Search results

  1. Comrade21

    Mpaka 2025 hatutakuwa na Nchi inayoitwa Ukraine katika ramani ya dunia

    Hilo n swali gumu sana, si kirahis ivo kupotea tu
  2. Comrade21

    Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa audio msaada please?!...

    We si uchukue mtu fanya yenu rekodi sauti tena pale ndo huwa nzuri hatar
  3. Comrade21

    Shati kubana mwili namna hii ni sahihi?

    Huyo jamaa sio kwamba shati amemodoa ila n shat8 limefuata mwili
  4. Comrade21

    Adam Mchomvu kidogo amtembezee kichapo Ney wa Mitego bar

    Yule bang sana, inabd akutane na mvuta ugoli apo ndo itakaa sawa
  5. Comrade21

    Wamiliki wa lodge kuweni serious

    Rangi haipakwi yaan chumba kimepauka
  6. Comrade21

    Dkt. Mollel: Hakuna mtanzania anayeupinga Mkataba wa Bandari isipokuwa "Muhuni" mmoja tu wa CHADEMA na tutashughulika naye!

    CCM kwa ujumla kile chama hakina akili unakuwa bumbuwazi kabisa yaani, sijui huwa wanafikiria nn yaan hata kweli kwa macho hawaoni kabisa kwamba tunapigwa apa, raisi mzanzibar na waziri anayetia saini ni mzanzibar hakuna mbara pale alafu bado wanashadadia ujinga tu
  7. Comrade21

    Adam Mchomvu kidogo amtembezee kichapo Ney wa Mitego bar

    Atajikuta yuko kwenye mapambio ya kusifu huko atakapokuwa [emoji23]
  8. Comrade21

    Mashabiki wa Manchester City na Inter Milan tukutane hapa kabla ya Fainali 10-06-2023

    Walikuwa wamebeti hao over 1.5 or both team to score muindi kapiga watu leo
  9. Comrade21

    Watanzania msiogope suala la Bandari, Marekani yupo pamoja nasisi atatusaidia

    Mmarekani hawez kutusaidia hata kidogo apo hili ni swala la nchi na viongoz wake, kwanza kwa lipi atusaidie wakati sie tulimnyima kumuuzia kigamboni wakati wa kikwete, waacha tu tu pigwe basi hii nchi ni inanukaa tu asaivi yaani
  10. Comrade21

    Ni aibu sana hadi Leo nchi haijui mfungaji bora ni nani? Aisee hii ni kali

    Sie wa afrika hata mambo sijui yako vp yaani tuko sijui kinyume au vice versa hata sielewei ukienda CAF final ina home na away, bongo mfungaj bora haeleweki na apo yanga alishatangazwa bingwa kabla hata ligi kuishi, sijui ina ka vp hii
  11. Comrade21

    Mkanda wa surual nilio uokota na kuutumia, kumbe haukua Mkanda

    Umeokota mali si yako, unategemea utapona
  12. Comrade21

    Inawezekanaje nchi ndogo ya Denmark kuipa misaada nchi kuubwa Tanzania?

    Olay, we unaonaje kwa upande, alikuwa right or wrong
  13. Comrade21

    Inawezekanaje nchi ndogo ya Denmark kuipa misaada nchi kuubwa Tanzania?

    Lazima kuwe na utofauti ili mambo yaende hatuwez tuka wote sawa maana kama ni hivo tutakuwa hakuna maendeleo Ndo maana kuna wajinga na walevu, kuna tajira na maskini So hizo force ziko tu hata nchi zetu hz za africa ziko sema tu viongoz wetu ndio ambao wanatuangusha hawana kile cha kupoteza...
  14. Comrade21

    Mahari sio lazima, ni mila potofu ya kupigwa

    Kwa hyo tibeli sio kabila
  15. Comrade21

    Mahari sio lazima, ni mila potofu ya kupigwa

    Hilo kabila linapatikana wapi aisee, kumbe hakuna mahari kwanza hizo PISI NI WAKALI au ndo wanazidiwa na vinyago vya kariakoo vile vya nguo
  16. Comrade21

    Inawezekanaje nchi ndogo ya Denmark kuipa misaada nchi kuubwa Tanzania?

    Sasa apo kuna mabo mengi sana ambayo yametutofautisha mpaka wao wameweza kuwa developed country, hizi zote zinaweza kuwa na sababu nyingi kama internal forec and external force yaan factors ambazo zimechangia
Back
Top Bottom