Napenda kuwapongeza washindi watano wa msimu huu wa 2023 kupitia makala zifuatazo:
I. Namna ya kupanga malengo ya fedha kukusanya (TRA) ili kuwe uwajibikaji, sio kila mwaka wanatuambia wamevuka lengo, kwa kujiwekea malengi madogo. Mshindi wa I. TZS 5,000,000.00
II. Kitambulisho cha Taiga...
Napenda kuwapongeza washindi watano wa msimu huu wa 2023 kupitia makala zifuatazo:
I. Namna ya kupanga malengo ya fedha kukusanya (TRA) ili kuwe uwajibikaji, sio kila mwaka wanatuambia wamevuka lengo, kwa kujiwekea malengi madogo. Mshindi wa I.
II. Kitambulisho cha Taiga kiboreshwe ili kiendane...
Napenda kuwapongeza washindi watano wa msimu huu wa 2023 kupitia makala zifuatazo:
I. Namna ya kupanga malengo ya fedha kukusanya (TRA) ili kuwe uwajibikaji, sio kila mwaka wanatuambia wamevuka lengo, kwa kujiwekea malengi madogo. Mshindi wa I.
II. Kitambulisho cha Taiga kiboreshwe ili kiendane...
Toka niandike makala hii, mwezi bado haujaisha, lakini serikali imeshapandisha kiwango cha kodi ya majengo! Nilikuwa naweka umeme jana, nikashangaa kuona nimekatwa Sh 1500.00 kwa ajili ya kodi ya majengo, badala ya Sh 1000. Kodi ya majengo kwa majengo ya kawaida ilikuwa Sh 1000 kwa kila mwezi...
Baadhi ya madhehebu ya kidini katika nchi za Magharibu yanatetea Ushoga! Hii ni changamoto kubwa kwa waumini wao katika nchi za Afrika ambako vitendo hivi vinapingwa vikali.
Niliwahi kufanya kazi katika shirika moja la maendeleo, moja ya kazi tulioifanya ni kuwezesha wanufaika kujenga mitambo ya bayogesi. Hapo ndipo niligundua kuwa ni nishati nzuri sana, ya bei nafuu na rafiki mkubwa wa mazingira.
Watoto wanatakiwa kujengewa ujasiri wa kusema kuhusu matukio haya ya ushoga, maana mambo haya wanafanyiwa watoto na watu wao wa karibu sana (hata Baba mzazi).
Katika ardhi, kuna biashara nyingi za kimkakati (kama viwanda vikubwa, migodi, biashara utalii, viwanja vya ndege, viwanja vikubwa vya michezo, nk.) ambayo inaweza kuipatia serikali mapato ya kutosha, na hivyo kuondoa ulazima wa kutegemea kodi za ardhi na majengo kwa wakazi wa kawaida.
Kuna haja ya kuwekeza zaidi kwenye rasilimaliwatu, watu wapitishwe kwenye historia yetu, na kutizamishwa katika vizazi vingi vijavyo kuhusiana na rasilimali hizi tulizojaliwa. Tunahitaji wawekezaji kutoka nje ya nchi, lakini ni lazima tuwe na mikataba inayozingatia masilahi ya pande zote, na...
Njia bora ya kupata damu kwa njia endelevu, ni kusimamia lishe kwenye taasisi za umma (mashule, vyuo, makambi ya jeshi). Hii ni rasilimali kubwa sana ya kuchangia damu.
Kuna haja wataalamu wa lishe kufikisha elimu ya lishe bora kila mtaa/kijiji, maana lishe duni na ulaji hovyo ndio sababu kuu ya maradhi kama ya shinikizo la juu la damu.
Kama mifumo haijakaa sawa, hata watu wanaosadikika kuwa ni waadilifu sana, watatumbukia kwenye mtego wa kula rushwa! Nchi zilizofanikiwa kupunguza kiwango cha rushwa, sii kwamba watu wake ni waadilifu sana, bali mifumo imara ya uwajibikaji imetengenezwa.
Nchi ilitegemea sana misaada kutoka nje kwa muda mrefu kwa ajili ya kupambana na VVU/UKIMWI, imefika wakati ambao wafadhili wana vipaumbele vingi vinavyoshindana, na hivyo kupunguza misaada kama hiyo; ni wakati muafaka kutafuta vyanzo vya ndani na kuacha kutegemea misaada kutoka nje ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.