamka na rafiki yake ndo zaidi. Basi wakati A kaenda kujisaidia ndo rafikie alivunja siri na kuniambia kuwa rafiki yake (A) kanipenda sana na anaona aibu ya kuniambia. Mara na mimi kinywaji kilikuwa kichwan tayali mda huo basi unajua tena nikamkubali na mafujofujo yakaanza hapo. Na mpaka sasa hivi ni mke wangu
Sasa waweza ukatumia mbinu kama hii ya wifi yako, au jamaa wengine wana weza kukuletea maujanja mengine
 
pole sana sister....ukimweleza kwamaneno hata kama akikubali huta enjoy penzi lake anaweza kukutesa baadae" kama kweli unaupendo wadhati kwake binafsi nakushauli uongee kwa vitendo yaani uongeze ukalibu,msuprise kwazawadi hasa kipindi hiki cha valentine ,muombe mtoke pamoja chakula cha mchana au usiku pia mfanye aijue familia yako na baadhi ya watu wako wakalibu...ukifanya hayo hatajuta kuwa kalibu yako.
 
jaribu kuwa nae karibu,mtumie msg za kawaida tu kumsalimia uone ata respond vipi.muonyeshe vi sign fulani fulani.pengine na yeye anakupenda ila kukwambia anaona tabu.nenda nae taratibu usiwe na haraka nae
 
Wanaume Marijali huelewa punde binti anavyo shoboka juu yake.. Ushauri..
1. Mpige mi Body Language ya hatari.. Kama ni Dume la ukweli utashangaa tu ucku ana ku wish G9t.. Aspofanya hvyo then mtoto cio Ridhk..
2. Tegua (harib) kitanda unacholala then mwite geto kwako aje kukikaza.. Then u know what 2 do.. Akipona na hapo jua Sio Rijali.
 
Maprosoo nijitongozeshe kivipi? waweza kunielezea kinagaubaga.
mh! mtoto wa kike hujui kujitongozesha!!! mcheki DATA hapa chini kamaliza yote.
MAPROSOO.
Wanaume Marijali huelewa punde binti anavyo shoboka juu yake.. Ushauri..
1. Mpige mi Body Language ya hatari.. Kama ni Dume la ukweli utashangaa tu ucku ana ku wish G9t.. Aspofanya hvyo then mtoto cio Ridhk..
2. Tegua (harib) kitanda unacholala then mwite geto kwako aje kukikaza.. Then u know what 2 do.. Akipona na hapo jua Sio Rijali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom