Search results

  1. Denis1729

    Acha kukopesha watu hela

    Ukitaka kukosana na ndugu zako, marafiki zako wakopeshe ela tu maana wataacha kukulipa na hapo ndipo ukaribu na mahusiano yenu yataishia hapo. Hii imewahi kunitokea nilimkopesha mtu ela toka mwaka jana mpaka leo tunazungushana tu naumia sana sema sina namna aisee
  2. Denis1729

    Walimu wanaua ndoto za wanafunzi kisa matokeo ya kidato cha pili

    Kwani wote waliofaulu masomo ya sayansi kidato cha pili uwa wanafaulu wote kidato cha nne ?
  3. Denis1729

    Walimu wanaua ndoto za wanafunzi kisa matokeo ya kidato cha pili

    Nimekuwa nikiuliza wanafunzi wengi kuhusu ndoto zao za baadae lakini wengi wao walionekana kukata tamaa kutokana na tabia za walimu wengi wanaofundisha masomo ya sayansi na walimu wa taaluma kuwatoa kwenye orodha ya wanafunzi watakaosoma masomo ya sayansi kuanzia kidato cha tatu na nne kutokana...
  4. Denis1729

    Kabla hujaziruhusu hasira ndani yako jifunze kitu hapa...

    Hasira ni hisia zilizoshindwa kujikabili baada yakufanyiwa au kufanyika kitendo kinachoaminiwa si cha kiungwana kwa mtendwa au mtendewa. Hasira ni hisia kama namna tumejifunza kuwa hisia ni matokeo. Kundi kubwa la watu wenye kushindwa kuzikabili hasira ndani yao huwa ni wenye kupata majuto...
  5. Denis1729

    Natafuta mtaalamu wa Websites na Blogs

    Kama kuna mtu ambaye ni mtaalamu wa Websites na Blog nahitaji mtu ambaye anajua designing nzuri za website na blog na kuwezesha akaunti kukubaliwa na Adsence ili niweze kulipwa naombeni anicheki WhatsApp kupitia +255719178114
  6. Denis1729

    Jinsi ya kuishi na mwanaume asiyejali hisia zako

    Ewe mwanamke ambaye umeolewa na mume bahili wa mapenzi, mumeo hajali hisia zako, kila siku ni kutoelewana ndani ya nyumba kwa sababu ya tabia zake mbovu. Nafsi yako haina utulivu, unatumia nguvu zako zote kumridhisha mumeo ili ndoa yenu iwe na furaha ila inashindikana na bado waipenda ndoa yako...
  7. Denis1729

    Siri ya mwanamke kuwa hodari kitandani

    Kwenye suala la kufanya mapenzi katika ndoa au tendo la ndoa kwa mwanamke kuwa na vipaji au umri mzuri katika ndoa havina maana sana ukilinganisha na mental attitude uliyonayo kuhusiana na suala la kufanya mapenzi. Wapo wanawake walioolewa (si wote) ambao ni warembo, wamesoma, ni portable...
  8. Denis1729

    Aina tatu za watu katika maisha yako

    1. Watu wa Majani 2. Watu wa Tawi 3. Watu wa Mizizi WATU WA MAJANI: Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka, lakini upepo ukija wataondoka. Unatakiwa kuwa makini na hawa watu maana wanakupenda mambo...
  9. Denis1729

    Mwanamke usilete mazoea chumbani

    Kila Siku Kitandani..... Kila Mara Kifo Cha Mende, Mmmh Mwenzangu Hebu Siku Moja Chukua Busati Liweke Chini. Chukua Mito Yako Uipange Kwenye Busati halafu Tuliza Akili Yako Pahali Hapo. Si Vibaya Na Chakula Ukakiandaa Hapo Pembeni, Baada Ya Hapo Andaa Mazingira Ya Kumtega Mumeo. Nikisema...
  10. Denis1729

    Mambo hubadilika mkishaoana na kuanza kuishi pamoja

    Watu wawili wanaopendana na kuishi kila mmoja kivyake ni tofauti sana na watu wanaopendana na kuishi nyumba moja. Wapo ambao hujiuliza inakuwaje wapenzi wawili waliokuwa wanapendana na kuwa na moto wa mapenzi wa kiwango cha juu sana wakianza kuishi pamoja mambo huanza kubadilika? Pia wapo...
  11. Denis1729

    Mume mwenye busara

    Mwanaume mmoja alimuoa msichana aliyekua ni mrembo kweli, Katika kuishi kwao katika maisha ya ndoa, mwanamke alipatwa na ugonjwa wa ngozi. Taratibu akaanza kupoteza uzuri wake, Ikatokea siku moja mume akasafiri kwenda kufanya kazi sehemu na wakati akirudi akapata ajali mbaya ya gari iliyopelekea...
  12. Denis1729

    Fursa yako ya mabadiliko. Luka 19:1-9

    Pale shauku ya kutaka kubadilika inapozaliwa ndani yako; unapokea roho ya kupambana na kila kilicho kinyume chako mpaka ukishinde. Hakuna chochote kinachoweza kushindana na mwanaume au mwanamke anayeongozwa na shauku ya mabadiliko, shauku ya mabadiriko ni shauku ya ushindi. Zakayo alikuwa na...
  13. Denis1729

    Ukweli kuhusu Ndoa

    1. Hakuna kitu kinachotishia usalama wa mke kuliko fikra ya mwanamke mwingine kushindana kwa umakini na mapenzi ya mume wake. Hakuna kinachoumiza zaidi. Hakuna kitu cha kudharau zaidi. Hakuna kitu zaidi ya matusi. Hakuna kitu cha kudhalilisha na kudhalilisha zaidi. 2. Ndoa hustawi wanandoa...
  14. Denis1729

    Kuachana sio Suluhisho

    Wewe ambaye umeoa au kuolewa na upo unafikiria kuachana na mwenzi wako. Fikiria upya juu ya uamuzi wako. Fikiria hao watoto mlionao. Fikiria nyakati zote nzuri mlizokuwa nazo pamoja kama mke na mume, Fikiria sehemu tofauti ambazo mlitembelea pamoja, marafiki wazuri mliokuwa nao wote wawili kama...
  15. Denis1729

    Jinsi ya kumlinda umpendae

    1. USIWEKE SIRI Siri humfanya mwenzako akose raha, Kuwa wazi kwake 2. USICHEZE NA WENGINE Wengi hutaniana na kubishana kuwa siyo kudanganya mradi tu hawafanyi mapenzi na wengine. Lakini kutaniana ni kiwango cha kwanza cha kudanganya, kwa nini uzungumze na kuwaandikia wengine mambo ambayo...
  16. Denis1729

    Aina za wanaume ambao huwa changamoto kwa wake zao

    Sanamu lijengwe Ukerewe-Mwanza
  17. Denis1729

    Aina za wanaume ambao huwa changamoto kwa wake zao

    Kila ndoa ina changamoto zake, na maana halisi ya ndoa ni ule uwezo wa wana ndoa kuvumiliana katika changamoto hizo. Kuna changamoto za kimungu ambazo wana ndoa hawawezi kuziepuka. lakini kuna zile za kiu anadamua mbazo nyingi ni za ki makusudi na mtu huamua tu kuwa hivyo. Katika kuangalia...
  18. Denis1729

    Mwanamke si dhaifu

    Kwenye jamii zetu inaaminika kuwa binadamu mwenye jinsia ya kike ni dhaifu sana. Wengi wanaamini hivi kutokana na maamuzi yao mengi wanayofanyaga, kuna muda yanaonekanika si yenye sababu hata kufanyika. Lakini naomba nikufahamishe ikiwa umepitia somo langu lilopita nimeeleza maana ya udhaifu na...
  19. Denis1729

    Mwanamke na kufika kileleni

    Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kilele kwa upungufu wa nyege au matatizo mengine ya kimaumbile, tukiachilia mbali suala la kukeketwa. Baadhi ya wanawake hufikia kilele mara moja tu (tena kwa kushugulikiwa kisimi siyo ule uhondo wa ukeni) kila wanapofanya tendo...
Back
Top Bottom