Search results

  1. G

    Msaada kuhusu udahili UDSM kwa Postgraduate

    Nauliza jamani ukitaka kuomba intake ya october kwa UDSM (Master Degree) inatakiwa uombe mwezi wa ngapi? Ninaona kuna dirisha limefunguliwa saizi na mwisho wa kuomba ni mwishoni mwa mwezi huu. Je, hakutakua na dirisha lingine kwa intake ya mwaka huu?
  2. G

    Wataalamu wa kutafsiri ndoto msaada kidogo

    Habari za kazi wakuu, Aisee kuna ndoto zimekuwa zikinirudia rudia, ninataka pata tafsiri zake kama kuna mwenye atakua na ujuzi huo. Nimekua nikiota sana matukio ya nyuma, yaani ndoto zangu nyingi zinahusu watu wote ambao nilkua nao kipindi niko shule ya msingi au mwanzoni wa sekondari hata...
  3. G

    Anaweza pata ujauzito kwa hivi?

    Wadau, kuna manzi ameniuliza swali na nimeshindwa nimjibuje. Alifanya mapenzi na boy wake ilkua siku ya 15 tangu aingie period, walitumia condom bao la kwanza then second round wakafanya bila condom ila bao alimwagia nje. Anauliza kuna uwezekano kwamba sababu bao la kwanza jamaa kamwagia kwa...
  4. G

    Nashindwa kutuliza akili katika jambo!

    Habari wadau, kama kichwa cha uzi kinavyojielezea hapo juu, Kijana hapa umri miaka 30, ila kuna shida moja hwua inanisumbua sana na bado sijajua shida ni nini? Siwezi kabisa ku concentrate katika kitu, kwa mfano naweza kuwa naskiliza mziki lakini nisielewe maneno ila nikawa naupenda huo mziki...
  5. G

    Uchambuzi wangu kuhusu mechi ya Brazil vs Croatia

    Honestly, mechi ilkuwa wazi kwa brazili kushinda, na huenda kabla ya final whistle ya first half kupigwa Brazil huenda ingekuwa inaoongoza goli si chini ya tatu.... Nini kimetokea kwa matokeo haya, kitaalamu tunaita "bad day at work grounds" hiki ndio kilikuwa kikwazo kwa brazil ku qualify...
  6. G

    Hivi mbona sioni raha ya hii dunia?

    "Nilpokua mdogo nilipambana sana kusoma na kufanya kazi mbalimbali nikiaminishwa kua nikiwa mkubwa nitakua na msingi bora wa maisha." "Nimesoma sana, tena ngazi zote za elimu namaanisha hadi degree level, na kufanikiwa kuwa katika taasisi moja ya selikarini japo mshahara sio mkubwa ila kiasi...
  7. G

    Kada kindakindaki wa CCM na YANGA nimeingia jamiiforum kwa kishindo

    Wadau mambo vipi,. Poleni na mihangaiko ya kila cku maana life liko tight kinoma. Mimi hapa genius kipanga nimekuja jamiiforum kwa lengo kuu moja kutetea CCM na YANGA. Naomba ushirikiano wenu katika kuhakikisha mama anaupiga MWINGI hadi umwagike Naomba kuwasilisha Nb:Pisikali zote nifate pm...
Back
Top Bottom