sisi kwa sisi
Senior Member
- Feb 1, 2012
- 119
- 2
Kwa mara ya kwanza ninaweza kulishinda baraza la mitihani NACTE mahakamani.
Nia ya mashataka yangu ni kutaka Mahakama kuu iruhusu mitihani yangu kusainishwa Upya kuupita Externa examiner.
Sababu kuu
Mtihani niliujibu vizuri tu maana ni mmoja kati niliopata mitihani. lakini nimeletewa D.
Mtihani wa math ambao niliufanya kama inavyotakiwa kwa kujiamini hasa ukizingatia nililala nao , lkn pia nimepewa F. halikadhalika kiswahili na GEO hizo nimegaiwa F. mtihani wa ENG nimegaiwa C.
kwa bahati mimi sio miongoni mwa waliofutiwa au Kupigwa W.I
Hapa naamini nimefanya ndivyo, nilitegemea kupata Div 1 au kufutiwa matokeo moja kwa moja. lkn sikubaliani na matokeo haya walioniltea
Au wanipe ufafanuzi zaidi Forumular gabi wametumia