Search results

  1. M

    Nani kakudanganya wanawake wanaolewa kutafuta kula na magari?

    Iwe ni mwanamke au mwanaume kila mtu anaingia kwenye ndoa kwa sababu ya kusaka furaha wala si kutukanwa na kusimangwa.Mwanaume yeyote ambaye anamsimanga mkewe na kumtukana huyo ni --------.Wapo wanaume utawasikia wakiwaambia wake zao ...".unataka kutoka na mimi kwa nini hupati hapa...
  2. M

    Nani kakudanganya wanawake wanaolewa kutafuta kula na magari?

    Iwe ni mwanamke au mwanaume kila mtu anaingia kwenye ndoa kwa sababu ya kusaka furaha wala si kutukanwa na kusimangwa.Mwanaume yeyote ambaye anamsimanga mkewe na kumtukana huyo ni --------.Wapo wanaume utawasikia wakiwaambia wake zao ...".unataka kutoka na mimi kwa nini hupati hapa...
  3. M

    Chelenje chelenje chelenje

    umesoma tuhuma zako, imekuwaje mkuu wife kajua ID yako, soma uzi huu-"kama mbinguni wanaenda wenye ndoa basi sitaeda"hii ni nouma, umejiandaa kukabiliana na hilo au ndo unamwambia nyumba ndogo aanze kufungasha ajisogeze karibu ?
  4. M

    TAFUTA MTU WA KUZAA NAYE,MIMI NIPO BIZE- Ukistaajabu ya Musa..........

    Dada aa kazi yake nzuri tu na mtoto wao ana 3 yrs so hata akizaa mwingine hakuna tatizo,anachohisi yeye ni kuwa may be jamaa kazaa kwingine sababu hakuwa na mawazo hayo hapo awali, kawa so harsh sana na akirudi kazini yuko bize na masimu na hataki mazungumzo yeyote even muhimu ya kifamilia...
  5. M

    TAFUTA MTU WA KUZAA NAYE,MIMI NIPO BIZE- Ukistaajabu ya Musa..........

    Ni kweli nilimshauri hilo,akasema kuwa anamuogopa asijefikiri kuwa ni kweli katafuta mtu mwingine,anadai he is so harsh to her,anamuogopa,hilo la tendo la ndoa kama wanafanya au la nadhani nitaliuliza nitakapokuwa namshauri
  6. M

    TAFUTA MTU WA KUZAA NAYE,MIMI NIPO BIZE- Ukistaajabu ya Musa..........

    Ni mume anamwambia mke wake haya maneno,kaniomba ushauri dada huyu huku akilia kwa uchungu,nimemuomba atulie kwanza nitamtafuta siku nyingine akiwa ametulia.Anaumia sana kwani mume wake anampenda na alimwambia kuwa umri wake unakwenda hivyo wazae mtoto wa mwisho ndo jibu aliloambulia.Ni kaka...
  7. M

    wanaume wenzangu someni mbadilike!

    wanaume wengi hatujui majukumu yetu ,wewe timiza ya kwako kama mkeo ataamua kukusaidia its ok lakini sio unakana majukumu yako mwanaume gani basi vaa gauni tu! hata biblia inatuambi hilo tusikatae
  8. M

    wanaume wenzangu someni mbadilike!

    na kuna wanaume wengine wanaitwa asha ngedere pia
  9. M

    wanaume wenzangu someni mbadilike!

    he he hata baba enock nae? pole sana tukutane samaki samaki jioni nikupo ofa
  10. M

    wanaume wenzangu someni mbadilike!

    kama una mtotot wako anasoma jaribu kumpa asome atakwambia maudhui yake
  11. M

    wanaume wenzangu someni mbadilike!

    mc tilly mimi ntamnunulia vitz mkeo sawa ehhhh halafu na wewe utapanda kaka usihofu.:high5:
  12. M

    wanaume wenzangu someni mbadilike!

    MC Tilly,pole sana inaelekea nimekuchoma moyoni safi sana:heh:
  13. M

    wanaume wenzangu someni mbadilike!

    una mke na watoto pia una kazi nzuri kwa nini hutaki kuwatunza???? samaki samaki kila siku lazima upitie kula bata pale mkeo akiomba hela ya matumizi unagoma akili matope!wanaume kwa sasa tunaelekea pabaya!kuna uzi niliwahi kuuandika unaomuhusu member wa ofisi yetu aliyempa maneno ya kuudhi...
  14. M

    Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

    jamani naomba kujibu hoja zenu kwa ujumla coz mmenilaumu sana sijaonekana jamani mafuriko haya yamezua mambo,napenda kuwajibu kama ifuatavyo. wengi mlishindwa kuielewa thread hii vizuri mkaanza kuporomosha maneno makali kwa huyo dada,ni kuwa dada huyo kwanza anafanya kazi nzuri na nadhani hana...
  15. M

    Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

    wanaume wa jf someni hii thread,na kwa sababu muhusika yupo humu basi ujumbe wake utakuwa umemfikia. Wiki ilopita kulikuwa na kauhaba ka mafuta ambako hakakuchukua siku nyingi, nikiwa njiani narudi kazini alinipigia simu dada mmoja ambaye tunafahamiana naye pamoja na mumewe akiniomba nimsaidie...
Back
Top Bottom