Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

Niliendaga Mbeya, baada ya shughuli zangu nikaenda kula kitiMoto. Mdada mmoja akaja meza yangu, nikamkaribisha nyama tukala. Tukaanza beer, lete lete na wewe, usiku ulipokomaa tukahamia lodge, nilianza na Kinga na mchezo wa kihaya, kumbe mnyakyusa hajawahi fanyiwa karufundi, maji kisima kilivyoanza kutema nikapandwa na midadi nikashuka uvinza, kumbe na uvinza nako hajawahi, mdada analia tu ungufye ungufye, huku kisimbusi chake kimetuna utafikiri uume wa mtoto wa miaka sita. Ungufye nyingi Sana huku godoro limelowa chapachapa. Asubuhi akanielekeza duka lake lilipo. Nilipiga mswaki Mara tatu lakini naona bado mdomoni Ni kuzito. Jioni nikamfuata ili nimuone vizuri. Nilichokiona live Aisee pombe mbaya. Baadaye akaja jamaa ambaye nilijua fika Ni mchepuko wake. Nikawa tu najiuliza, Mimi nimeingiza ulimi huyu bwege anapokojolea??

Dah aseeee nimecheka sana
 
Mkuu mwenyewe ishanitokea kuna manzi nilizinguana nae kabla sijamla miaka ya nyuma mwaka juzi akawa anasoma nyerere university tukawa tunawasiliana nikawa namuomba mtoko anazingua siku isiyokua na jina akaniambia kama upo free this week tutoke nikasema poa, akaniambia utaniambia tunaenda wapi but nataka sehemu iliyo open nikamwambia chagua wewe ladies first akasema poa, kufupisha story alinipeleka kiwanja kimoja kipo masaki kama sijakosea panaitwa "Balometer" aisee kwanza kipo juu mnapanda na lift kufika ngozi nyeupe ndio nyingi menue inavyakula vya bei kichizi, local beer buku 7 sitasahau tulitumia kama 90 na ushehe na mzigo siku kumanina zangu.
ungechagua wewe
 
Sidhani kama ipo cha msingi ni kujisimamia tu, nashukuru mungu naendelea vizuri maana sikuizi nakunywa kiminyato sn
Kuna brother angu mjeda
Now nipo nae nikijiuguza kuvunjika mguu so muda mwingi anakuja kwangu tuna chill..

Majuzi kapiga tungi balaa mpaka akawa hajielewi kafanya vituko vingi balaa
Sijamwambia kitu
muda huu ndio ananiulizia kua Mbona sijamwambia AMEAMBIWA HUKO MTAANI MPAKA ANAONA FEDHEHA KUBWA..

NB.
KUNA WATU HAWATAKIWI WAGUSE POMBE MAANA WANAWEHUKA

VILEVI NI KUJIJUA NA KUTO OVERDRINKING

Ona Sasa amepata FEDHEHA KUBWA
 
Pia, kuna siku demu flani nimejipendekeza sana kumtoa out. Kila siku naforce ila yeye ananikatalia.

Basi hiyo siku akasema nipo Sinza hospital nimemsindikiza rafiki yangu. Nikamwambia hata mimi nipo jirani na Sinza dukani kwa mwanangu kumbe ukweli nipo mbali. Akasema njoo tukitoka hosp tukale. Nikasema poa, nikafaka boda.

Nafika ndio wanatoka. Tukasogea mgahawa mmoja wa kifala sana unaitwa Golden Fork.

Story isiwe ndefu, walikula elfu 75. Hafu nikawaitia bolt wakarudi kwao.

Jioni ananitext upo free twende cinema, nikasema hii msg ngoja nipige kwanza nyeto ndio nitajibu.
Ulikuwa famba haswa 😂
 
Niliendaga Mbeya, baada ya shughuli zangu nikaenda kula kitiMoto. Mdada mmoja akaja meza yangu, nikamkaribisha nyama tukala. Tukaanza beer, lete lete na wewe, usiku ulipokomaa tukahamia lodge, nilianza na Kinga na mchezo wa kihaya, kumbe mnyakyusa hajawahi fanyiwa karufundi, maji kisima kilivyoanza kutema nikapandwa na midadi nikashuka uvinza, kumbe na uvinza nako hajawahi, mdada analia tu ungufye ungufye, huku kisimbusi chake kimetuna utafikiri uume wa mtoto wa miaka sita. Ungufye nyingi Sana huku godoro limelowa chapachapa. Asubuhi akanielekeza duka lake lilipo. Nilipiga mswaki Mara tatu lakini naona bado mdomoni Ni kuzito. Jioni nikamfuata ili nimuone vizuri. Nilichokiona live Aisee pombe mbaya. Baadaye akaja jamaa ambaye nilijua fika Ni mchepuko wake. Nikawa tu najiuliza, Mimi nimeingiza ulimi huyu bwege anapokojolea??
Chief, Sasa hapo fala ni wewe uliyeweka kiungo chako muhimu , mdomo, sio yule anayeweka kikojoleo😅😅

Sasa hapo fala ni wewe uliyeweka mdomo wakati mwenzio anatia kikojoleo😅😅
 
Kuna dem mmoja wa mwanza nilimdanganya naishi Dom kumbe naishi chuga, akaenda dom safari ya kikazi akanipigia sim nipo Dom njoo unipokee na mm kumbe nipo Arusha.

Nikampanga achukue lodge ntamjioin asubuh. Nikawaza nipende basi au nitekenye machine. Nikamuuliza utakuwepo kwa siku ngapi akajibu 5 ikabidi niombe ruhusa job kabisa

Nikawasha chuma to dom, akawa kafikia hotel ya 70k nikalipa siku zote 4 zilizobaki. Asubuhi nampleka Kwenye seminar jioni kumchukua tunaenda hotel na kula maisha viwanja

Uzuri game alinipa nikawa nakiwasha kama kama nimeoa vile 😀 maana tulijuana kwenye magrup ya wasapu hatukuwahi kuonana Kuna siku nimemfikisha dem kwenye semina asubuh wakaniomba nikawapokee wazungu airport sababu nilikua gari. basi nikawapokea na nikazoeana na wale wazungu tukawa tunapiga story. Kila siku nikimpeleka dem kwenye kikao wazungu wananiulizia basi ikabidi niwe napiga nao chai kisha nawatoroka mixer na kuhudhuria semina mara kadhaa.
Baada ya vikao kuisha nikawa nimetumia kama 500k na mafuta ya gari humo, misosi, Lodge nk. Ikawa sio kesi maana pesa ilikuwepo japo nilijikaza moyo lakini sikua na amani sana pesa yenyewe ya shida

Basi ile siku ya kufunga semina na kutoa vyeti na kuagana na mm nilikuwepo basi wazungu wakatoa appreciation kwangu wakatoa cheti cha ushiriki na Dollar 2,000 kwangu daaah mm nilijua bahasha labda ina kadi au barua kumbe hela. Wala sikuifungua

Ile jioni tupo lodge napiga mara ya mwisho mwisho ili nimpandishe basi dem asubuhi kumbe dem anajua mm nipewa hela, akaniambia umepewa sh. Ngapi kucheck ni pesa ndefuu dem anataka tugawane 😀😀😀😀😀 nikamwbia posho ntampa lakini sio kugawana kesho yake baada ya kuchenji Nikatoa na gharama zangu zote na mafuta ya kurudi na service ya gari 800k nikatia kwapani nikampa dem 500k

Kesho na wale ma Hr sijui ni makodineta nao wanataka ganji 😀😀😀 kumbe wanajua nimepewa hela

Kuna mmoja pisi kali kinoma wa Dar nikamwambia usiondoke kesho tuonane,

Asubuh nikamsindikiza dem kisha nkamtafuta yule hr.
Nikapiga nae story nikaomba mzgo akasema sawa nikapiga siku mbili nikampa 500k akarud dar

Hadi narudi arusha nina mil 2. Na ile hela nyingine ipo kwenye simu.

Nilijilaumu kugawa pesa na umalaya japo nilipata faida.
Mjini msingi kiuno 😀😀😀😀
Yaani unahudhuria semina from no where hii chai ya Moto Sana. Semina huwa zinapangwa Kwa kuangalia wahusika sahihi siyo WA kukutana nao Barabarani. Na hakuna watu wabahili kama wazungu kwenye hizo semina, unaweza enda semina wasilipe chochote, sasa nashangaa wewe Kwa siku tano wakupe Dola 2000 yaani Kwa siku 400usd from no where.
 
Niliwahi mtoa out demu tukapiga mitungi na mikasi sana, ile tusepe home mida ya saa7 demu anadai simu yake haioni.

Nikampotezea nikijua analeta drama ili anipige mzinga wa kumnunulia simu nyingine,maana ile ilikua imechoka sn.

Ile nafika kazini asubui polisi hawa hapa na yule demu nahitajika kituoni kwa kosa la wizi wa simu, nikawaelezea polisi jinsi ilivokua wakashauri tuyajenge.

Ikabidi nimlipe hela akachukue simu nyingine, maana sikutaka ishu iwe kubwa na ukizingatia ninafamilia.

Hiyo hela inaniuma mpk leo jumlisha gharama tulizotumbua hiyo usiku, kweli mademu hawana huruma.
mademu WA uswazi noma
 
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah, mkuu umetisha sana
Niliendaga Mbeya, baada ya shughuli zangu nikaenda kula kitiMoto. Mdada mmoja akaja meza yangu, nikamkaribisha nyama tukala. Tukaanza beer, lete lete na wewe, usiku ulipokomaa tukahamia lodge, nilianza na Kinga na mchezo wa kihaya, kumbe mnyakyusa hajawahi fanyiwa karufundi, maji kisima kilivyoanza kutema nikapandwa na midadi nikashuka uvinza, kumbe na uvinza nako hajawahi, mdada analia tu ungufye ungufye, huku kisimbusi chake kimetuna utafikiri uume wa mtoto wa miaka sita. Ungufye nyingi Sana huku godoro limelowa chapachapa. Asubuhi akanielekeza duka lake lilipo. Nilipiga mswaki Mara tatu lakini naona bado mdomoni Ni kuzito. Jioni nikamfuata ili nimuone vizuri. Nilichokiona live Aisee pombe mbaya. Baadaye akaja jamaa ambaye nilijua fika Ni mchepuko wake. Nikawa tu najiuliza, Mimi nimeingiza ulimi huyu bwege anapokojolea??
 
Chief, Sasa hapo fala ni wewe uliyeweka kiungo chako muhimu , mdomo, sio yule anayeweka kikojoleo😅😅

Sasa hapo fala ni wewe uliyeweka mdomo wakati mwenzio anatia kikojoleo😅😅
Ndio maana najilaumu mkuu. Starehe ya nusu saa ilinikost zaidi ya mwezi. Kila nikikumbuka nilipoweka ulimi Kama nilikua nakula kongoro naacha pale pale.
 
1. Enzi hizo SOKOTA pale mbele ya Tazara Flyover, kuna Bar inaitwa Sugar Ray. Aisee, asante Mungu nilihama Mbagala.

2. Corner bar (Ambiance) pia nimefanya vitu ambavyo asubuhi nimejimaind sana.

3. Na mwisho niliendaga Njombe from Dar na gari, ambalo hata service sijakifanyia. Kwanza wese tu nikitumia zaidi ya 400k kwenda na kurudi. Pili, nilivyorudi ilifanyiwa service zaidi ya Million 1 na kidogo.

Kisa tu nilikosa gari la moja kwa moja nikawasha chuma. Kumbe ningeunga unga ningefika safi kabisa kwa robo bei.
Regrets and disappointment is part and parcel of our lives, kuna mambo niliyafanya, nikikumbuka, sidhani kama nilikua mzembe na mpumbavu sana, right now I am the good man
 
Back
Top Bottom