Search results

  1. M

    Kufuru: Kikwete alitumia takribani Milioni 4 kwa siku moja hotelini Serengeti

    hotel za Serengeti zipo za USD 1200 kwa siku hivyo hata mtu wa kawaida ukiamua kwenda kupumzika huko lazima ujiandae kwa 5m na kuendelea iwapo utalala hotel za aina hiyo. swala la kushangaa hizo garama ni swala la ushamba tu wa mtu kutojua garama za hotel za serengeti. kwa wale waliyowahi kuja...
  2. M

    Ninaacha Ualimu tangu leo

    usiache kazi pambana humu ndani kuondoa huo mfumo unadai unanyima haki. lakini kama umekwazika sana omba likizo ya dharura ili utafakari na kuomba ushauri kwa watu makini. uhakika wa fedha kila mwezi hata kama ni kidogo ni bora kuliko bahati nasibu ya mtaani. labda kama umeshakuwa na mradi ukiwa...
  3. M

    Yanayojiri Monduli: Mkutano wa Edward Lowassa - Uwanja wa Barafu Mto wa Mbu

    Monduli Lowassa ana changamoto kubwa ya kumnadi mgombea wa Ukawa wakati wa CCM naye kamweka yeye na ndiye Mlezi wa familia ile ya Sokoine. Hebu tujionee
  4. M

    Zitto: Watu wanaishi maisha ya uwongo na Fitna, Sina tatizo na Dr. Slaa

    vipi DR akiungana na ZZK kumbuka MM1.MM2 NA MM3
  5. M

    Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

    Mm1,mm2 na mm3 hivi mm3 ni nani tena? Alitajwa kuwa yupo makao makuu siyo dr. Kweli?
  6. M

    Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha

    Sijaona bado propaganda za ukabila baada ya tafsiri. Mzee wa kwanza ameuliza swali ilikuwa tu ajibiwe na aeleweshwe kuwa wachaga wale ni chaguo la wananchi wa arusha. Sasa hapa bado sijaona medeye anaingiaje kama mkabila?
  7. M

    Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha

    mbona Mdeye mwenyewe hajaongea kitu?
  8. M

    Kaunda alipomwita Kikwete "bwanamdogo toka Tanzania" mazishi ya Mandela Afrika Kusini

    "young man" kiswahili chake......................
  9. M

    Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

    Kuunda tume ni gharama kutoa ushahidi ni bure kama kweli unao ushahidi why tutumie gharama kubwa kuunda tume wakati issue unayo mkononi kwenye dvd?
  10. M

    Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    "zitto is a great man" haiwezekani mtu mdogo atawale habari za mitandao ya kijamii kila kukicha kama mtu huyo siyo tishio.
  11. M

    Wakili Albert Msando kulikuwa na haja kweli?

    Kuhusisha issue ya akina Zitto Chadema na Uhaini uliotokea wakati nyerere akiwa rais ni utovu wa nidhamu
  12. M

    Albert Msando apotoka tena

    "mkuu umejenga hoja makini na za msingi watu wajadili au kukosoa kwa Hoja makini pia" but with time ukweli utajulikana tutajua nani mkweli kuhusu utaratibu wa kufukuza viongozi ndani ya Chama' 1. Kutetea utawala wa Sheria na tafsiri sahihi ya Katiba yetu ni kubomoa chama? Ndio mimi ni Diwani...
  13. M

    Mbowe amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    There is no best leader in Chadema than Mbowe. kama yupo nitajieni? so Chadema hamna namna wanaweza kusonga mbele kwa sasa bila Mbowe. ! "Chadema Bila Mbowe haiwezekani"
  14. M

    Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

    Hivi wagombea udiwani wa chadema arusha wote wachaga ni kweli?
  15. M

    Zitto’s letter to Cameron over dirty Swiss billions

    Tehetehe kweli akili ni nywele kila moja ana zake
  16. M

    New Series I: Madudu na sifa za Edward Lowassa!

    Wabongo tubadilike na siasa za kupakana matope tujifunze kenya hakuna mgombea au mpambe wa mgombea aliyemsema mgombea mwenzake. Wote walizungumzia wataifanyia nini kenya upande wa ardhi, uchumi, ajira n.k. Kwa hiyo lowasa hata akiwa na sifa hizo ulizoleta kama ana uwezo wa kuibadili tanzania...
  17. M

    Nakala ya Gazeti la Mwananchi 2005: Dr. Salim alimuua Mzee Karume 1972

    Leta copy ya gazeti la mwananchi lilo andika habari hiyo.
  18. M

    Swali: Mfumo wa kielektroniki utatufaa watanzania katika uchaguzi 2015?

    tume huru inawajibika kwa nani? I mean nani anawalipa mishahara marupurupu etc? Je hawawezi kuwa biased? Na kupendelea upande wanakopatia masilahi yao?
  19. M

    Swali: Mfumo wa kielektroniki utatufaa watanzania katika uchaguzi 2015?

    Tanzania kwanza yangetokea ya kenya silaa angekuwa ameshasema ccm wana njama. Wapinzani wa tanzania hawawezi kukubali kuwa mtambo umekorofisha hata kidogo. Tanzania watu hawajakomaa kisiasa hata huyo anayehoji eti mtambo utaanzia telcom company sasa anataka uaanzie wapi lazima iwe mamlaka ya...
Back
Top Bottom