Naomba unieleweshe mm nataka nikapige environmental health and safety management , nikirudi kazini kwaajili ya Recategorizatio nakuwa Nani ,? Hivi naweza kuwa categorized Kama Nani ,2.Nitabaki TGHS au nitahamia TGS , naomba mwenye uelewa make mm Ni MATT nataka kupiga hii course
FBO huwa inaajiri wafanyakazi wake na anawalipa yeye lakin anaweza kuingia ubia na DED akaletewa na wafanyakazi wa serikali lakin FBO anaweza kuwalipa posho kidogo
Hakuna aliyewahi kopa kwa hawa Abc Banc akasifia huduma zao ,jaman watumishi wenzangu kaeni macho hawa Wana riba kubwa kati ya 25-35 hayo yooote ni swaga tu eg mm nilichukua 4mils deni likasoma milion 11++++ ,Jaman hawa ni wezi
Crdb mikopo kwa watumishi wa umma is not their priority, ndio maana urasimu mwingi sana ,
Mara
1.mshahara upite kwao
2.makato kabla ya mkopo around 6%
3.penalty for early paymenter
4.kuchelewa kupata mkopo wako
5.mkataba wa mangungo wa msovero -umeegemamia upande mmoja tu wa mkopaji huna...
Every where across the social media we see and testify showing of teacher's salary scales and nurses,doctors etc!!!!!!! Why wabunge, Marais ,makatibu wakuu,mawazir ,maspika , waweke mishahara hadhara ,kwa nini waogope????
Kwa mm bora nikapiga Dipl. Alaf nikajichanganya kitaa na kupambania ajira, kuliko 2yrs form 5&6 na 3yrs ya degree =5yrs ambayo hata ajira ni ysmkin ila kitaa kazi ni moja tu ya IT degrees ni wengi mno kitaa hata kuliko dipl.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.