Motherbody ya HP pavilion dv5

Muntu

Member
Dec 22, 2011
32
5
Habari wanajamii, nina laptop yangu ya hp pavilion dv5.ilipata matatizo ya power supply.nikaipeleka kwa fundi.akaniambia imekufa motherbody.naombeni kama kuna mtu anaweza akawa na hiyo motherbody. Nimejaribu ku cheki online kwenye ebbay lakini procedure zake ni nyingi.msaada tafadhali.ahsanteni.
 
ninayo motherboard yake, nitumie model number, serial number na part number. nitafute. 0767102102, email: cerengeti@gmail.com
 
Back
Top Bottom