Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

Status
Not open for further replies.

sisi kwa sisi

Senior Member
Feb 1, 2012
119
2
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)

Nishani hiyo ilikabidhiwa kwa Simbakalia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa karibu miaka sita, na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Protas Rugambwa kwa niaba ya Papa katika misa ya Ibada ya Krismasi iliyofanyika kwenye Kanisa la Bikira Maria mshindaji mjini Kigoma

Akisoma hati hiyo, Katibu wa Kanisa hilo Jimbo la Kigoma, Kiliani Teleba alisema anamtangaza Joseph Simbakalia kutoka Jimbo la Kigoma kuwa shujaa wa ukoo bora wa
Mtakatifu Gregory Mkuu wa Daraja la Kiraia na kumpatia uwezo wa kutumia haki zote zinazotokana na hadhi hiyo.

Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa(NA SIO SEREKALI)

MGOGORO WA SHULE YA NDANDA NA MAJIBU YA MKUU WA MKOA

MGOGORO wa kidini uliosababisha wanafunzi 20 kufukuzwa shule ya sekondari ya wavulana Ndanda, (Ndanda High School) wilayani Masasi mkoani Mtwara umechukua sura mpya baada ya agizo la serikali la kutaka wanafunzi hao kurejeshwa shuleni kugonga mwamba.

Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia akihojiwa na TBC leo (Febuari, 6, 2012) alisema ni wanafunzi watatu tu waliorejeshwa shuleni ambao rufaa zao zilisikilizwa.
Ni kweli serikali iliagiza kurejeshwa kwa wanafunzi hao kwa kufuata utaratibu ambao ulitaka wazai kukata rufaa na kuniletea kwa ajili ya kusikilizwa upya madai yao kasha kutengua maamuzi…ni wanafunzi watatu tu waliofanya hivyo" alisema Simbakalia

HAPA WAISLAM WATEGEMEE NINI KATIKA MGOGORO HUUU HASA UKIZINGATIA AHADI ALIEWEKA MKUU WA MKOA SIKU YA KUKABIDHIWA NISHANI NA KANISA KATOLIKI NCHINI?NA SHULE YA NDANDA NAYO NI YA KANISA KATOLIKI
 
Kwangu mimi JK ndiye rais bora zaidi kwa kufuta ndoto za uwepo wa mahakama yenye kutoa hukumu za ajabu ajabu

266242.jpg
 
Hii ni wazi mkuu wa mkoa hupata amri ya kanisa kabla ya kufanya maamuzi ya kisiasa
 
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)

Nishani hiyo ilikabidhiwa kwa Simbakalia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa karibu miaka sita, na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Protas Rugambwa kwa niaba ya Papa katika misa ya Ibada ya Krismasi iliyofanyika kwenye Kanisa la Bikira Maria mshindaji mjini Kigoma

Akisoma hati hiyo, Katibu wa Kanisa hilo Jimbo la Kigoma, Kiliani Teleba alisema anamtangaza Joseph Simbakalia kutoka Jimbo la Kigoma kuwa shujaa wa ukoo bora wa
Mtakatifu Gregory Mkuu wa Daraja la Kiraia na kumpatia uwezo wa kutumia haki zote zinazotokana na hadhi hiyo.

Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa

MGOGORO WA SHULE YA NDANDA NA MAJIBU YA MKUU WA MKOA

MGOGORO wa kidini uliosababisha wanafunzi 20 kufukuzwa shule ya sekondari ya wavulana Ndanda, (Ndanda High School) wilayani Masasi mkoani Mtwara umechukua sura mpya baada ya agizo la serikali la kutaka wanafunzi hao kurejeshwa shuleni kugonga mwamba.

Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia akihojiwa na TBC leo (Febuari, 6, 2012) alisema ni wanafunzi watatu tu waliorejeshwa shuleni ambao rufaa zao zilisikilizwa.
Ni kweli serikali iliagiza kurejeshwa kwa wanafunzi hao kwa kufuata utaratibu ambao ulitaka wazai kukata rufaa na kuniletea kwa ajili ya kusikilizwa upya madai yao kasha kutengua maamuzi…ni wanafunzi watatu tu waliofanya hivyo" alisema Simbakalia

HAPA WAISLAM WATEGEMEE NINI KATIKA MGOGORO HUUU HASA UKIZINGATIA AHADI ALIEWEKA MKUU WA MKOA SIKU YA KUKABIDHIWA NISHANI NA KANISA KATOLIKI NCHINI?NA SHULE YA NDANDA NAYO NI YA KANISA KATOLIKI

Mkiitwa wajinga mnasema mmetukanwa.

Hapo kwenye red ndio kwenye jibu la nini kinaendelea. Tangu sakata hili lilipoletwa hapa JF mara ya kwanza niliizungumzia aina ya wanafunzi walioshiriki utovu ule wa nidhamu kwa jinsi walivyo nyuma kitaaluma na ni wahuni wasiopenda shule. Hawa watatu waliokwenda nafikiri umeona kuwa matatizo yao yamekwisha, sasa labda nikuulize swali: Hao waliobakia ulitaka mkuu wa mkoa awafuate nyumbani kuwaomba warudi shuleni au?
HAPA WAISLAM WATEGEMEE NINI KATIKA MGOGORO HUUU HASA UKIZINGATIA AHADI ALIEWEKA MKUU WA MKOA SIKU YA KUKABIDHIWA NISHANI NA KANISA KATOLIKI NCHINI?
Mkuu wa mkoa hajaweka ahadi yeyote, hiyo moja na the so called waislamu wategemee kukaa nje mpk watakapoamua kutumia akili zao. Kwani wale wa3 waliorudi wametegemea nini?

Na jibu kwa hilo swali lako la mwisho ni HAPANA. Shule ya Sekondari ya Ndanda sio ya KANISA, ilijengwa na msikiti wa Manyema ukishirikiana na ule wa mwembechai.
 
Hii ni wazi mkuu wa mkoa hupata amri ya kanisa kabla ya kufanya maamuzi ya kisiasa

Mtu aliyeikosa elimu hawezi kujua umuhimu wake kwa hiyo sitegemei mzazi asiyejua nini maana ya shule atachukua juhudi za kwenda kukata rufaa kwa mkuu wa mkoa badala yake ataenda kuzua majungu kwenye vikao vya bao. Mwenye akili huitumia
 
Kwangu mimi JK ndiye rais bora zaidi kwa kufuta ndoto za uwepo wa mahakama yenye kutoa hukumu za ajabu ajabu

266242.jpg
MwanaHALISI limegundua kuwa miongoni mwa yaliyodanganywa ni kuhusu umiliki wa mtandao mashuhuri nchini wa Jamii Forum (JF).Inaelezwa kwamba ripoti ya Mukama inautaja mtandao wa Jamii Forum kuwa unaundwa na vijana kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
 
Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika
kanisa(NA SIO SEREKALI)

Kwangu mimi JK ndiye rais bora zaidi kwa kufuta ndoto za uwepo wa mahakama yenye kutoa hukumu za ajabu ajabu

266242.jpg

Duh...! Kwanini ni wanawake tu wanafukiwa na kupopolewa mawe? wapi FaizaFoxy anisaidie kwa hili?
 
Mtu aliyeikosa elimu hawezi kujua umuhimu wake kwa hiyo sitegemei mzazi asiyejua nini maana ya shule atachukua juhudi za kwenda kukata rufaa kwa mkuu wa mkoa badala yake ataenda kuzua majungu kwenye vikao vya bao. Mwenye akili huitumia

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)
 
Alhaj Aboud Jumbe, Rais mstaafu wa Zanzibar, ametoa hoja kuonyesha kuwa Waislamu hawatendewi haki na kwamba Kanisa Katoliki limepewa fursa ya pekee nchini.
Sehemu katika kitabu chake inasema: MTIRIRIKO wa matukio ya kisiasa unaashiria agenda ya siri ambayo inaelekezwa kutumikia Kanisa Katoliki ambalo siku zote linakuwa na uhusiano wa karibu na serikali (hii) yenye kujenga mtizamo wa Kikristo ya Jamhuri ya Muungano na huku Waislamu wakihasirika.
 
Kwangu mimi JK ndiye rais bora zaidi kwa kufuta ndoto za uwepo wa mahakama yenye kutoa hukumu za ajabu ajabu

266242.jpg

hii ndio weakness ya jf, usishangae ukasikia hii ni Id ya Mnyika. kaacha bunge kahamia JF mara moja ili kupsot kama hii. chadema na siasa za kitoto
 
Kazi ipo. Sisemi mengi kwa Joseph kwa sababu dadaye Dr Calister ni dada yangu sana tokea akiwa RCHs, wizara ya Afya.
 
jf inavituko, mod ana user id zaidi 15. hapa Chadema wamefanikiwa

Shukuru influence ya kanisa ktk nchi hii manake ungezaliwa Saudia ungekuwa huna mama, angetandikwa mawe hadi afe kwa kosa la kukuzaa nje ya ndoa. Mambo yenu yanaashiria nini mnawaza kwa kutwa. Naomba nikuulize, hii ni halali?

View attachment 46902Ulitaka Mkuu wa mkoa apewe nishani na huyu au?

Nenda shule msomali, ni ujinga ndio unawaanya muuane kule kwenu. Wenyewe wanaowafanya mcharazane bakora mkivaa nguo fupi ndio hawa wanayafanya haya hadharani, kazi kwenu msiotumia kichwa kufikiri.

Ukiambiwa ukweli huishi kusema CDM, kumbe unajua kuwa kweli tupu ipo CDM eeh?
 
Nendeni NSSF kwa joka la udini Dau awape pesa mjenge shule zenu!

Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika
kanisa(NA SIO SEREKALI)

HAPA UNASEMAJE?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom