Search results

  1. mr_stev001

    Ubaya wako mmoja unaweza kufuta mema yako yote

    Unaweza ukanywa maziwa siku 29 siku ya 30 ukanywa sumu bado utakufa vile vile. Hii inamaanisha ubaya wako mmoja unaweza kufuta mema yako yote. Kwa hiyo kuwa makini na mtu unayemtendea ubaya[emoji1600][emoji1600] enline g
  2. mr_stev001

    Wapambanaji tusikate tamaa

    Wengine tumetoka vijijini kuja mjini tunajua nini tumefata ,tumekuja kupambana tuokoe familia zetu ,zikae sawaa usisahau kilicho kuleta mjini enline_g✅
  3. mr_stev001

    Why always Simba?

    Nashindwa kuelewaa kitu kimoja yanga akicheza na tp mazembe anasemwa sana Simba, Yanga akicheza na malumo anasema simba sijaelewa kwani simba ndo anashiriki hayo mashindano? Sijapendaaa✅✅
  4. mr_stev001

    life linavoenda kasi

    kuna muda una mchukia mtu bila yeye kujua 🤞ila ukipa shida unamshirikishaa ana kusaidia kiroho safi kabisa heshim watu this 's life✅
  5. mr_stev001

    Ukiwa huna kazi mwanamke anakuchukuliaje?

    Mwanaume ukiwa huna kazi kuna namna mchumba ako anakuona ,tunaweka vitu vingi sana moyoni kias kwamba unaweza kuwa huna kazi huna ela lakin ukitaka kuzalaulika mwambia your fience !huna kazi ume haribu , unaweza ombwa pesa ukatoa vocha ukatuma lakin huna kazi mwanaume apewe heshima yake...
  6. mr_stev001

    Zao la vanilla

    Naomba nijue hivii zao la vanilla inalimwa wapi zaidi na ukanda ganii 🙏
  7. mr_stev001

    Marafiki wema wapo

    mtu wako wakaribu awe mpenzi ,rafiki ama nduguu vyovyote vile basi anavo ondoka na kwenda mbali unagundua vitu viwili 1️⃣nikiasi gani unamhitaji na kuliona pengo lake2️⃣nivile alikuwa kikwanzo kukukwamisha kwenye mambo yako so unafurahia kuondoka kwake penda unachofanya ,amini unacho kifanya...
  8. mr_stev001

    Ni sawa kujenga maeneo yenye makaburi?

    Nina swali moja kama sio mawili. Eneo lililotengwa kwa ajili ya maziko ya watu (makaburi) ni sawa Serikali ama mtu binafsi kupatumia kwa shughuli za ujenzi kwa maana ya kusambaza makaburi bila utaratibu wowote?
  9. mr_stev001

    Tafuta kwanza pesa, usikimbilie kutafuta mwanamke mwingine

    Guys ukiachana na mwanamke kwasababu huna pesa zakuweza kukidhi mahitaji yake usikimbilie kutafuta mwingine tafuta kwanza pesa.
  10. mr_stev001

    Mahusiano ya muda mrefu yanachochea mapenzi kuisha?

    Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?✍🏼✍🏼
  11. mr_stev001

    Pesa sio kila kitu

    Amin kuwa pesa haiwez nunua kila kitu au kufanya kila kitu vuta picha siku upo home umelala bank una kama m 10 💰hivi ila 📱imezima afu umezidiwaaa unaumwa atari ata kunyanyua mguu unashiwa ndan una kama jiwe 2 🌝 ndo unachomoka ikiwa pesa unazo mtu wangu
  12. mr_stev001

    Ukiwa mchoyo usiwe mroho

    Hapo wanafunzi ndo ambapo huwa wana kubali kurogwa tu 😂dunia inaenda kasi sana apo baada ya kusikia embe moja 5000😂 .
  13. mr_stev001

    Maisha ni jinsi unavojipanga mwenyewe

    Kuna wale wenzetu ambao huwa wanaomba ushauri juu ya biashara za kufanya😕,na kupewa ushauri mbalimbali lakini kiuhalisia ukiona umewin kupata pesa basi ni kuwa una uwezo wa kuchanganua jinsi utaitumia hiyo pesa. Kama ni biashara angalia una idea gani kwanza, ukiomba ushauri kuna watu...
  14. mr_stev001

    Inakuchukua muda gani kusahau maumivu baada ya kuachwa na umpendae?

    Inakuchukua muda gani kusahau yale maumivu baada ya kuachwa na mtu umpendae?
  15. mr_stev001

    Simu ya baba

    Baba: calling -------------- Mimi: Hallo, shkamoo mzee wangu. Baba: Marahaba, hujambo? Mimi: Mimi sijambo mzee, vipi huko wazima? Baba: Huku wazima tumetingwa na kilimo hapa. Vipi wewe mbona sikuelewi, simu hupigi hadi mimi nikupigie sio? huna vocha au? Mimi: Aaaah$$,$:! Hapana nisamehe...
  16. mr_stev001

    Simu ya Mama

    Mama: calling-------- mimi: hellow mama shkamoo Mama: marahaba baba za uzima mimi: njema mamaangu mungu anasaidia vipi nyie hukoo mama: huku kwema baba ile hela nimepata asnte mungu akubariki 🙏 mimi : ahaaah 😀😀usijar mamaangu nikawaida mama: sawa mwanangu uwe na asubhi njemaa mimi :asntee...
  17. mr_stev001

    Love on time

    Hii nimeona nii lete kwenu wakuu kuna jamaangu ali kuwa na mpenz wanapenda sanaa ila hajawahi kus#e&x nae kila akimwomba ana mwambia nitakupaa 🤭 ikafika muda mwamba aka chimba akamwacha manzi je hii iko sawa kuwa no sex no lovee ✅✅
  18. mr_stev001

    Unaweza kuwa na namba za simu za mchumba wa rafiki yako?

    Una rafiki yako, je, ni haki kuwa na no za simu za mpenzi wako? Man au mpenzi wako kuwa na namba za rafiki yako? [emoji736][emoji736]
  19. mr_stev001

    Viongozi kutoka CAF wakipata chakula

    Hapo niviongozi kutoka CAF wakipata chakakula wapo hapa nchini kuhusiana na Africa super ligi sasa najiuliza mbona cioni ata kiongozi mmoja wa 🌳🌳🌳🌳au wao sio super au basi.
  20. mr_stev001

    Mahusiano

    usi mind pindi manzi wako asipo kutafuta siku nzima 😀mtafute wewe kwasababu ndo unaeumia ✅✅
Back
Top Bottom