poleeeeee sanaaaaa,Sitaki kuamini mancity ameyakanyaga Leo.. nitawaambia Nini watu
ongeeni tenaaaaa, naye Inter ni kibondee na amepigwaaaa.Alikutana na vibonde kama Yanga alivyokutana na vibonde mpaka kufika fainali ya CAF CONFEDERATION
na mtachongaaa sanaaa,City wanapoteza hii game. Wameshaingia kwenye copy ya inter milan.
HT 0-0
unachekeshaaaMan city 0-2 Inter milan!!!
KumbeUnaangalia mpira gani? City anapelekeshwa wewe unasemaje
MtabiriCity wanapoteza hii game. Wameshaingia kwenye copy ya inter milan.
HT 0-0
SawaMan city 0-2 Inter milan!!!
Ni kweli alipelekeshwa kashinda kwa bahati sana, na mwishoni mwishoni alikoswa swa sana, la sivyo angelisotea dk za nyongeza.Kumbe
😇😇😇unachekeshaaa
Unahitaji uwezo na bahati kushindaNi kweli alipelekeshwa kashinda kwa bahati sana, na mwishoni mwishoni alikoswa swa sana, la sivyo angelisotea dk za nyongeza.
Hongera kwao kwa kutoa gundu