Search results

  1. The Listener

    Kuziona fursa imekuwa fursa kwa walioziona kabla. Tuchangamke

    Si jambo la ajabu kwa siku za hivi karibuni kusikia matangazo mbalimbali ya fursa za kijasiriamali. Kama si luningani basi utaona kwenye magazeti au kusikia raedioni kama si katika vipeperushi utakavyopewa na wahusika katika sehemu mbalimbali. Hiki si kitu kibaya kwa kuwa wajasiriamali...
  2. The Listener

    Tumsaidie Mh. Rais na kujisaidia sisi wenyewe

    Pamoja na yote yaliyotokea Sasa naona Ndo tushampata Rais wetu wa JMT. Kazi imebaki kwetu watanzania kuhakikisha kuwa tunajipatia maendeleo. Hapa nitajikita katika ofisi za umma. Kwa kuwa Mh. Rais Magufuli amejipambanua na falsafa ya hapa kazi tu, ni vema akapewa msaada toka Kwa wananchi wake...
  3. The Listener

    Baada ya uchaguzi 2015, tutaanza na hatua ipi ya mchakato wa katiba mpya?

    Ni baada ya makubaliano ya Rais na TCD. Hatua ya kutafuta katiba mpya imefikia katika kujadili taarifa za kamati 12 zilizoundwa. Kwa wale wajuzi wa masuala ya katiba hii tusaidiane kama kuna kifungu chochote cha sheria ya mabadiliko ya katiba au kanuni za uendeshaji wa bunge maalumu...
  4. The Listener

    Waamuzi kuchezesha mechi za mwisho za ligi Australia na vinasa sauti

    Katika mechi tano za mwisho za ligi kuu huko Australia waamuzi watalazimika kuvaa vinasa sauti ambavyo hata watazamaji watakaokuwa wakifuatilia mechi hizo katika TV watapata wasaa wa kusikiliza watakayokuwa wanaongea ama baina yao au baina yao na wachezaji. Hii ni kuepukana na janja janja yoyote...
  5. The Listener

    Taarifa na miongozo katikati ya utoaji wa maoni ya wachache

    Hii sasa naiona kama mbinu ya walio wengi kutupotezea mtiririko wa maoni ya wachache. Jussa hadi sasa kapewa taarifa mbili toka kwa 'walio wengi' kitendo ambacho kimepelekea mweneyekiti kutoa ahadi ya kutopokea taarifa katikati ya maoni. Mbaya zaidi miongozo mingi na taarifa zaombwa na walio...
  6. The Listener

    Wenyeviti wa kamati wanaleta mzaha sasa

    Sasa naona kama kuna kijimzaha hawa wenyeviti wa kamati kwani wanasoma vizuri sana maoni ya wengi katika taarifa zao lakini ikifika sehemu ya maoni ya wachache ni kama vile wanachukulia bora liende. Nguvu wanayotumia katika maoni ya wengi haina uwiano kabisa na ile inayotumika katika kusoma...
  7. The Listener

    Hapa kweli kutakuwa na maridhiano ya kweli?

    Ilipofikia hatua ya ama kura za uamuzi zipigwe kwa kura ya siri au dhahiri kulijitokeza mzozo mkubwa sana baina ya pande mbili; Upande wa kura za wazi/dhahiri ulijumuisha sehemu kama si wana CCM wote na ile ya kura ya siri ilikuwa na sehemu kubwa ya mchanganyiko wa wajumbe waliosalia. Baada ya...
  8. The Listener

    Dhana ya Taifa kwanza na uhalisia wa nchi yetu

    Nimesikia hili neno la kutanguliza utaifa kwanza toka bunge la katiba lianze. Dhana hii imepelekea kuundwa kwa umoja ujulikanao kama TAIFA KWANZA likijumuisha wajumbe toka CCM. Kama dhana hii ingalitumika ipasavyo toka zama za Muungano yaani 1964, leo hii Tanzania tungekuwa ama sawa na Tiger...
  9. The Listener

    Chonde Chonde Mzee Warioba

    Kwanza pole na majukumu ya kazi nzito uliyopewa na Mheshimiwa Rais kwa niaba ya wananchi kuandika rasimu ya katiba. Mara baada ya kuwasilisha rasimu ya katiba bungeni kulikuwa na muendelezo wa shutuma lukuki dhidi yako na hasa kutoka katika Chama kilichokulea kwamba umeenenda kinyume na ilani ya...
  10. The Listener

    Siri ya mapenzi ni nini?

    Mi ni mtu mzima kwa sasa na nimeishi na mke wangu yapata miaka 12 ya ndoa sasa. Ninampenda sana na ninaishi naye vyema pamoja na wanetu wawili; wa kike na wa kiume. Nimekuwa nikisikia matatizo mengi tu ya kimahusiano na wakati mwingine nimekuwa mshiriki kusuluhisha mahusiano ya baadhi ya rafiki...
  11. The Listener

    Tatizo la wazazi kutokwenda shule kabisa!

    Mtoto: Baba Botswana iko wapi? Baba: Angalia humo kabatini maana mama yako naye hajambo kwa kuhamishahamisha vitu
  12. The Listener

    Urusi dhidi ya Ukraine na washirika wake juu ya sehemu ya Crimea

    Nimekuwa nikifuatilia huu mzozo wa Urusi kuingia Crimea kama sehemu ya kuwasupport kujiunga nao kama sehemu ya nchi ya Urusi. Kuingia kwa majeshi ya Urusi hivi karibuni huko Crimea ikiwa ni sehemu ya Ukraine kumezusha taharuki baina ya viongozi mbalimbali wenye nguvu za kiuchumi na kisiasa...
  13. The Listener

    Experience ya mafunzo ccp moshi - kumbukumbu

    Kuna member humu JF kaweka uzi unaotoa taarifa juu ya mafunzo ya depo la uhamiaji kutofanyika CCP MOSHI na kufanyika mahali pengine. Kwa kweli amenisha mbali. Nilipitia mafunzo hayo miaka ya mwishoni mwa 90. Nimepakumbuka sana pahala pale. 1. nikilala saa nne kwa lazima na kuamshwa saa tisa kwa...
  14. The Listener

    Simba yafuata nyasi za Shs milioni 160 China

    Simba haitaki mchezo. Uongozi wa timu ya Sima umepanga kwenda China kufuata nyasi bandia zenye gharama ya Shs. milioni 160 kwa ajili ya kuzitandaza kwenye uwanja wao mpya watakaoutumia kwa ajili ya mazoezi. Timu hiyo tayari imeanza maandalizi ya ujenzi wa uwanja huo uliopo Bunju, nje kidogo ya...
  15. The Listener

    Tukumbuke kwenda kuwapokea mashujaa wetu toka misri

    Kama utamaduni wetu ulivyo tusisahau kwenda kuwapokea mashujaa wetu uwanja wa ndege wa kimataifa toka misri walipokula kichapo. Tuchukue tena ubingwa ili mwakani tukutane nao tena watuchezeshe mchakamchaka kama wa jana. Ule mchakamchaka umenikumbusha shule ya msingi. Tusisahau wananchi wenzangu...
  16. The Listener

    Etoile yaibua upya sakata la okwi

    SAKATA la usajili wa mganda Emmanuel Okwi kutua Yanga limeibuliwa tena na timu yake ya awali iliyokuwa ikimmiliki ya Etoile Du Sahel ya TunisiA, baada ya kuifungulia madai ya fidia timu ya Sports Club Villa ya Uganda ya euro milioni 1 (TZS BILIONI 2.2) kwenye Shirkisho la Soka la Kimataifa...
  17. The Listener

    Azam TV kipindindi cha mvua

    Mimi ni mteja wa AZAM TV sasa ni mwezi wa pili. Sina uhakika kama tatizo ninalolipata linawapata wateja wengine wa AZAM TV. Suala ni kwamba mvua ikinyesha kidogo tu basi ianakatakata na wakati mwingine haionyeshi kabisa. decoder inakuwa inablink (sehemu ya kijani). Wasiwasi wangu ni kuwa kama...
  18. The Listener

    Imenishangaza sana - ronaldinho na wachezaji wa raja casabranca katika michezo ya ubingwa wa dunia

    Kama ni mfuatiliaji wa soka katika ligi mbalimbali za amerika ya kusini si suala la ajabu kumuona mchezaji akitoka uwanjani akiwa kavaa chupi pekee na hasa akiwa ama maarufu au akiwa amecheza vyema na kupelekea timu yake kushinda. Hii inatokana na furaha ya mashabiki ambao huingi uwanjani kwa...
  19. The Listener

    Chondechonde Kafulila na kituo chako cha radio

    Mimi ni mmoja kati ya waamini wazuri wa masuala ya amani na utulivu. Niliposikia kuwa Bwana Kafulila anaanzisha kituo chake cha radio nilipata faraja kwani wigo wa upashanaji wa habari unaongezeka. Ombi langu ni kwamba ninaomba sana kituo hiki kitumike kwa maslahi ya Taifa. Nasema hivyo kwa...
  20. The Listener

    Treni la mwakyembe; mashaka yangu na tiketi zao

    Mimi ni mwanadarisalama kwa yapata miaka 15 sasa na mabadiliko ya ugumu wa usafiri katika jiji hili nimekumbana nayo kwa vipindi tofauti. Kwa sasa ni mkazi wa ubungo na nilishukuru sana usafiri wa gari moshi ulipoanza kufanya kazi hapa jijini. Naishi umbali wa yapata urefu wa viwanja viwili vya...
Back
Top Bottom