Search results

  1. sisi kwa sisi

    Kwa mara ya kwanza napanga kulishtaki baraza la mtihani ( necta) mahakamani

    Kwa mara ya kwanza ninaweza kulishinda baraza la mitihani NACTE mahakamani. Nia ya mashataka yangu ni kutaka Mahakama kuu iruhusu mitihani yangu kusainishwa Upya kuupita Externa examiner. Sababu kuu Mtihani niliujibu vizuri tu maana ni mmoja kati niliopata mitihani. lakini nimeletewa D...
  2. sisi kwa sisi

    Mzee Mbarouk Mshimba wa Chadema amkana Hadharani Mwanawe Uzini

    moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani. amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani naye. Nadhani Habari leo ndio limeandika. my take nadhani Mtoto achane na siasa, maana hata radhi...
  3. sisi kwa sisi

    Matokeo ya f4, kuutikisa muungano?

    Mchezo wenyewe ni huu. Shule ya Hamamni na Haile salas ,Bembela zipo pua na Mdomo.Ukisema yeye anakusikia. Shule hizi mbili hazipugui wanafunzi 500 kila moja. Hamamni asilimia 90 wamezuiwa matokeo kwa kisingio cha kuiba mtihani. Haile hakuna aliezuliwa hata mmoja isipokuwa zimetawala F na D...
  4. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    kinachonifurahisha mod sio wakali kwa ccm. Kikubwa zaidi na kwa waislam
  5. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa(NA SIO SEREKALI) HAPA UNASEMAJE?
  6. sisi kwa sisi

    TAARIFA KWA SERIKALI: Bugando HospitaL total tools down kuanzia sasa..

    Nafikiria serekali iakte mirija yote inayoelekea makanisani. Kwani isipofanya hivyo taifa litaangamia. Kama bugando hopsital ya kanisa inagoma kwa kuwa rais aliepo madarakani ni muislam. Nchi imeisha
  7. sisi kwa sisi

    TAARIFA KWA SERIKALI: Bugando HospitaL total tools down kuanzia sasa..

    Si shangai. Kama hospital za kidini zinaua watu kwa manufaa ya kisiasa. Lkn hata rwanda yalitokea mauji kama haya
  8. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    jf inavituko, mod ana user id zaidi 15. hapa Chadema wamefanikiwa
  9. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    hii ndio weakness ya jf, usishangae ukasikia hii ni Id ya Mnyika. kaacha bunge kahamia JF mara moja ili kupsot kama hii. chadema na siasa za kitoto
  10. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    Alhaj Aboud Jumbe, Rais mstaafu wa Zanzibar, ametoa hoja kuonyesha kuwa Waislamu hawatendewi haki na kwamba Kanisa Katoliki limepewa fursa ya pekee nchini. Sehemu katika kitabu chake inasema: MTIRIRIKO wa matukio ya kisiasa unaashiria agenda ya siri ambayo inaelekezwa kutumikia Kanisa Katoliki...
  11. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa
  12. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    chadema at work. vyama vya kanisa na vijana wa kanisa. Kazi nzuri inayofanywa na msemaji wa Chama mnyika
  13. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)
  14. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa(NA SIO SEREKALI)
  15. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    MwanaHALISI limegundua kuwa miongoni mwa yaliyodanganywa ni kuhusu umiliki wa mtandao mashuhuri nchini wa Jamii Forum (JF).Inaelezwa kwamba ripoti ya Mukama inautaja mtandao wa Jamii Forum kuwa unaundwa na vijana kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
  16. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    Hii ni wazi mkuu wa mkoa hupata amri ya kanisa kabla ya kufanya maamuzi ya kisiasa
  17. sisi kwa sisi

    Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

    KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII) Nishani hiyo ilikabidhiwa kwa Simbakalia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa...
  18. sisi kwa sisi

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara anamhujumu kisiasa Kikwete: Waislam

    hahaha. Malaria sugu wapi na wapi? hivi kila muislam jf ni malaria sugu?
  19. sisi kwa sisi

    Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

    warichomnd mbona wakiristo wenziwe wamemsulubu?lkn kwa kuwa mkataba wa mou ni wa kanisa ndio maana mwakwembe na six walikaa kimya bungeni
  20. sisi kwa sisi

    Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

    lOWASA ATOKE HADHARANI AWAOMBE RADHI KWA KUFUNGA MKATABA WA MOU. MKATABA HUU NDIO UNAOFANYA WAKIRISTO KUWA NA VYUO VIKUU VINGI. KABLA YA MKATABA HUU WAKIRISTO WALIKUWA HAWANA HATA KACHUO KAMOJA. MKATABA HUOYA NDIO UNAOFANYA WAISLAM KUWAPIGIA WAKIRISTO MAGOTI KIELIMU NA KIAF
Back
Top Bottom