Search results

  1. BwanaSamaki012

    Wapi naweza kupata huduma ya Tractor kati ya maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe

    Wakuu habari za wakati huu? Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga) Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
  2. BwanaSamaki012

    Huyu anaweza kukufaa sana kwenye shughuli zako

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 26, kitaaluma mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa viumbe vya majini (aquaculturist) Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye hii industry nimefanya kazi katika miradi kadhaa katika mikoa ya Pwani, Shinyanga, Mwanza na Tabora. Lakini kwa sasa nimejikita kama...
  3. BwanaSamaki012

    Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Asante kwa kunitia moyo Hii ni Kama update ya kufanya watu wawe aware juu ya huduma ninayotoa, kukutana na wadau Pia kufungua milango kwa mtu anaeweza kunitumia kwa shughuli yoyote ambayo anaona nina fit in Mwaka huu nimepanga kujiendeleza na lengo ni kusoma hadi masters in the near future
  4. BwanaSamaki012

    Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Inategemea na uzito unaohitaji lakini wastani ni miezi 6 Ndani ya miezi 6 samaki wanakuwa wamefikia marketable size 250g +
  5. BwanaSamaki012

    Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Samaki wa mazingira ya asili wanakuwa na kiwango kidogo cha mafuta kwasababu wild fish are constantly moving and trying to find food to eat ukilinganisha na samaki wakufugwa ambao wanakuwa na mafuta mengi kwasababu hawana movement nyingi za kutafuta chakula
  6. BwanaSamaki012

    Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Samahani naomba nikusahihishe Asilimia kubwa ya samaki wakufugwa Sato na Kambale wanafugwa kwenye maji baridi Kuhusu ladha kuna sababu zifuatazo Sababu ya kwanza uwa ni maji, mfano maji ya bwawani uwa ni machache kuliko ya mtoni au ziwani hivyo uchafuka haraka nakutoa harufu inayoathiri hadi...
  7. BwanaSamaki012

    Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Naendelea Nilianza kufundisha kama mwalimu wa day care wakati huo nikitafuta kazi ya taaluma yangu au yoyote tu yenye maslahi mazuri, bahati nzuri nilipata kupitia hii Jf Kazi nilipata Tabora, nilisafiri nikaenda Tabora nikafanya kazi kama farm manager, hapa kiasi flani nilisettle na maisha...
  8. BwanaSamaki012

    Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Napambana sana kaka nimeshafanya kazi nyingi hadi kufikia sasa hivi naomba nielezee kwa ufupi Baada ya kumaliza chuo ngazi ya diploma nilitaka kuendelea na bachelor ila nilikosa mkopo na familia yangu aikuwa na uwezo wa kuniendeleza Option pekee niliyokuwanayo ni kutafuta kazi ili baadae...
  9. BwanaSamaki012

    Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Nashukuru, naendelea kupambana ndani na hata nje ya taaluma yangu nikiamini one day yes
  10. BwanaSamaki012

    Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 taaluma yangu ni ufugaji samaki kiwango cha elimu ni Diploma (Diploma in Aquaculture Technology) Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye hii industry nimefanya kazi katika miradi kadhaa katika mikoa ya Pwani, Shinyanga, Mwanza na Tabora. Kwa sasa nimejikita kama...
  11. BwanaSamaki012

    Tahadhari yatolewa Bonde la Rufiji, baada ya bwawa la JNHPP kufunguliwa maji yake

    Nikiwa kama mtaalamu wa viumbe wa majini (aquatic species) sishauli ufanyike upandikizaji wa samaki wageni (exotic fish) kwa sababu zifuatazo Baadhi ya introductions have proved so effective that the new species has been able to out compete existing fishes resulting in a considerable reduction...
  12. BwanaSamaki012

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    1. Amna madhara yoyote ya kiafya kwa walaji wa samaki wa kufugwa 2. Nivigumu kujua kama samaki uliyenunua kwa ajili ya kitoeo ametoka kwenye mazingira ya asili au ni wakufugwa kwa sababu wanafanana kimuonekano tofauti ni mazingira wnayotokea na aina ya species 3. Sina uhakika na hilo supplier...
  13. BwanaSamaki012

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    1. Sato ni samaki anaekula vyakula aina ya mimea na wanyama/wadudu (phytoplankton and zooplankton) ila kwenye ufugaji tunawalisha chakula chenye mchanganyiko wa virutubisho muhimu (pumba za mahindi, mpunga, mabaki ya dagaa, soya, mashudu ya alizeti n.k) usagwa, uchanganywa na kisha utengenezwa...
  14. BwanaSamaki012

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Niweke sahihi, hoja ilikuwa hakuna sato mwenye kilo moja Twende kwenye hoja ya pili muda ambao samaki anachukua hadi kufikisha kilo 1 au zaidi Naomba nijikite kwenye samaki wa kufugwa, muda unategemea na factors kama vile chakula, ubora wa maji na management kwa ujumla Binafs nimeshuhudia...
  15. BwanaSamaki012

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Nilichoandika na ushahidi nacho Huyu samaki anazaidi ya kilo moja, picha niliipiga mimi mwenyewe
  16. BwanaSamaki012

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Namashaka na uelewa wako kuhusu samaki, nimekuwa kwenye industry kwa zaidi ya miaka mitatu nimeshuhudia samaki wengi tu ambao wanazaidi ya kilo 1 Fatilia utaona, tembelea sehemu zenye vizimba (cage culture) au miradi mikubwa ya ufugaji samaki au landing site zilizo around Ziwa Victoria utaona...
  17. BwanaSamaki012

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Nimejaribu kuelezea kwa ufupi zoezi la utotoleshaji wa vifaranga vya samaki Samaki sato ni aina ya samaki wanaotunza, kutolesha na kutunza vifanya wao mdomoni (mouth brooders) Ili kuzalisha vifaranga ambao watakuwa na uniform size inakulazimu kukusanya mayai toka kwenye vinywa vya Samaki...
  18. BwanaSamaki012

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Njia nyingine ya kuzalisha samaki madume inajulikana kama YY, njia hii wanatumia samaki ambao ni Super male aina hii ya samaki waki mate namajike samaki watakao zaliwa hapa watakuwa madume wote Nyingine ni kutumia species mbili tofauti ambazo zikikutana razima vifaranga watakaopatikana wawe...
Back
Top Bottom