Search results

  1. M

    Financial Guarantor

    Habar wanajamii, Kwa mwenye ufahamu wa sheria inayohusiana na Financial guarantor, kwa mtu ambaye tayar amesha ajiriwa na tayar alisha saini mkataba wa kudumu wa kudumu kwa takrbani miaka zaidi ya minne, kisha mwajili akatoa Financial guarantor ukamilishe ndani ya siku tisa, pia fomu hiyo ina...
  2. M

    Nahitaji rafiki wa kike.

    Natafuta rafiki wa kike mwenye umri wa kuanzia 22-28 yrs.awe mwenye elimu ya chuo,awe mfanyakazi, mkristo na mwenye mapenzi ya mungu.
  3. M

    Interview-Settlement Clerk-cocacola

    Habari wadau, naomba kuuliza kwa mtu aliyewahi fanya interview na cocacola,
  4. M

    Msaada wa SAP ERP

    Habari wanajamii, naomba kuuliza mahali napoweza kujifunza SAP accounting software kwa Dar es salaam,nataka kujifunza pamoja na kufanya mitihani yake ili niweze kupata Cheti chake
  5. M

    Hp pavilion motherbody?

    Habari wanajamii,naombeni msaada mahali ninapoweza kupata motherbody ya hp pavilion entertainment dv5.natanguliza shukrani
  6. M

    Hp Motherbody

    Salamu wanajamii.msaada wa kupata motherbody ya hp pavilion dv5.ni wapi naweza nikaipata.mana nimezunguka bila mafanikio.natanguliza shukrani.
  7. M

    Motherbody ya HP pavilion dv5

    Habari wanajamii, nina laptop yangu ya hp pavilion dv5.ilipata matatizo ya power supply.nikaipeleka kwa fundi.akaniambia imekufa motherbody.naombeni kama kuna mtu anaweza akawa na hiyo motherbody. Nimejaribu ku cheki online kwenye ebbay lakini procedure zake ni nyingi.msaada tafadhali.ahsanteni.
  8. M

    Hp pavilion entertainment

    Habari wadau! Naombeni msaada wa laptop yangu,kwani haiwaki kwa sasa.ni baada ya kuchomoka ghafla charger(adaptor),then nikichomeka adaptor kwenye laptop inawaka taa tu kwenye tundu la laptop unapochomeka adaptor,then ukiwasha haiwaki.msaada tafadhali.kwani nina documents za muhimu.thanks
  9. M

    HTC -yota

    habari wanajamii, naombeni msaada kwa mtu anayejua mahali napoweza kupata battery ya htc yota pamoja na housing yake.nita shukuru kwa msaad a huu wadau.ahsanteni wadau.
  10. M

    Salam

    Habar zenu wana jamiiforum
Back
Top Bottom