Uchambuzi wangu kuhusu mechi ya Brazil vs Croatia

Nov 30, 2022
17
17
Honestly, mechi ilkuwa wazi kwa brazili kushinda, na huenda kabla ya final whistle ya first half kupigwa Brazil huenda ingekuwa inaoongoza goli si chini ya tatu....

Nini kimetokea kwa matokeo haya, kitaalamu tunaita "bad day at work grounds" hiki ndio kilikuwa kikwazo kwa brazil ku qualify kwenda next round...

Mtu kama Neymar ukiachana na mchango aliotoa kuisaidia timu, lakini bado alikuwa na makosa mengi sana katika mchezo huu...

Na kitendo cha kumpa penalty ya kwanza apige Rodrygo ilkua ni njia ya kuwasawazishia Croatia kutinga hatua inayofuata...

Kwasababu man of the match alikua kipa kwa game ya leo afu unampa mtoto yule penalty ya kwanza kwelii...?

Yote kwa yote nimeumia sana brazil kutoka mpaka saiz niko nalia peke angu na kujiapiza kwamba sitakaa niangalie tena kombe la dunia kwa msimu huu coz sina timu ninayoupenda sana ukiachana na ureno ambayo nayo haimpi nafasi ronaldo acheze...


Brazil mmecheza ushuzi ushuzi tu mbaaaaafu
 
Jina linawaponza wanashimdwa kupigana wanauza nyago
 
Back
Top Bottom