Kero kubwa ni pale unapotaka kubadili kifurushi hadi upige customer care, kumbukeni kuna mama zetu vijijini hawalijui hela na matokeo yake mtu alikuwa na kifurushi cha juu anataka arud cha chini mnamhesabia siku. Huu ni wizi uliotukuka. Rekebisheni hapo ili mtu akiweka anaenda automatically...
Mimi nimefunga solar na umeme katika njia moja japo kwenye tv peke yake kwa kuwa solar yangu ni ndogo ku supply nyumba nzima. Unakiwa kuwa na vitu vifuatavyo:-
1. Inverter- kubadili DC to AC
2. Exchange switch- hiki ni kifaa cha kutenganisha umeme wa tanesco na wa kutoka kwenye inverter, unaweza...
Nilipeleka kwa fundi kwa ajili ya kubadilishwa IC ya sound bahati mbaya ikawa imepigwa short.
Mwenye nayo au anayeweza kujua zinapopatika anijuze maana Mwanza nilizunguka mji mzima sikupata.
Jukwaa hili naliamini na natumaini nitapata, naomba kuwasilisha.
Naomba nikujibu
ifuatavyo...Aaron
Tuanze na utawala wa kipapa
Utawala huu unatambulika nchi
ya vatican na kwa kanisa katoliki
la Roma pekee(hakujawahi kua
na utawala wa papa kwa dunia
nzima). Labda kwa faida ya
wengi nkupe historia kidogo ya
falme zilizowahi kutiisha dunia.
1.Ufalme wa babeli...
HII NI SEHEMU YA MWISHO
SASA TUANZE NA AYA HII...
“Nikaona kimoja cha vichwa
vyake kana kwamba kimetiwa
jeraha la mauti, na pigo lake la
mauti likapona. Dunia yote
ikamstaajabia mnyama yule.
Wakamsujudu yule JOKA kwa
sababu alimpa huyo mnyama
uwezo wake; nao wakamsuju yule
mnyama, wakisema NI...
Habari za leo wanajamvi? Bila shaka mko njema kabisa baada ya kumaliza shughuli za hapa na pale, hasa ukizingatia asubuhi ndo inatoa picha kamili ya siku.
Turudi kwenye mada, simu tecno y6 takribani miaka mitatu sasa. Wakati simu zinazimwa sehemu ambapo line ya voda ilipoteza network na...
Ni pikipiki ambayo naipenda mwonekano wake na pia utumiaji wa mafuta mdogo na hvyo kuwa chaguo la wengi wenye hali ya chini.
Kuna mdau mmoja kanitonya lita moja inaweza maliza km 55!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.