Search results

  1. roja24

    Msaada jinsi ya kufanya malipo ya bidhaa, Aliexpress, Alibaba na sehemu nyingine zenye bidhaa kali in Tanzania

    Jaman wapwa msaada JINSI ya kufanya malipo ya bidhaa kwenye Alibaba, AliExpress na nyingine Kwa urahisi kama ilivo kwenye kiApplicaton Cha Kikuu Please [emoji3064]
  2. roja24

    Msaada wa Engine na Gear Box

    Wadau mie nahitaji msaada , nnaka Verossa kangu nataka nipige chini Engine na Gear Box. Je ni wapi ntapata vitu hivo Kwa uhakika wa Bei nafuu (reasonable price) , spea za uhakika (Genuine spares), hakuna madalali (No middlemens), Na duka lenye kutoa risiti (receipts). 1 . Engine ya Beam...
  3. roja24

    Engine ndogo

    Wanajamvi, tafadhali naomba kuuliza engine za Verossa VVTi , bila magumashi Dar hii ntapata wapi!? Yangu imezingua na nataka niipige chini iliyopo Ili ni exchange gari nyingine, Je Bei zake zipoje kwa Sasa engine za Toyota Verossa VVTi
  4. roja24

    TOYOTA VEROSSA

    Jamani wanajamvi Mambo vipi. Msaada, ninakigari changu Aina ya VEROSSA kilikuwa kinazingua mis mis, nkakipeleka KWA gereji, wakamwaga Hydrolic na kuweka nyingine lakini haikusaidia, Mara ikagoma kabisa gia kuingia sio kwenda mbele Wala kwenda reverse haitembei kabisa. Tatizo ni gia box au...
  5. roja24

    Wapenda novel jamanii tujuane

    Habari, wanajamvi/wapwa. Leo Nimekuja na mada Kama inavojieleza, Mie Ni mmoja wa wanaopenda kujisomea vitabu na movie pia. Ila KWA Sasa naomba tujuzane VITABU /NOVELS Kali Kali na zenye kusisimua ambazo hazichoshi na unaeza kaa kwenye Mwendokasi Mpaka unafika kimara hujaangalia nje dirishani...
  6. roja24

    Msaada nahitaji waya za ABS

    Habari, jamani wataalam naomba msaada, kigari changu aina ya Toyota Verrosa 1. Waya wa ABS mkono wa kulia umekatika 2. Waya wa kufungulia buti umekatika (nikipata complete na wa tank la mafuta sawa) Mwenye kujua, ambaye anazo au upatikanaji anijuze. Naishi Kigamboni Asanteni wakuu
  7. roja24

    TEAM NEW NOKIA EDGE

    Asalaaam Wandugu, naomba kuifaham hii Simu aina mpya ya simu NOKIA EDGE, technologia yake, Apps zake, Na hata bei yake kama inawezekana.... Asante
  8. roja24

    Tetesi: HAPA MKUU , YUPO SAHIHI lakini SIO MAHALA PAKE

    Wadau kifupi mie nimfuatiliaji wa matukio ya hapa nchini, na mojawapo ya tukio nililolitazama ni hili la TOKOMEZA ZIRO - lililoandaliwa na Mhe . JoKate. Suala ni kwamba , Muheshimiwa ambaye ni mwenyeji eneo la shughuli Kwa maoni yangu ameharibu kusema yale wakati JAMAA, (Mlev wa taifa) yuko...
  9. roja24

    KAULI ZILIZOWAHI KULETA GUMZO KWENYE JAMII

    Salaam wadau, naomba tujikumbushe kauli zilizotolewa na viongozi au watu maarufu na ambazo zilileta gumzo na mijadala sana kwenye jamii hapa Tanzania Naanza na 1." Hivi ni Vijisenti" 2." Kama mtu hawezi kulipa 200 kuvuka panton Apige mbizi/aogelee" 3." Naunga Mkonyo Hoja" 4." Nasema watapata...
  10. roja24

    Kujuana Kuchat na Mtoko

    Wana J , nina umri wa miaka 35 na ninapenda sana chating na kutoka/kutembea maeneo mbalimbali, Shida yangu nahitaji Mdada Mmoja wa kuchat nae na kuwa natoka nae, SIO KIMAPENZI, awe mjanja kama vile miss natafuta, miss chaga nk Mwanadada aliyetayari aniPM.... Umri sio kigezo kwangu...
  11. roja24

    Sijui kama ni udhaifu, ugonjwa au ndivyo nilivyoumbwa

    Wanajamvi, naomba kushare kitu kimoja binafsi sana. Lengo ni kujitambua. Mie ni mtu mzima na huwa nashangaaga sana wanaosema eti wamemlala mwanamke magoli matatu mara manne, hainiingiagi akilini kabisa. Shughuli nikiifanya mie na hasa kwa mwanamke ambaye msafi na nimemridhia/kumpenda na...
  12. roja24

    WANAUME TUJIFUNZE UVUMILIVU

    Amani ya bwana iwe nanyi nyote. Shalom, ama baada ya salam , Naomba niingie kwenye kisa Mafunzo based on true story. (sitotaja majina ila natimia avatar yangu) Nimeo a simple looking wife , back then was wife Material, am not sure right now!!! She has her little sister also married last year...
  13. roja24

    HOW I LEARNED TO MIND MY OWN BUSINESS.

    Habari wana Jamvi. Kichwa cha habari chajieleza. Sikh moja mshkaji alihamia MAENEO flan kikazi . akawa anatoka nyumban anatembea mpaka kazin kwake , na kurudi kama kawaida . sasa siku1 akawa anapita njia hiyo njia pemben kuna kitu kama SHULE lakini ilikuwa imezunguzlshiwa uzio mrefu wa tofali ...
  14. roja24

    Taja tabia ulowahi kuifanya

    Kichwa chajieleza, taja tabia mbaya ulowahi kuifanya ulipokuwa mtoto especially tulokaa/kulia uswahilini , naanza na Mimi TABIA YA KUMZOMEA ASUBUHI MTOTO MWENZENU KAMA NI KIKOJOZI ok tiririka nawe kama hukukulia masaki!
  15. roja24

    Series Kali isiyochosha wala kukinai Tafadhali!

    Habari wanajamvi Naomba mnisaidie kwa wale wataalam wa Series (tamthilia) wanijuze series gani kali ( kuna visa, mikasa, ngumi, mapenzi, usaliti, visasi, visa mafunzo) isiyochosha wala kukinai . Mbali na nilizoziona na ambazo ninazo au nshazidownload kama vile THE WIRE, PRISON BREAK, POWER...
  16. roja24

    Msaada wa duka la vifaa hivi vya magari-Dar

    Asalam. Wadau Mie ninashida ya kubadilisha vifaa kama vile bush, shock up Na vinginevyo ikiwemo pia Ndani vikiwemo urembo na seat cover bila kusahau manukato fresh. Mahitaji yangu sitaki kwenda gereji Na kuwaachia mafundi nataka kwenda mwenyewe dukani Na kuzoa mwenyewe Na kuwaletea wataalam...
  17. roja24

    Tukumbushane mambo ya kihenga

    Habari wanaJamvi naomba nitandike mada hii kwa neno moja alafu nawe Kama ni muhenga au uliahasikiaga mambo mbali mbali ya Zama hizo utaruhusiwa kutupia neno . JE UNAKUMBUKA # URAFIKI WA KALAMU# je ujakumbuka UNDUGU WA KUOMBA# je unakumbuka SALAMU ZA WAGONJWA RTD, Je unakumbuka #MICHEZO YA...
  18. roja24

    Waraka wa ACT- wazalendo kwa wanachama wake kufuatia kauli ya Rais Magufuli jana Singida

    Maelekezo ya Kiongozi wa Chama ( KC ) kwa wanachama wote wa ACT Wazalendo ( KC/01/2016 ). Tangu kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 Utawala mpya umekuwa ukifanya kila juhudi kuminya uwezo wa Vyama vya Siasa kufanya Kazi zake kwa kisingizio kuwa huu ni wakati wa kufanya Kazi na kwamba...
  19. roja24

    Kama kana ukweli, tujadili

    "Sio kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE:Utanielewa tu....... Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete...I will tell you WHY!! Kuna watu...
  20. roja24

    Hivi kuwa na pesa nyingi ni mafanikio?

    Wanajamvi naombeni upambanuzi kwenye hili Jambo, hivi ni nini kinachomtambulisha mtu kuwa ANAMAFANIKIO???? Au nini maana ya MAFANIKIO kwa muonekano kwenye jamii??
Back
Top Bottom