Adam Mchomvu kidogo amtembezee kichapo Ney wa Mitego bar

Mchomvu ni mjanja aliyopitiliza na kuwa mshamba sana
Ni mpenda ugomvi lakini hana uwezo
Ni basi tu huwa hakutani na reaction

Namshauri avute bangi mara moja kwa wiki
Kwa sababu chochote kikizidi kina madhara
Unapovuta bangi kama unavyokula chakula
Lazima tuone madhara
Ni kama pombe kuna watu tunakunywa lakini siyo walevi huyu jamaa ni mlevi
Ukifuatilia interview zake anazofanyia watu sometimes userious hamna maswali ya ajabu unaona kabisa huyu mtu anaongozwa na bangi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mchomvu ni mwanangu sana ila bangi sometimes zinampeleka ovyo
Na Yule rafiki yake na huyo mchovu walikuwa wanatangaza wote mawingu, baadae alihamia media ya yule punda aliyekuwa akibebeshwa unga (EFM) kakijana fulani kablazameni... je ni kweli kanafirwa?! Maana kama mchovu mwanao obvi. wanae wengine utakuwa unawajua tu 🤔🤔🤔
 
Yule ni choko hata lile duka born 2 shine watu walimshikisha ukuta
 
Adam mshkaji sana. Wengi wanamchukulia poa ndio maana anawazingua

Adam ndio amepigana sana Nako 2 Nako kufika pale walipofika, adam alitumia nguvu kuwafanya N2N wapenye kwenye muziki bongo.
Yupo poa mnoo, anayemuona Adam hafai basi yeye ndie hafai.
 
Yule ni choko hata lile duka born 2 shine watu walimshikisha ukuta
Ukikutana nako kanajifanya kakijana kenye heshima kama kitu gani vile! Kakianza kukueleza mipango yake utasema kakijana ka maana na kenye views+vision kali sana! Kumbe ni kawakala ka shetani 😂🙌🏾
Yule ni choko hata lile duka born 2 shine watu walimshikisha ukuta
 
Adam mshkaji sana. Wengi wanamchukulia poa ndio maana anawazingua

Adam ndio amepigana sana Nako 2 Nako kufika pale walipofika, adam alitumia nguvu kuwafanya N2N wapenye kwenye muziki bongo.
Yupo poa mnoo, anayemuona Adam hafai basi yeye ndie hafai.
Labda alikuwa anaogopa N2N watampiga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom